Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anawatia gundu huyu mtu nyie wana Arsenal

Fuatilieni mechi ambazo huwa anaside huwa zinakuaje at the end
Hahahahahaha tarehe 29 sisi Arsenal tutaleta maafa apo Anfield.

Kwanza leo Nu casto anakuja kukuvuruga apo apo kwako.
 
Hiyo game inategemea na hali ya kikos cha arsenal

Iwapo toreira ,xhaka na kola wakiwepo

Bas sitashangaa liver wakistruggle

Coz itafanya bek ya arsenal ikae sawa, coz game karibu ya tano sasa arsenal anacheza bila bek za kati, zote majeruh na zina kad za njano

Leo kuna risk moja ,toreira ana kad 4 za njano, hivo leo akipata kad moja tu ataukosa mchezo wa liver

Kwahiyo tunangoja baada ya game ya brighton tujue liver atakufa ?

Iwapo watakuwepo hawa ,toreira,xhaka, auba,laca, ozil

Bas wachezaj hao hufanya bek ya arsenal irud kama awali japo sio nzur sana ,ila ina uafadhali kuliko hii ya sasa amabayo inabid xhaka akapige CB , na kumfanya toreira acheze kawaida pale kati, na kushindwa kupanda sana mbele

HIZO NI FACT ambazo wana arsenal tunaamini wakiwepo hao mech ya tarehe 29 patachimbika anfiled
Siku zote Liverpool hupata tabu sana wanapokutana na Arsenal ..hata akishinda ni kwa tabu tu na bahati bahati.

Although Arsenal beki ni tatizo, lakini Unai ni mwalimu mzuri hatokubali kupoteza kizembe ivyo.

Uwezo wa kushinda bado upo upande wa Arsenal..
 
Sio ramli ni mahesabu tu ya kimpira.

Kwamba leo inaonyesha Liverpool atapoteza...
asa mahesabu hayo mnakuaga nayo tu nyie au...nwei muda unasogea baada yadakika 90+ tafadhali rejea hapa maana najua utakimbia kimya kimya huku sie tukichekelea ushindi wa 26 kwenye ligi 2018...
 
MATCH-DAY

we should start with a midfield 3 of Gini-Hendo-Milner (Lallana)

Fabinho should be rested.

i'd like to see Mane and Firmino wakianzia bench and start with Shaqiri and Origi/Sturridge

start Moreno and rest Robertson, and Start TAA/Clyne at RB

hope Lovren wont injure himself today, we cant afford to field youngsters against Arsenal and City.
 
Confirmed line-up

Liverpool:
Alisson, Alexander-Arnold, Lovren, Van Dijk, Robertson, Henderson, Wijnaldum, Shaqiri, Mane, Salah, Firmino.

Subs:
Mignolet, Clyne, Fabinho, Keita, Sturridge, Lallana, Origi.
 
1545833133928.png


vs Newcastle
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom