Yadi katika jambo ninalolichukia katika maisha ya Soka ni hii kumpigia mtu Ramli kuwa eti tutegemee Apoteze ili tuongoze ligi!! Ridiculous..
Tunachotakiwa ni kuwa tushinde sisi wenyewe ili tuongoze ligi.. It doesn't matter kwa City kushinda au Kupoteza! Matokeo ya City sisi yasituhusu! Bali matokeo yetu tu ya kupambana ndiyo yatuhusu.
Hii ndio hali halisi kwa sasa ni kuombea mpinzani apotezee ili sisi kuzidi kujikita kileleni mwa ligi, kwa namna matokeo tunayopata tangu januari mpaka sasa ni dhahili hatukwepi kumtakia Citi vipigo ikiwemo mechi ya leo...
Ajabu ni pale anapopigwa aafu unategemea umuone Klopp na kikosi kazi kazi badala yake anakuletea kikosi usichotegemea na eti anataka ushindi ni ajaabu sana tu..
Klopp sio malaika sitegemei awe sahihi muda wote but guys hizi sub zake ni pasua kichwa sana..
ile gemu ya Foxes tulipata kona kibao, tulipata mipira ya adhabu na hakuna hata moja ilizaa angalau nafasi nzuri ya goli, ipo tatizo pale si bure.
kulalamika barafu uwanjani na kunyimwa penati sio big ishu endapo nafasi muhimu zilizopatikana zingetumiwa vyema.
Kocha wetu ni mbishi, jeuri ya kijereman hivyo usishangae kikosi kile kile kesho ukakiona London Stadium ili mradi adhibitishie ma critics hapangiwi...
wote tunajua bila Karius kufanya aliyofanya preseason Klopp alikua tayari kumtumia tena msimu huu, huyu ndio kocha wetu anae soka manejiment kuliko Pep.
kumwombea Citi vipigo haiepukiki.