Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ishu nao majembe disaini ya Milner sio wengi Mkuu, japo Fabinho nae ni Mr Many position...

Hapa ni kusubiri Summer kuodoa wasiotufaa na kusajili upya real players ambao wanalaleta impact immediatly....so far naona wanaotajwa ni wengi...
wapo...

kwa januari sana sana labda ni Pulsic kama Dortmund wakikumbali kuuza na akumbali kuja kwetu maana Sarri anacheki mkononi...

Mabeki so far sijaoni serious enquiry ya yeyote unless ni nyuma ya pazia kama ilivyokua kwa Fabihno

Na hiyo style ya kusajili kimya kimya kama Fabinho ndiyo nzuri sana, wanoko wengi hawatupendi ukitangaza tu wanamdaka mchezaji juu kwa juu!
 
Watu wengi hawaipendi Liverpool sijui kisa nini?
Huku kutokufungwa mechi 18 ndio kunawafanya mkose amani hata mkashindwa kula vizuri pilau zenu za christmas? Au kuna jengine nyuma ya pazia?
Wakati mnaombea Liverpool ifungwe, mna uhakika kuwa timu zenu zitakuwa hazipotezi mechi kwa kipindi chote hiko?
 
Baada ya Wapinzani kuona Liverpool ipo Katika good Shape this season, wameamua kutumia Silaha ya kupropagate kuhusu Liverpool kuongoza ligi Mara 2 kipindi cha xmass na isibebe ubingwa wakati timu nyengine zote zilizowahi kuongoza ligi wakati Wa xmass zilibeba ubingwa jambo ambalo si kweli kwani zipo timu ambazo ziliongoza ligi wakati Wa xmass na hazikubeba ubingwa.

Hii ni kujifariji Kwa mbinu yao chafu ya kutaka kuwavunja moyo wachezaji wetu jambo ambalo hawatofanikiwa.

Jürgen Klopp: “We have to be focused. I’ve heard how many times in the last 10 years that when you’re first at Christmas you win the title, but only Liverpool won’t.”
 
Jurgen Klopp: “If I saw someone in a pre-match interview asking a player about May and stuff like that, I would take the mic and throw it somewhere.”
Nampendeaga hapa jamaa hanaga majivuno yeye anachoonyeshaga ni kushangilia tu maneno maneno yale ya kujiona mwamba hana

Vinaja kwenye pitch ndo huwa wanaamua kila kitu

YNWA
 
I have been dreaming lately.... let me share it.

nimeota kuwa kama VVD, Allison, Fab3, Milner, Fabinho & Gini hawatapata serious injuries hadi May, EPL tutabeba.

ndoto yangu imenionyesha pia kuwa tukibeba EPL msimu huu, FSG watawauzia timu kwa bei mbaya Wamanga.

timu ikiwa chini ya Wamanga, tutakuwa na uwezo wa ku splash cash kwa any player ambaye Klopp atamhitaji.

I have dreamt us achieving the following in a 10-yr dynasty after the club takeover by the financially mighty Arabs:

- 3 EPLs & 2 UCLs under Klopp
- 2 EPLs & 1 UCL under SG (nimeota SG atamrithi Klopp 8 yrs from now).

dream along with me, you Reds!
 
Na hiyo style ya kusajili kimya kimya kama Fabinho ndiyo nzuri sana, wanoko wengi hawatupendi ukitangaza tu wanamdaka mchezaji juu kwa juu!
hii wanasemaga doing business the "Liverpool way" ..mara pap jembe usilotegemea linatua Anfield Jan kukoleza mapambano...

Ishu siku izi mawakala wengi wamekua makajaja na wanauza stori kwa waandishi wa habari za michezo ili mradi mchezaji anunuliwe na highest bidder...

Hapa Klopp na jopo lake wafanye kimya kimya......watuletee Fab mwingine
 
I have been dreaming lately.... let me share it.

nimeota kuwa kama VVD, Allison, Fab3, Milner, Fabinho & Gini hawatapata serious injuries hadi May, EPL tutabeba.

ndoto yangu imenionyesha pia kuwa tukibeba EPL msimu huu, FSG watawauzia timu kwa bei mbaya Wamanga.

timu ikiwa chini ya Wamanga, tutakuwa na uwezo wa ku splash cash kwa any player ambaye Klopp atamhitaji.

I have dreamt us achieving the following in a 10-yr dynasty after the club takeover by the financially mighty Arabs:

- 3 EPLs & 2 UCLs under Klopp
- 2 EPLs & 1 UCL under SG (nimeota SG atamrithi Klopp 8 yrs from now).

dream with me, you Reds!
Dreams come true Mkuu, wont mind timu kuuzwa maana kwa sasa cash wil buy u EPL lakini sio die hard fans ambao ndio Manshit n Chelsink lack even wt all th cash😀...

Imagine wt how loyal our fans are mix that wt Arab cash to point n buy any player out there dude il b unstoppable..wil conquer Europe n EPL itakua kama th 80s wen were winnin t for fun....
 
Baada ya Wapinzani kuona Liverpool ipo Katika good Shape this season, wameamua kutumia Silaha ya kupropagate kuhusu Liverpool kuongoza ligi Mara 2 kipindi cha xmass na isibebe ubingwa wakati timu nyengine zote zilizowahi kuongoza ligi wakati Wa xmass zilibeba ubingwa jambo ambalo si kweli kwani zipo timu ambazo ziliongoza ligi wakati Wa xmass na hazikubeba ubingwa.

Hii ni kujifariji Kwa mbinu yao chafu ya kutaka kuwavunja moyo wachezaji wetu jambo ambalo hawatofanikiwa.

Jürgen Klopp: “We have to be focused. I’ve heard how many times in the last 10 years that when you’re first at Christmas you win the title, but only Liverpool won’t.”
mkuu tegemea mengi kwa hao football analyst or whateva they call em maana wao ni kujaribu kutuvuja moyo ili mradi tu wachezaji wakose morale...

kitu wanasahau ni pale fortress ya Anfield mashabiki wapo nyuma ya timu 100% na kwenye mpira unahitaji ua stadium full n making lot of noises meanin they are appreciating all th good work that s goin on..

even in away games those who travel hua hawanyamazi hivi hivi tu...

If Pep had manshit fans wt half th attitude of our fans wanaohudhuria games angejisikia raha sanaaa....
 
I have been dreaming lately.... let me share it.

nimeota kuwa kama VVD, Allison, Fab3, Milner, Fabinho & Gini hawatapata serious injuries hadi May, EPL tutabeba.

ndoto yangu imenionyesha pia kuwa tukibeba EPL msimu huu, FSG watawauzia timu kwa bei mbaya Wamanga.

timu ikiwa chini ya Wamanga, tutakuwa na uwezo wa ku splash cash kwa any player ambaye Klopp atamhitaji.

I have dreamt us achieving the following in a 10-yr dynasty after the club takeover by the financially mighty Arabs:

- 3 EPLs & 2 UCLs under Klopp
- 2 EPLs & 1 UCL under SG (nimeota SG atamrithi Klopp 8 yrs from now).

dream with me, you Reds!

Too much drink last night 😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom