AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
kwahiyo fabinho,shakir,milner,mignolet, ni kikosi D?????? naweza kukubaliana na hilo lakini kusema kuwa wapo under 19 itabidi ukusanye familia yako uanze kuidanganya hivi sawa?hii ni game ya pili mfululizo munapoteza na msije mkakimbia hapa .....maana wengine washakula chochoro wanadai wapo vijijini hakuna network ila timu ikiwa vizuri network zinapanda 4g
haha tulia Mei sio mbali mkuu linakuja kwa majogoo[emoji23][emoji23][emoji23] mtaliiba sio mkuu?
Haha ha haaa mpaka anaisaliti clubUmenyweshwa uji wa ndele na Klapp wewe!
mkuu nipo sana tu aisee ingekua kukosa EPL ndio kipimo cha ushabiki basi Brighton, Hull, Cardiff n.k kungekua uwanjani siku ya mechi ni kweupee hakuna mashabiki lakini kama unavyoona wapo nyuma ya timu zao...Tena wewe utakimbia hii siredi kama MosDef alivyofanya.
Yetu macho.
Nzi
Prezidaa wa wakangaa sumu dhidi ya Loserfools
Fabi alicheza beki japo goli la kwanza ali mistackle na hatimae kufukuza upepo lakini baada ya hapo alisettle vyema kabisa...na jana?
with thier bragging u might think th gap is +10 kumbe ni 2 mbili tu na this tym tunapata la 19
Hayo mapenz mzee kwa Keita huyu nnaye muona hapa Liver Barca hata sub hatokuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
mtaisoma namba linakuja hayo kuliiba hayatuhusu...Labda mliibe
Yetu macho.mkuu nipo sana tu aisee ingekua kukosa EPL ndio kipimo cha ushabiki basi Brighton, Hull, Cardiff n.k kungekua uwanjani siku ya mechi ni kweupee hakuna mashabiki lakini kama unavyoona wapo nyuma ya timu zao...
ingekua kukosa kuchukua EPl ndio mwisho wa soka naamini hatungezikuta Chelshit, Manshit n.k zingeshafutwa kabisa maana wao walisubiri 50+ years kuchukua EPL hivyo sisi hii 29 ni kind of peanut...
Tupo sana humu hatuedi kokote...
Naona unacheza mpira mtandaoni na si uwanjani. Kwani juzi wolves kakufanyeje??Subiri Weekend utaelewa ipi ilikuwa target ya Klopp. Liverpool tungeamua basi hakuna kombe ambalo tungeacha kubeba mwaka huu, sema ni suala la kuweka kipaumbele.
Kipaumbele chetu ni EPL na CL, Tumedhamiria kubeba hivyo vikombe kwa mwaka huu, Sasa subirin majibu kwa kile atakachofanywa Brighton na viteam vyote vilivyibakia.
Nakuhakikishia tena, hakuna mechi tutakayopoteza safari hii, Lengo letu la kubeba ubingwa kwa points zaidi 100, liko pale pale.
ni kupambana mkuu mpaka mei, mpaka sasa Mancty ndio timu pekee yenye kikosi kipana kupita vipindi vya majeraha au kadi...Yetu macho.
Arsenal tungeshambeba, tatizo bei yake kubwa, halafu ni type ile ile ya kina ozil, mickyKlopp wants James Rodriguez ni January transfer window. Huyu baada ya kuwika WC ya 2014 nadhani anaishia kwani kacheza mara 8 tu na kufunga 3 bila assists yeyote. Arsenal walipoona dau kubwa (Zaidi ya paundi mil 60) waliishia mtini. Sasa Klopp sijui atamtumiaje huyu ambaye kama vile kachuja ila bei yake bado juu
our legend John Aldridge has spoken and I agree with him 101%.a good question, my man.
for the sake of stability at the club, needless to mention the importance of retaining our key players going forward, I want us to win at least one (any) trophy this season.
zero trophy this season, then the Salah's of this world will start looking elsewhere and the "Klopp out" chinjachinja's will start sharpening their vichinjio's once more and I won't blame them. stakes are such high and Klopp should be fully aware.
the FA Cup presents us with the most realistic chance for silverware because of the present LFC fear factor vs English clubs. so i would deploy a very strong line up vs Wolves tonite.
I know many fans have their eyes on the EPL, and rightly so, but i don't fancy us putting all our eggs in one delicately tilted basket.
UCL? well.... i don't want to even talk about that one because it's as good as lottery!
huyu bana kwa soka la EPL halimfai kabisa na kwa hii bei ya £63m ndio kabisa abaki huko huko..Arsenal tungeshambeba, tatizo bei yake kubwa, halafu ni type ile ile ya kina ozil, micky
Madrid wanatushawish tutoe 63, wakati hiyo hela kwasasa tunapata wachezaj wapiganaji watatu huko italy,na america
Sent using Jamii Forums mobile app
Yetu macho.
Wapi?!? Majukumu tu chifu...OGS kakurudisha ulikuwa ushakimbia kabisa mkuu...