Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukimaliza nenda KANYE ktk choo chako cha shimo hapo kwako Bagamayo
Uwezo wako wa kuchambua soka ni mdogo mno
Idiot!
 
Our beloved Captain, spent the entire 90 minutes hiding from the ball

1. he was hiding from short-throws

2. he was hiding from receiving the ball kutoka kwa CBs at the back

a player who shy away from his responsibilities, can never considered as a leader, let alone a Liverpool football Club Captain
 
.....And Lovren is nothing but the most useless player to ever played for this Club

he's nearly 30 but still making the same mistakes kwa zaidi ya miaka mitano sasa at LFC, same damn mistakes

but, but, but he's a World Class CB because he played in a WC final and scored against Newcastle, club that employs and plays Isaac Hayden in the midfield
 
Hivi kuna watu walikuwa wanafikiria rekodi ya UNBEATEN ya The Great Arsenal itavunjwa na haka katimu kanakoishi kwenye mafanikio ya miaka ya 1980s? Kamwe.
 
I'd have reacted so quicker in the first half kama ningekuwa Klopp,

But today nimeona maajabu makubwa sana kutoka kwa Klopp tangu aje LFC, he changed the entire formation katika dakika ya 57 , from 433 to 4231

we all know, jinsi gani Klopp huwa ni stubborn katika ku-make changes mapema let alone changing the entire formation and Shape..

if anything, this shows kuwa the end of that Talent-less midfield is so near..
 
Hivi timu pinzani zinafikaje golini kwenu alafu lawama ni kwa mtu mmoja?
 
Hahahaaaa... Nyie wenyewe ndio wawangaji. Injinia somaaaa.....[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
aaa jana upepo mkuu uligoma hivyo ndio matokeo kama yalivyo....

ndio mpira aisee matokeo yaweza kubadilika muda wowote.

next gemu ya Manshit EPL ni vs Wolves usishangae ile gepu ikarudi tena maana adui yako mwombee njaa....

kwa sasa kila timu ipambane kivyake maana mechi za kujikusanyia pointi ni nyingi mno...

YNWA
 
Washabiki wa Liver hatuna haja ya kutukana wachezaji wala kocha, ni kweli haikuwa siku nzuri jana ila kuna mambo yakujifunza. ndio mechi ya kwanza kufungwa na tumefungwa away na team nzuri sasa mapungufu yameonekana kwamba system ya 433 tabu imekuwa kwetu tumeona tulivyoenda 4231 tukawa vizuri, ni wakati sasa wa Fabinho kuwa main hold midfield kuhusu Lovren hakuwa na game nzuri na tunajuwa Gomez majeruhi kwa hiyo hatuna choice kwa sasa na Arnold kapata shida jana lakini huyu ni kijana mdogo sana na kajitahidi na atakuwa vizuri tu, Nataka kujiuliza tukianza matusi kwa kufungwa na City je yangetukuta ya City kufungwa tena kwake na Palace halafu Leicester sio tungeshikiana mapanga. Liverpool tuko 4 points bado ni juu yetu kushinda mechi zetu na tuchukulie hii game imepita ila yako yakujifunza, na uhakika next game katikati tutawaona Fabinho, Gini na Keita or Shaqir na uhakika na hilo. YNWA
 
Unachokisema ni kweli. Ila lile wimbi la kupoteza mechi mfululizo linaweza likawapitia. Kuweni makini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mancity finally put a spoke in one's bicycle's wheel, the rest is a spiral downfall
 

we shouldnt be saying "upepo uligoma" chief

we got it all wrong today...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…