Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hii game napindua meza kibabe kama simba ilivyowafanya nkana
wewe endelea kupindua kwenye doto huku pointi tatu safiii zimebaki Anfield....

pole sana ndio mpira unafungwo leo unajipanga kushinda siku nyingine...

hivi ndio deceba hii walisema twafungwo au ni ipi maana ni kama ramli zao zimekua baraka kwetu...

YNWA
 
Kijana wangu Leo sijui kaamkia wapi


IMG_6299.JPG
 


Ratiba yetu ya December:

1) Liverpool 1 - 0 Everton (EPL)

2) Burnley 1 - 3 Liverpool (EPL)

3) Bournemouth 0 - 4 Liverpool (EPL)

4) Liverpool 1 - 0 Naples (UCL)

5) Liverpool 3 - 1 Manure (EPL)

6) Wolverhampton 0 - 2 Liverpool (EPL)

7) Liverpool 4 - 0 Newcastle (EPL)

8) Liverpool 5 - 1 Arsenal (EPL)

• Katika Michezo 8 tuliyocheza kwa Siku 28 za December tumeshinda yote.

• Kati ya Michezo hiyo 8, Ni 7 kati yao ya EPL ambayo tumejikusanyia Points zote 21/21 (100%).

Na Mchezo mmoja Wa UCL ambao tumecheza dhidi ya Naples na tumemfunga.
 
mimi hizi mtu nyingine hazinisumbui kwani najua kuwa hawa ni washabiki wa mkopo wa liverpool ila wewe nakuelewa hasaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe ni liverpool halisi kwa heshima yako naandika kwa red ink mkuu,leo nimekubali msimu huu upo vizuri mkuu ila najipanga kwa msimu ujao
conflict of interest ni pale mshabiki wa liver anapocollaborate na mshabiki wa gonnorhoea kucrash maoni ya mshabiki mwingine wa liver

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom