Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa mkuu akiimudu nafasi sindiyo anakuwa chaguo la kwanza au? Refer case ya Moreno na Robertson...je utasema Moreno bado ni chuguo la kwanza?
Au kipindi kile Mignolet na Karius?
It is the same thing with Lovren and Gomez, dogo akipona Lovren anarudi bench.
 
Moreno binafsi naona aunge tela la akina Hendo
 
Hivi kuna mtu haelewi hii hoja? Mbona rahis tu, hatutaki combo ya GINI-HENDO-MILNER sababu ni butu haina matokeo positive.

Combo hii ndo iliyopelekea mwanzon mpaka Salah aitwe One season wonder, bila mabadiliko kutokea ya kuongeza Fabh, Keita na udambwi wa Shaqir. Leo Salah asingefikisha hizo goals 13 z EPL mwaka huu.

Kwa sasa Team yetu ni yamoto sana kwa sababu Klopp aliusoma mchezo na kufanya mabadiliko, hivyo hatuna shaka tunapoona Kwenye combo hiyo Fabhino or Keita hawakosi, sababu hawa ndio chachu ya ushindi wetu.
 
Unajua sifa ya hii misukule isiyojua kitu kwenye mpira huwa haina hoja za kimpira na haikubali kuzichukua hoja za kwenye kujua mpira! Hatimae hupindisha hoja za kwenye kujua mpira.

Kwa mfano:

1) Takriban Washabiki wote Wa Liverpool basi Milner ni Mchezaji tunayempenda Sana kwasababu Ndiye anayeweza Kucover takriban Namba nyingi inapotokea injury kwenye namba hizo! Kwahiyo hatumlalamikii Milner Bali tunacholalamikia ni Kambinesheni ya GINI-HENDO-MILNER ambayo huwa haina matokeo chanya.
Basi hapo unatokea msukule unasema tunamchukia Milner.

2) Na jengine ni Kwamba sasahivi Lovren anacheza na wala hatulalamikii kupangwa kwake!
Basi unatokea Msukule unasema eti tumenyamaza kwakuwa Lovren katuziba midomo kwa kiwango chake bora!!!
Hivi msukule kama huu uusaidieje?
√ Gomez injury
√ Matip injury
Sasa anataka tulalamike ili aje acheze Kevin Yondani au?
Haoni kuwa hapo tumenyamaza kwasababu tu mabeki wote majeruhi kabaki yeye peke Yake? Kwahiyo ni lazima kwasasa turidhie tu kishingo upande acheze yeye mpaka watakapopona kwenye Namba.
Sasa subiri apone GOMEZ na MATIP halafu acheze LOVREN aone kama tutakaa kimya.

Kawaida ya msukule huwa haufahamu kitu.
 
HARRY WILSON
HARRY WILSON
HARRY WILSON
Klopp turudishie huyu kijana ni zaidi ya hatari

Final Decision ya Wilson ipo majira ya Joto (Summer window).

Aidha Atarudishwa Liverpool, au Atauzwa moja kwa moja.
Si rahisi kuendelea kutolewa tena kwa mkopo.
 
Final Decision ya Wilson ipo majira ya Joto (Summer window).

Aidha Atarudishwa Liverpool, au Atauzwa moja kwa moja.
Si rahisi kuendelea kutolewa tena kwa mkopo.

Kama wakimuuza wamuwekee "buy back clause" kwenye mkataba wake. Dogo ana potential...
 
I'll snap your hand if you give me a draw before the match...... hahaha!
 
Team of the calendar year (Jan - Dec 2018), according to an online BBC Sport poll.
I think Alisson hayumo vile alianza only August.... congrats to our 4 reds.

View attachment 983393

Tumedominate kwenye Backline hii inaonesha ni jinsi gani tuna the most strong defence kwenye EPL

Robertson, VVD na Laporte will retain their places but TAA sidhani kama atarudi tena.

Alisson will replace De Degea

Na kutokuwa na Mtu hata mmoja katika Midfield hii inaonesha wazi ni jinsi gani our Midfielders are shit.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…