Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwahiyo ikitokea Mchezaji kufunga goli ndiyo anakuwa Mchezaji bora?

Hivi hizi tathmini zenu munazifanyia kinamna gani?

Kwani Mchezaji gani wa Liverpool ukitoa Kipa aliyekuwa hajawahi kufunga goli?

Original
Surridge
Moreno
Clyne
TAA
Solanke
Lallana

Hawa wote wameshawahi kufunga Magoli sasa nao tutahadharishe kuwa ni Mabest player.
Ninachomaanishisha ni kwamba sisi Liverpool huwa tunaamini vya kwetu mpaka kufa, siku akitoka ndo tunatemana naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu walikuja Liverpool pale wakiwa wa kawaida Sana lkn imani juu yao na sapoti kubwa nje ya uwanja ikawafanya kuwa wakubwa duniani na wengine walikuja na majina makubwa wakafail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni mtazamo uliokuwa nao ww kiongozi but mtizamo huu hauwezi kuwa halisi hata siku moja, maana huwezi niambia ya kwamba tunaanza msimu Gomez akiwa chaguo la kwanza, ukweli ni kwamba Gomez anapata fursa ya kuanza baada ya Lovren kuwa majeruhi, kilichotokea ni kwamba alimudu vzr tu kucheza tukazoea na kumuamini

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi ndiyo Maisha ya mpira yalivyo!
Hata Robertson alipata nafasi baada ya Moreno kupata injury..

Na hata TAA alianza kupata nafasi baada ya Clyne kuwa injury...

Lakini je tuendelee kusema kuwa Robertson na TAA wanacheza kwasababu Moreno na Clyne ni wana injuries?

Basi ni kweli GOMEZ alipata nafasi baada ya Lovren kupata injury lakini kuaminiwa na kupewa namba ya kudumu hata baada ya Lovren kupona ni wazi kuwa ameonesha uwezo.

Kwasasa so Liverpool tu Bali hakuna Timu yoyote Duniani ambayo Gomez ataanzia Bench.

Miongoni mwa wachezaji ambao hawatakuwa na maisha marefu Liverpool basi ni Huyu Lovren.
 
Lovren alikaa Majeruhi mechi 4 za mwanzo tu na sio mechi zote alizocheza Gomez
Ndg yangu ni fan mwenzangu nielewe tu kwa uzuri aiseeee, kilichokuwa kinafanyika pale ni saikolojia na kutengeneza mazingira mazuri ya depth ya kikosi, mtu kesha anza mechi 4 za mashindano na zingine zaidi ya 4 za trial tukaona improvement yake so nazani Klopp aliendelea kumuamini na kumpa nafasi zaidi Gomez ili azidi kumjenga na kumuirisha, tumshukuru Mungu kwa majaribio yale yameimarisha kikosi chetu leo na chaguzi kadhaa za kutosha kwenye CB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafasi zao na watu wanaowatangulia ndo tatizo, huwezi enda kucheza game ukiwa na njaa ya ushindi ukaanza na orig na Sturbridge huku mane Bobby wakiwa bench huo ni utani aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekuelewa ila nina maswali,
  • Kati ya Henderson na Fabinho nani anatakiwa kuanza?
  • Kati ya Henderson na Gini nani anatakiwa kuanza?
  • Kati ya Henderson na Keita nani anatakiwa kuanza?
  • Ikitokea AOC akipona, kati yake na Henderson nani aanze?
 
Kuna watu walikuja Liverpool pale wakiwa wa kawaida Sana lkn imani juu yao na sapoti kubwa nje ya uwanja ikawafanya kuwa wakubwa duniani na wengine walikuja na majina makubwa wakafail

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi unadhani kwa umri alionao Lovren iko Siku ataboreka?

Mkuu yule si Young player kama anao muda wa kujifunza!

Ni old player ambaye hana peak tena!

Nawala hakuwahi kuwa talented katika Career Yake...

He is one of the worst defender ambao tuliwahi kuwasajili.
 
Jiulize tu ya kwamba hivi tusingekuwa nao hao unao wazarau leo hii tungekuwa tulipo? Hao unao wazarau leo hii ndo walituingiza kushiriki uefa last seasons na tukaingia fainali na pia msimu uliopita hakuna mtu alicheza namba 6 ya kiwango cha juu sana kama hendo pale Liva na alikuwa ni miongoni mwa namba 6 bora kabisa kwenye EPL, so tuwe tunakumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndg yangu ni fan mwenzangu nielewe tu kwa uzuri aiseeee, kilichokuwa kinafanyika pale ni saikolojia na kutengeneza mazingira mazuri ya depth ya kikosi, mtu kesha anza mechi 4 za mashindano na zingine zaidi ya 4 za trial tukaona improvement yake so nazani Klopp aliendelea kumuamini na kumpa nafasi zaidi Gomez ili azidi kumjenga na kumuirisha, tumshukuru Mungu kwa majaribio yale yameimarisha kikosi chetu leo na chaguzi kadhaa za kutosha kwenye CB

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa nadhani tunaelewana
 
Welcome Back AOC

Endelea kupambana kujiweka fiti.

View attachment 982606View attachment 982608View attachment 982609View attachment 982610View attachment 982612View attachment 982613

Endelea na Mazoezi urudi uwanjani ili wale waliohamishwa kutoka Namba 6 kwenda Namba 8 wakatafute Clubs za kucheza na nadhani watarudi Sunderland

Namba 8 gani asiyejua Kuassist wala kuscore

• GINI haekeki bench
• FABI naye ameshajihakikishia nafasi
• Akirudi AOC sijui yule msunderland atajisikiaje
Na bado pana Keita hapo.

Ama kweli mwaka 2019 Ni mwaka Wa Furaha kwa Wanaliverpool

Imagine itokezee tubebe kombe huku Msunderland akiwa Benchwarmer

Trash absolute trashiest!
Mnatujazia server tu na upuzi wenu huu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jiulize tu ya kwamba hivi tusingekuwa nao hao unao wazarau leo hii tungekuwa tulipo? Hao unao wazarau leo hii ndo walituingiza kushiriki uefa last seasons na tukaingia fainali na pia msimu uliopita hakuna mtu alicheza namba 6 ya kiwango cha juu sana kama hendo pale Liva na alikuwa ni miongoni mwa namba 6 bora kabisa kwenye EPL, so tuwe tunakumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli tumetofautiana mtazamo aisee, unamwita Hendo namba 6 bora?
 
Nimekuelewa ila nina maswali,
  • Kati ya Henderson na Fabinho nani anatakiwa kuanza?
  • Kati ya Henderson na Gini nani anatakiwa kuanza?
  • Kati ya Henderson na Keita nani anatakiwa kuanza?
  • Ikitokea AOC akipona, kati yake na Henderson nani aanze?
Kwa sasa Faby, Gin, na Naby ni wa kuanza maana tuna cha njaa ya kutosha, lkn haina maana ya kwamba hao wengine hawana umuhimu kamanda, umuhimu na heshima yao iko pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli tumetofautiana mtazamo aisee, unamwita Hendo namba 6 bora?

Klopp anampa Hendo mechi zote muhimu hata Alhamis ataanza!
Inachekesha sana ka genge ka watu huko Nachingwea kuona wao wanajua nani acheze mechi ipi kuliko the genius Klopp!

Huwa nacheka sana aisee,mtu kama @ngwaba na yule mwingine eti wao wanajua kuliko Klopp hadi kukosoa nani acheze
Upuuzi mtupu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jiulize tu ya kwamba hivi tusingekuwa nao hao unao wazarau leo hii tungekuwa tulipo? Hao unao wazarau leo hii ndo walituingiza kushiriki uefa last seasons na tukaingia fainali na pia msimu uliopita hakuna mtu alicheza namba 6 ya kiwango cha juu sana kama hendo pale Liva na alikuwa ni miongoni mwa namba 6 bora kabisa kwenye EPL, so tuwe tunakumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Nipe chanzo cha stats zako kwa ajili ya Kuback up maneno yako haya "alikuwa ni miongoni mwa namba 6 bora kabisa kwenye EPL"

Na unaposema walitufikisha Finali hapo hujaongea kitu Coz Hakuna Kumbukumbu yakueka Kabatini inayoitwa "Kufika Fainali", wala Hatutojivunia Fainali.

Kinachoekwa Kabatini na Kukivunia ni Kombe tu Mkuu.
Fainali itasahauliwa na kila mtu kama ilivyosahauliwa ya mwaka 1985 tuliyofungwa na Juventus.

Angalau ukisema hao wachezaji aina ya Lovren, Karius, Lallana na Henderson ndiyo waliotukosesha Kombe kwenye hiyo Fainali.! Basi ingemake sense .

Coz hawakuwa na sifa wala uwezo wa kupambana na Real.
 
Last seasons statistics za hendo unazo au una mchukia tu aiseee hata kumfuatilia hutaki?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu achana nao hawa hawana jipya, nenda ktk posts zao za nyuma hawa hata Klopp walikuwa wanamtukana hapa sasa kawanyoosha ndiyo wanajirudi kuanza kumkubali!

Lovren ndiyo alikuwa anaongoza hapa kutukanwa,mm na wachache sana ndiyo tulikuwa tunawapinga na sasa wameacha bado kwa Hendo!

Hendo ni chaguo la kwanza la kocha mtaalam Klopp,akiwa fit lzm aanze lkn hawa wenzangu na mm eti wanamkosoa Klopp

Kuna watu wapuuzi sana dunia hii aisee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Klopp anampa Hendo mechi zote muhimu hata Alhamis ataanza!
Inachekesha sana ka genge ka watu huko Nachingwea kuona wao wanajua nani acheze mechi ipi kuliko the genius Klopp!

Huwa nacheka sana aisee,mtu kama @ngwaba na yule mwingine eti wao wanajua kuliko Klopp hadi kukosoa nani acheze
Upuuzi mtupu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahahahah, umenichekesha sana mkuu, hawa jamaa kweli wana mu- under late sana hendo aiseeee mpaka tunachekwa na watu wa aseno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom