Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kile kikosi alichopangiwa Bournemouth au kile alichopangiwa Man United, vyote vipo gado tu kwa kuwaua hawa Wolves leo majira ya saa tano usiku kwa masaa ya ukanda wa nyuzi 45 longitude!
 
Leo kuna uwezekano mkubwa akacheza hendo na kila kitu kikabadilika hapo

ALISSON

CLYNE LOVREN VVD ROBBO

HENDO FABINHO

BOBBY

MANE SHAQIRI

SALAH

Hii ni kutokana na performance ya fabinho last game inakua hawezi kumdrop alafu pia hendo last game alimdrop i think kwa mara ya kwanza tutashuhudia pivot mid ya hendo na fab also kutokana na performance ya shaqiri game iliopita ni vigumu kumdrop

NB:Ni mawazo yangu tu kutokana navomjua klopp kwa uchache

Mkuu Firmino hawezi kuekwa Benchi Kisa tu Xhaqiri alifunga magoli 2 dhidi ya Man U.

Alichokifanya Firmino katika ile game Ni zaidi ya kufunga kwani Mpira is not all about scoring a goal.

Hata goli la 3 la Xhaqiri Ni assist ya Formino.

Na asilimia 75% Ni Firmino ndiye aliyepelekea Kuicontrol Mido kwenye game vs Manure.

Na ukimkuta Firmino yupo benchi basi Ni Kwasababu ya Rotation, lakini si kwa Performance Coz kwa Kikosi chetu kwasasa hakuna Wa Kuwaeka Benchi Salah, Firmino na Mane.
 
Hendo akicheza leo anakua na game 300 so kwa heshima ya le capt nadhani ataanza

Hapa Ndiyo Jezi yangu ya Liverpool nitakapo iprint kwa Maandishi Ya Njano Kuwa Washabiki Wa Liverpool Tunapaswa Kuwa Wastahamilivu manake itakuwa Wachezaji Wanacheza Kwa ajili ya kupewa Heshima badala ya Viwango vyao.

Nadhani Mechi zake 300 with zero Trophy atazitimizia akitokea Sub.
 
Hapa Ndiyo Jezi yangu ya Liverpool nitakapo iprint kwa Maandishi Ya Njano Kuwa Washabiki Wa Liverpool Tunapaswa Kuwa Wastahamilivu manake itakuwa Wachezaji Wanacheza Kwa ajili ya kupewa Heshima badala ya Viwangi.

hahahahahahhhhaaaaaaaaa sawasawa kabisa
 
leo kuna mtu atajitupia mwenyewe kambani kwasababu za presha FT: liverpool 1 wolvesampton 3
 
Match day

a tough game away at home

wont mind kuhusu rotation today as we have got 4 games in 11 days

but we need a win today and wolves arent easy to beat at the moment, so i'd play the same team iliyocheza na United then rotate against Newcastle & Arsenal, and field the same team again away at Etihad.

One game at a time.
 
1545401939402.png
chama la wana kama kawa kama dawa hamjawahi kukosea leo kwa hili kosi mtakuwa na kazi moja tu ya kunishikishia adabu hawa kuku
 
Mkuu Firmino hawezi kuekwa Benchi Kisa tu Xhaqiri alifunga magoli 2 dhidi ya Man U.

Alichokifanya Firmino katika ile game Ni zaidi ya kufunga kwani Mpira is not all about scoring a goal.

Hata goli la 3 la Xhaqiri Ni assist ya Formino.

Na asilimia 75% Ni Firmino ndiye aliyepelekea Kuicontrol Mido kwenye game vs Manure.

Na ukimkuta Firmino yupo benchi basi Ni Kwasababu ya Rotation, lakini si kwa Performance Coz kwa Kikosi chetu kwasasa hakuna Wa Kuwaeka Benchi Salah, Firmino na Mane.

Mkuu kwani mi nimemuweka firmino benchi?
 
leo tutashuhudia glory hunters wakichange zile avatar zao........
 
Hapa Ndiyo Jezi yangu ya Liverpool nitakapo iprint kwa Maandishi Ya Njano Kuwa Washabiki Wa Liverpool Tunapaswa Kuwa Wastahamilivu manake itakuwa Wachezaji Wanacheza Kwa ajili ya kupewa Heshima badala ya Viwangi.

Nadhani Mechi zake 300 with zero Trophy atazitimizia akitokea Sub.

Inategeme na klopp ila kumfanya hendo a-play with good mentality today & siku zijazo kwakua Hana shida anatakiwa aanze kwa heshima ya 300

Refer SG8 last game na Man U - second half >30sec > red card > career over
 
Mkuu Firmino hawezi kuekwa Benchi Kisa tu Xhaqiri alifunga magoli 2 dhidi ya Man U.

Alichokifanya Firmino katika ile game Ni zaidi ya kufunga kwani Mpira is not all about scoring a goal.

Hata goli la 3 la Xhaqiri Ni assist ya Formino.

Na asilimia 75% Ni Firmino ndiye aliyepelekea Kuicontrol Mido kwenye game vs Manure.

Na ukimkuta Firmino yupo benchi basi Ni Kwasababu ya Rotation, lakini si kwa Performance Coz kwa Kikosi chetu kwasasa hakuna Wa Kuwaeka Benchi Salah, Firmino na Mane.

Kamuweka benchi Gini & Keita kupitia kikosi chako akampanga Hendo & Shaqiri ... Bobby still there
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom