Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hate it when Hendo can't even make man city bench yet he is our Box-to-Box captain.

Shows how unambitious we are.

😡😡
by th tym Klopp wake up to th reality of issues il be where we started "i wish "

Hendo kwa Pep angeodoka msimu wa kwanza, asingekua kikosini asa angemuweka nani nje kwa mfano...

Klopp craving for UK Newspaper headings ow he plays Hendo RB n win games n ow super sub Lallana brought needed firepower upfront...

leo analalamika barafu nayo ilikua kikwazo, ni sababu baada ya sababu,mara penati tulinyimwa

he shold just accept i ws wrong wt th matchday squad n move on to win th next game, hizi bla bla wont bring back those precious 2 points lost....
 
Tunaenda kuwaface Bayern Munich UEFA without our 2 reliable CB’s Van Dijk(yellow cards) na gomez(injured)..

kama game na wolves ilkua vile bila hawa.. bado sipati majib hiyo game vs bayern itakuaje
mkuu hio game usikae mbali na maji ya baridi hio ndio pona yako na si kingine.

bayan hata siwawazi kwa sasa nawaza RB Hendo atakavyokibizwa na Philip Adason jtatu...
 
If you want to win the title there is Siple way just try it! Ikifika 67' minutes send out Keita kisha ingiza Lallana.

This English Messi will give you a result.
Keita was damn frustrated, just wen th boy s picking up th rythym sub hii hapa, Keita couldnt hide his concern kiasi alitupa gloves zake chini kwa hasira..

i feel for th boy t no secret ana struggle bt vs Foxes a glimpse of his old self was viable...instead of Klopp encouragin th boy he decide to do th unthinkable...

Man Klopp is living in 80s wen "English" players used to win u th titles..gone are those days...
 
Hv inakuwaje kocha ananua mchezaji ambaye alikuwa kwenye kiwango bora kabisa akiwa anacheza position ambayo inamfanya kuwa vizuri-kisha unakuja kumchezesha postion tofauti?.
Kuna wachezaji wachache wanakuwa wana adapt but wwngine sio rahisi mfano amisha ona naby keita imekuwa ngumu ku adapt position ambayo anataka acheze but still unaendelea kumpanga huko huko ukiamini kuwa atafanya vizuri-huu kama sio wendawazimu ni ninii?
 
The way our team is playing this season you'll never see Mane and Salah to be on fire at the same time!

When Mane is on fire, Salah anakuwa headless chicken
When Salah on fire, Mane anakuwa Headless chicken.
kabisa, vs Foxes Mane was on song, n Salah was just there somewhere....

Maguire, Chilwel etc did thier job damn well n tho Claude is on th firingline that result just saved him a bit if he can build on that he might be safe.
 
Klop kwenye usajiri wa wachezaji kulingana na bei yupo vizuri,kwenye kufundisha napo huyo vizuri tena sana.tatizo lake kubwa ni kwenye kupanga kikosi na kubadili formation ya timu kipindi ikiwa inacheza yani eneo hili ni F kabisa.
 
Tumejikuta tu tunaongoza, ndiyo maana hata strategy za kuendelea kuwa juu hazieleweki.
wen Fergie used to win titles for fun he ws being damn calculative...defence imara ndio priority kwake

Fergie alikua anahakikisha hapotezi hata pointi moja nje ya big four or big three hivyo timu zote kuanzia nafasi ya 5 na kuedelea alikua anajipigia na kujikusanyia pointi nyingi tu..

sasa kwa hawa big four Fergie alikua anasaka draw ugenini ila wakieda Traford ni kipigo n hureee ubingwa anaupata...

kwa huyu Klopp sidhani hata ana game plan ya michezo mitatu ijayo yeye ni siku hio chagua kikosi twende kazi maana juilize hivi Hendo mazoezini alicheza RB na bado Klopp akategemea muujiza gani kubadili matokeo...

tuna gundu kali si bure.
 
Klop kwenye usajiri wa wachezaji kulingana na bei yupo vizuri,kwenye kufundisha napo huyo vizuri tena sana.tatizo lake kubwa ni kwenye kupanga kikosi na kubadili formation ya timu kipindi ikiwa inacheza yani eneo hili ni F kabisa.
Mkuu Klopp bado anaikumbuka liverpool ile ya 70s n 80s wakati wachezaji wa uingereza scotland walituletea makombe mengi tu...ndio maana utaona anang'ang'ania wachezaji wasiokua na faida kwetu...

kuna wachezaji ukiwa unaongoza 4 bila ndio wapewe dakika na si kutafuta ushindi..
 
Klop kwenye usajiri wa wachezaji kulingana na bei yupo vizuri,kwenye kufundisha napo huyo vizuri tena sana.tatizo lake kubwa ni kwenye kupanga kikosi na kubadili formation ya timu kipindi ikiwa inacheza yani eneo hili ni F kabisa.

Klopp ni sawa na mwanafunzi mwenye juhudi nyingi za kujisomea na kununua vitabu vya gharama, anasoma tuitions nyingi na kujisomea sana mpaka usiku kucha, lakin akifika kwenye chumba cha mtihan anaanza kutetemeka ma kuchagua maswal kiholela na mwisho wa siku anafeli vibaya.
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Bad news for us

Jurgen Klopp has revealed centre-back Joe Gomez may need surgery on a hairline leg fracture, after several setbacks in his recovery process stopped the break from healing.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom