Sijawah kuona Captain asiye jua mpira. Uzuri wazungu wenyewe wamempachika jina la "CAPTAIN BACKPASS"
Tukitaka tubebe makombe EPL,FA, UEFA hebu huu uchafu wa Henderson uondolewe haraka iwezekanavyo alaf uCaptain apewe haraka VVD.
Mzee wetu Milner tunampenda na kumheshimu sana kwa mchango wake Liver, lakin huu ni wakat wa kustaafu na kula penshen kwa kikokotoo kipya cha magu.
Hebu aachie vijana nao waoneshe uwezo wao.
Lovren hili ni jipu sugu, Tafadhal Klopp hebu muuze huyu bure huko Fulham, liverpool ni Team kubwa sana Dunian, kutunza mtu type ya Lovren ni suicide mission.
TAA na wewe tunazidi kukuscan tu, soon tutakuunganisha kwenye kundi la wakina Henderson.
Kule subs, Huu uchafu wa the so called Moreno, Lallana unatakiwa uflashiwe haraka iwezekanavyo, mara 10 hata Sturrg na Origi walioweza kuleta impact ya magoli katika mechi muhimu hata hivyo nao hakuna namna mmoja wao kama sio wote inabid utumbuaji ufanyike haraka hata kwa mkopo.
Tunataka Tuwe na kikosi ambacho kila mchezaj ana impact. Jaman Liverpool hii sio ile ya miaka iliyopita, midtable oriented, hii ni liverpool mpya ambayo ndio team pekee kutoka England iliyo threat kwa vilabu vikubwa kama Juve, Barca, Madrid.
NoteThat: Liverpool sio Sunderland, Lovren, Hendo, lallana na wenzako tunaomba mlielewe hili suala.