Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunacheza nyumbani leo hatuna chochote cha kutuzuia tusiondoke na point 3 against Newcastle
We go Again
Leo matokeo yatakuwa hivi

Liverpool 1- Nu Casto 2 or

Liverpool 2- Nu Casto 3 or

Liverpool 2- Nu Casto 2

Either Nu Casto or Draw.

Nu Casto leo atawashangaza.!
 
Leo matokeo yatakuwa hivi

Liverpool 1- Nu Casto 2 or

Liverpool 2- Nu Casto 3 or

Liverpool 2- Nu Casto 2

Either Nu Casto or Draw.

Nu Casto leo atawashangaza.!
MO Salah leo anarudi kwenye nafasi yake, usikae mbali na luninga yako
 
Leo matokeo yatakuwa hivi

Liverpool 1- Nu Casto 2 or

Liverpool 2- Nu Casto 3 or

Liverpool 2- Nu Casto 2

Either Nu Casto or Draw.

Nu Casto leo atawashangaza.!
Unajua kuwachawia

Mm naomba waombee washinde ili wafungwe

Maana mdomo wako upo vice versa

Uliombea wapigwe na man u wakashinda

Leo nawaombea sare kwanza ,

Then raund ya pili watadakwa vzr tu
 
Ww uliwaombea man u waifunge liver wakapigwa 3

Unataka kutuwangia na arsenal

Sis hii vita tuachie wenyewe tunajua tutaimaliza vip hapo anfiled

Ukishatuombea tushinde ibakuwa vice versa
Kama ulivyofanya kwa man u
Hahaha Man United walifungwa kwa sababu ya mfumo m'bovu wa Mourihno..

Lakini sisi Arsenal ( niko kwa mkopo hadi tarehe 29) tuta hakikisha liverpool hachomoki.

Uoni Auba alivyoiva!? Kuna beki la kumzuia Ozil? Lovren!! au kiungo gani la kumzuia Torroera asitembee na mpira...

Iyo gemu labda Liver statute draw lakini sio ushindi. Klopp ana historia mbaya sana kwa Unai...
 
Naby Keita hayuko fiti Kwa 100% bado ana slightly pains, Kwahiyo sidhani kama atacheza leo! Hata hivyo wazungu Kwa Pain killer hawachelewi anaweza akafungwa sindano ikiwa atahitajika.

Then Upo sahihi isipokuwa tu Kwa Angle ninayoutazama Mimi Mpira bado nahisi GINI ndiyo Engine ya Timu yetu kwasasa kwenye Midfield!

Kwa gharama yoyote hile hapaswi kuekwa juu.

All in all tumuachie Kocha atakachotupangia.

Engine ya wapi wakati hajui kukaba, pasi anazotoaga sio pasi zenye madhara. Ana jambo zuri moja tu kuwa yeye ni highly resistant kwenye kukabwa
 
Ww je, leo unavutwa shat na watford

Nakushusha hapo juu
Wewe una misimu mingap hujamaliza juu ya Chelsea?? Ukitoa ule msimu m'bovu wa Mourihno..

Leo Brighton anakuwasha za kutosha ili uwe na hasira za kum'maliza Liverpool..
 
Hahaha Man United walifungwa kwa sababu ya mfumo m'bovu wa Mourihno..

Lakini sisi Arsenal ( niko kwa mkopo hadi tarehe 29) tuta hakikisha liverpool hachomoki.

Uoni Auba alivyoiva!? Kuna beki la kumzuia Ozil? Lovren!! au kiungo gani la kumzuia Torroera asitembee na mpira...

Iyo gemu labda Liver statute draw lakini sio ushindi. Klopp ana historia mbaya sana kwa Unai...
Arsenal anaenda anfield labda ashinde njaa kwa majeruhi aliyonayo kwenye defence kwa sasa
 
Unajua kuwachawia

Mm naomba waombee washinde ili wafungwe

Maana mdomo wako upo vice versa

Uliombea wapigwe na man u wakashinda

Leo nawaombea sare kwanza ,

Then raund ya pili watadakwa vzr tu
Yani hawa leo hawatoki.

Wakitoka ni sare..
 
Hahaha Man United walifungwa kwa sababu ya mfumo m'bovu wa Mourihno..

Lakini sisi Arsenal ( niko kwa mkopo hadi tarehe 29) tuta hakikisha liverpool hachomoki.

Uoni Auba alivyoiva!? Kuna beki la kumzuia Ozil? Lovren!! au kiungo gani la kumzuia Torroera asitembee na mpira...

Iyo gemu labda Liver statute draw lakini sio ushindi. Klopp ana historia mbaya sana kwa Unai...

Anawatia gundu huyu mtu nyie wana Arsenal

Fuatilieni mechi ambazo huwa anaside huwa zinakuaje at the end
 
Hahaha Man United walifungwa kwa sababu ya mfumo m'bovu wa Mourihno..

Lakini sisi Arsenal ( niko kwa mkopo hadi tarehe 29) tuta hakikisha liverpool hachomoki.

Uoni Auba alivyoiva!? Kuna beki la kumzuia Ozil? Lovren!! au kiungo gani la kumzuia Torroera asitembee na mpira...

Iyo gemu labda Liver statute draw lakini sio ushindi. Klopp ana historia mbaya sana kwa Unai...
Hiyo game inategemea na hali ya kikos cha arsenal

Iwapo toreira ,xhaka na kola wakiwepo

Bas sitashangaa liver wakistruggle

Coz itafanya bek ya arsenal ikae sawa, coz game karibu ya tano sasa arsenal anacheza bila bek za kati, zote majeruh na zina kad za njano

Leo kuna risk moja ,toreira ana kad 4 za njano, hivo leo akipata kad moja tu ataukosa mchezo wa liver

Kwahiyo tunangoja baada ya game ya brighton tujue liver atakufa ?

Iwapo watakuwepo hawa ,toreira,xhaka, auba,laca, ozil

Bas wachezaj hao hufanya bek ya arsenal irud kama awali japo sio nzur sana ,ila ina uafadhali kuliko hii ya sasa amabayo inabid xhaka akapige CB , na kumfanya toreira acheze kawaida pale kati, na kushindwa kupanda sana mbele

HIZO NI FACT ambazo wana arsenal tunaamini wakiwepo hao mech ya tarehe 29 patachimbika anfiled
 
Wewe una misimu mingap hujamaliza juu ya Chelsea?? Ukitoa ule msimu m'bovu wa Mourihno..

Leo Brighton anakuwasha za kutosha ili uwe na hasira za kum'maliza Liverpool..
Brighton sio rahis kunifunga ,

Halafu unautoaje huo msimu niliomaliza juu ya chelsea ,?

Mm ninachojua mfalme wa london ni arsenal ,wewe na totenham ndionahangaika kuishusha arsenal ,
arsenalinside_-20181225-0001.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom