Nimecheka aiseeTorreira anatambaa na kugalagala tu
Nimecheka aiseeTorreira anatambaa na kugalagala tu
wewe ahjumma umehamia liverpool?Tuna 3 Na Wao 1
yeah but.....Tuna 3 Na Wao 1
Ahjussi Baada Ya Kuona Alert Yako Tu Nikaanza Nakucheka.wewe ahjumma umehamia liverpool?
naomba musije mukawafunga magoli 5 tafadhali.
kwa nini umeanza na kicheko?Ahjussi Baada Ya Kuona Alert Yako Tu Nikaanza Nakucheka.
Mi Naona Tuwapige Ata 6 tu Wawe Na Heshima Na Wakubwa Zao.
Bogoshipseyo Ndomnaakwa nini umeanza na kicheko?
kama tukifanikiwa kumfunga bournermouth kesho na hii mechi ya liverpool ikamalizika kwa ushindi upande wa liverpool tutakuwa nyuma kwa alama 3 dhidi ya arsenal.
acha arsenal apigwe awe nidhamu kwa majogoo.
teh teh teh
daebak, nilikuwa na mpango wa kuangalia kipindi cha pili ila kwa hali hii bora niendelee na shughuli yangu.La nneeeee
Kocha Malizaa Mpira Basii