Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa kama hao akina Moreno na Mignolet hamuwapi nafasi ya kutosha unategemea watakuwaje fiti?

Huoni Man united wametoa nafasi ya kutosha kwa Rashford, Martial, Lingard...

Tatizo la UBAGUZI wa Klopp utafanya mukose makombe kabisa msimu huu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha cc@Malafyale na wenzake ni Liverpool HALISI bwana..

Nyie Liverpool UCHWARA kazi kubwa ni kumkosoa Klopp ..wakati ni kocha "BORA" kabisa duniani kwa kizazi cha sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe ni Mshabiki wa Chelsea! Hivi kuna Muda Zaidi wa Kumpa Cahil, Moses na Morata ili wawe World Class?

Hivi mtu aliyecheza Liverpool (Moreno na Mignolet) kwa Mismu Mitatu au Minne mfululizo na hakuboreka unasema hajapewa nafasi?

Robertson kama Mwaka Jana, Alisson kaja mwaka huu! Hiyo miaka yote iliyopita tokea wasajiliwe walikuwa wakicheza wao na hawakuboreka! Then unasema hawapewi nafasi?
Nafasi gani labda unayotaka wapewe? Ya ukocha au?
 
Hahaha cc@Malafyale na wenzake ni Liverpool HALISI bwana..

Nyie Liverpool UCHWARA kazi kubwa ni kumkosoa Klopp ..wakati ni kocha "BORA" kabisa duniani kwa kizazi cha sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha ha 😀😀

Mwisho wa Msimu tukitoka Kapa ninakujua fika hapa Madongo utakayokuja kutupiga nayo....

Nakumbuka mulivyokuwa mukimwita Klopp mwanzo wa huu msimu.

Si mulimwita Mr. Zero trophy? Au mumeshasahau?
 
Bakayoko is a better footballer than Naby Keita. Discuss

Tuache ushabiki wa kinafki wewe Jasho La Kuku

Nasikia huyo Bakayoko mlivyokmuwa wa ajabu ni timu mbili tu zilizokuwa zinamuwania ; yaani nyinyi Chelsea na mzee Wenger(ahahahahahhaah yaani Conte na mwenzie Wenger ahahahahahahah)

Nakupa home work kafukue Keita aliwaniwa na timu ngapi

Keita alikataa Barca we unaleta fikra kuwa Bakayoko anamzidi Keita
 
Iwapo kila Msimu tukichungulia tu Carabao na FA haws Kina Cutes Jones, Camacho, Ki-Jana, Wilson, Grujic wapate uzoefu wa kucheza Seneor team wapi??

Kwasababu hawa huwezi ukawatumia directly kwenye Champion League isipokuwa unawachanganya na FXI ili kupaya uzoefu.
 
Keita alijua Barca asingepata namba,
 
Vs Red start Milner made kind of the same mistake jana na both resulted to goals...

kwa ninavyoona kwa sasa Milner acheze RB tu period mambo ya Midfield miguu imechoka n pia mkataba wake ukiisha mwishoni wamwachie akwede Leeds...

Keita who is wearing iconic namba 8 jersey is finding t hard kupata rythym yupo yupo tu kwa kweli..

am a bit worried 1st eleven wetu wakipata majeraha hawa Liverpool B watatwangusha mazima....

Fabi is class Mr many position, what a shrewd buy by th club.

kwa kweli guys am a bit worried where we are heading maana jana was so so so bad coming from us n we were told this season is us to win trophies...

Priority now should be EPL only.
 
nafasi Mkuu ndio hizi kama jana na ni timu zote hawa wachezaji akiba hupewa game time kwenye haya makombe mbuzi...

hata Les Blu Cahil n.k kwenye ligi EPL ni kama hawapo vile....

Klopp angechanganya 1st 11 na 2n 11 kwa ratio nzuri kila idara mbona tungetoka na ushindi...kwa mfano mbele Mane, Origi, Daniel n.k

kwa timu kama Wolves ambao wantumia kaunta vizuri lazima midfield kuwa na maestro Mr Gini...

sasa Klopp being Klopp ndio hivyo tena na rekodi kwenye makombe na ligi si nzuri sana kwake Januari na pia away form inaleta mashaka sana maana hata UCL ilikua hivi hivi.
 
We have trent,gomez,fabinho,milner na camacho/hoever. Hao wote wanacheza namba mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
having them is one thing but delivering wins wen given th chance is another thing...

Clyne being snr n used to play in EPL has an upper hand ova Camacho, Ki-jana...thus in this period he might have been of help like jana....

as long as Gomez recovers in tym we aint in crisis..in th meantym Trent n Milner wil do th job well now wt Lovren injured inakua a bit complicated pale nyuma
 
Michezaji yenyewe tu ni mizembe haifai kuichezea liverpool kocha kayaona yanfaa kwenye mazoez kayaamini lakin yamemwangusha.
Mkuu uzembe wa mchezaji unaweza sababishwa na kocha mwenyewe mfano mzuri nyie.

Origi amecheza dakika 5 tu katika mechi 20 za ligi hivi mtu kama huyu anamatuamini gani na tim?

Nlicho kiona kwa Sturrege siamini kabisa kama kile ni kiwango chake bali aliamua tu achezw ajisikiavyo.

Tukisema hatuna wachezaji bado sio jibu maana pre sison tuliwaona walivyo kuwa wachangamfu na tukashinda mechi kadhaa.
Wachezaji hawawezi kulingana viwango kwenye tim 1 hata mishahara yao ila haimaanishi hawa bechi hawafai kabisa bali nikupewa moyo ili waongeze juhudi
Tumeona Asenal akishinda na wachezaji wa bench

Kloop anamatatizo kwa wachezaji tusubilini tu yatakuja tokea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…