Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bad news for us

Jurgen Klopp has revealed centre-back Joe Gomez may need surgery on a hairline leg fracture, after several setbacks in his recovery process stopped the break from healing.
hakusajili replace are back up kwa sababu aliamini watarudi mapema.Sasa matarakio ni sawa na kitumbua kuingia mchanga wakati una njaa kali.

Tusubiri tu tuendelea na hali yetu
YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool vs Bayern Munich

Centre Backs watakuwa LOVREN - MATIP na Right Back ni MILNER

Klopp ni Genius, King, World Class, Greatest Coach in the World, Mtaalamu wa Soccer management! Hii game tutaimaliza mapema tu.
 
Pale Klopp aliposema kuhusu usaini wa January "If crazy things happen then maybe we have to think new, but I don't expect that."

Hapo wengi hawakuelewa kuwa Gomez na TRENT are nothing kwa Klopp that is why he didn't regard their injuries as Crazy things.

Only Hendo injury ndiyo ingelikuwa Huge Blow "Crazy thing".
 
Hii injury ya Gomez inanikera jinsi alivyoipata. Inanikera sana
hii inakera sana maana umoja wake na VVD mpaka sasa tunatembea kifua mbele maana waliweka msingi ya ushindi mfululizo...

injury nyingine ni ya Alex Chamberlin kaka inakera ach, yaaaaaani ndogo alikurupuka mpira hukua na madhara aafu ndio akaja umia vile..
 
Liverpool vs Bayern Munich

Centre Backs watakuwa LOVREN - MATIP na Right Back ni MILNER

Klopp ni Genius, King, World Class, Greatest Coach in the World, Mtaalamu wa Soccer management! Hii game tutaimaliza mapema tu.
imagine Kimich upande mmoja na mwigine Alaba man tutaletewa mashambulizi kama yote...

Hatrick ya Lodski ashindwe mwenyewe...

tumekwenda hatua kumi mbele n sasa tunaelekea hatua 20 nyuma...
 
aafu Kocha ka relax kabisa kama vile lengo letu ni Big four...januari imepita kimya kimya na alikua na nafasi ya kurekebisha yote hayo, sasa tutegemee kumuona Lallana beki maana Hendo, Lallan, Milie ndio tegemeo la kocha,irreplaceable kwake.
Klopp kuna muda anazinguaga mpaka unahisi ni agent wa Man U kaletwa pale kutu enjoy tu
 
Dah wazee si kwa kulalamika huku sipati picha mngekuwa ni Ile n jinsia nyingine ingekuwaje.... nimepitia majukwaa mengine nyinyi mna hali nzuri kuliko wengine mnalalama hivi, wengine wasemeje?
Nadhani kwa namna mnavyoshindwa kuhimili pressure ndivyo wachezaji wenu watakavyoshindwa kuhimili mnaweza kutoka kapa this season.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikua tunaongoza hapa kwa gape la points 4, watu wakaanza kutangaza Ubingwa bila kufikiria matokeo ya michezo mingine iliobaki, hali ya kikosi, falsafa ya mwalimu na Benchi zima ufundi pamoja na management nzima ya club. Bila kufikiria kwamba hitilafu yoyote katika vilivyotajwa inaweza kusababisha title race kua ngumu watu mkaanza kutangaza Ubingwa, sasa gape limeongezeka kidogo (kiddin ) kua points 5 ndo mnabadili kauli, mnafadhaika na kuanza kuleta kauli za kujikinga na fans wa rivals wetu endapo tusipobeba Ubingwa. Ligi bado sana, uwezekano wa kushinda upo.

#YNWA

Ubingwa tunabeba ila hatutaki presha pata picha tuka-draw/kufungwa hiyo J3 halafu kesho city akashinda unadhani ni rahisi kushinda game ya Bournemouth then Man U !?

Tunahitaji clear gap kuwa kwenye safe zone na kumaliza race mapema kabla huko mbele hatujakutana na vitimu vinavyopambania kutokushuka daraja
 
aafu Kocha ka relax kabisa kama vile lengo letu ni Big four...januari imepita kimya kimya na alikua na nafasi ya kurekebisha yote hayo, sasa tutegemee kumuona Lallana beki maana Hendo, Lallan, Milie ndio tegemeo la kocha,irreplaceable kwake.
Unakuta mtu anasema eti January hii hakuna timu inayoweza kukuuzia mchezaji wake mziuri ndio sababu Klopp hajafanya usajilli. Seriously
 
TAA

e0bd61fb3832cb6eca186b0ae77f83db.jpg
 
Dah wazee si kwa kulalamika huku sipati picha mngekuwa ni Ile n jinsia nyingine ingekuwaje.... nimepitia majukwaa mengine nyinyi mna hali nzuri kuliko wengine mnalalama hivi, wengine wasemeje?
Nadhani kwa namna mnavyoshindwa kuhimili pressure ndivyo wachezaji wenu watakavyoshindwa kuhimili mnaweza kutoka kapa this season.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunapoongoza kwa 5 Points halafu tuna game na Man United pale Old Traford basi Automatically hapo tunaongoza kwa 2 Points.

Usiniulize kutaka Facts bali subiri Siku ya Game utapata reason.
 
Unakuta mtu anasema eti January hii hakuna timu inayoweza kukuuzia mchezaji wake mziuri ndio sababu Klopp hajafanya usajilli. Seriously

Klopp alikataa kufanya usajili sababu yake ikiwa unam-replace mchezaji for 2-3 weeks then akipona aliyemleta arudi bench, kitu ambacho kina fanya football world kuwa the worst place akifananisha na real world ambapo huwezi m-replace mtu kwa muda mfupi kazini just tu ameumia mkono/mguu - kwa utashi wake wa football management

Anasahau kama we need that trophy much

Wapo wanaomuunga mkono sababu yao ikiwa mbona Totts hawajasajili msimu mzima, nikabaki nawashangaa for real unafananisha the mighty & that little dog?
 
Tunapoongoza kwa 5 Points halafu tuna game na Man United pale Old Traford basi Automatically hapo tunaongoza kwa 2 Points.

Usiniulize kutaka Facts bali subiri Siku ya Game utapata reason.
Unapoingia vitani ni kuwa tayali kwa kila kitu.... kwa sasa ukilalamika hali uliyonayo wewe sasa man city, United, Asernal, Chelsea or Spurs atasemaje? ni vizuri kushukuru kwa kidogo ulichonacho maana wengine hawapo kwenye position mliyopo na bado mnalalamika.
But hapa sometime nafurahia jinsi manavyoweweseka.
By the way manaweza kushinda game ngumu zilizobaki na mkapoteza points kwa game rahisi so hold your nerves.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paul Ince

"Sir Alex used to say it was about March. When it comes to March, that's when it gets to the business end of the season.

"I'm kind of worried about Liverpool because we're not even in March yet and I'm seeing signs there that they do look a little bit nervous,” he told BT Sport.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom