Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaa, naona msimu huu ubingwa umewapenda, ila ombi langu moja,

Nipigieni nyumbu, wanakelele sana, mpira hana anavizia vizia counter attack ,wakati ile timu bado,

Ubingwa unahitaji na bahati. ,na bahati naona inawadondokea, kazi kwenu,

Mimi city naenda kutafuta sare, tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Wazungu wana msemo wanasema, "Fortune Favors The Brave".

Bahati haiji tu hivi hivi.
 
WATCH THIS VIDEO, AND TELL ME WITH YOUR CHEST THAT THIS MAD BASTARD IS NOT THE TOP FIVE GREATEST FOOTBALLER TO EVER SET A FOOT ON THIS PLANET!!!!!!!!!!!!!!!

ABSOLUTELY PRICELESS!!!!!!!!!



Jamaa alikuwa noma lakini hana sifa ya kuitwa GOAT
Hana cha maana alichofanya kwenye soka ukiachana na kufrahisha mashabiki kwa kuuchezea mpira
 
IMG_20190130_101933_120.jpeg
 
Too early mkuu

Punguza mihemuko isiyo na maana

We have been here before ... Twice

Look at this

IMG_20181223_133715.jpg


Liverpool ana points 80
Man City
ana points 71

But Liverpool ana michezo 35
Man City
ana michezo 33

Hapo utaona tofauti ya points ni 9

Man city baada ya kukamilisha Viporo vyake Viwili alifika points 77

Hapo ikawa the real points kutofautiana kwao ni points 3.

Sasa hapo watu wanasema kuwa Mancity tulimuacha kwa points 9 lakini akatupota na kubeba ubingwa ikiwa imebakia michezo 3 tu,
Wakati ukweli halisi hapo ni kwamba ni points 3 tu na sio 9.

Lakini Mara hii ngoma ni different, tukishinda leo tutampita kwa points 7 safi huku tukiwa sawa kwa Michezo! That is why ninasema we'll be a champion of EPL 2018/19
 
City yupo na Arsenal, Chelsea then Westham next.

Tushinde tu zakwetu wao wapambane na hali yao
Labda ushinde njaa,,,,ligi ipo patamu sasa hivi aliye chini anataka kupanda aliye juu anakomaa,

Leo

Liverpool 0 Leicester 1


Wenzako Jana wameacha manyoya tu hahahaaaaaaaaaaa

Mbeleko,bahati ndizo zitawaponesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ushinde njaa,,,,ligi ipo patamu sasa hivi aliye chini anataka kupanda aliye juu anakomaa,

Leo

Liverpool 0 Leicester 1


Wenzako Jana wameacha manyoya tu hahahaaaaaaaaaaa

Mbeleko,bahati ndizo zitawaponesha

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani ulishawahi kuitabiria Liverpool ushindi?

Siku pekee utakayoitakia Liverpool ushindi kutoka Moyoni mwako ni siku ya Man United vs Liverpool ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom