Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Natamani kuona leo Naby ,Shaqiri na Fabinho waanze kwa pamoja

Hendo na Ginni wapumzike then full back abakie milner

Coz naona wale jamaa leo watadefend deep sana kwa siku ya leo tunhitaji creativity sana zaidi ya Workaholics pale kati
 
Kwenye Mpira Unatakiwa uwaze Mambo 2 Kwa Wakati mmoja:

1) Ufunge goli
2) Usifungwe goli

Sasa Kama tunataka tufunge goli kwa timu inayodefend deep basi ni lazima kwenye Beki 2 Aanze TAA au Clyne kuliko Milner.
Mkuu Milner huyu Wa sasa siye yule Wa 2016aliyekuwa anacheza Beki 3 na kushambulia! Tayari umri unaelekea jioni hawezi tena kufanya hivyo! Mfano mdogo mtazame game iliyopita alivyostrugle.

Kwahiyo TAA na Clyne ni wazuri zaidi kwenye Kucreate Nafasi Katika Wingi ya kulia.

Na Kuhusu kuzuia goli tusifungwe ni lazima GINI aanze kila Mechi kwani GINI ndiye Mchezaji mwepesi zaidi kurudi chini nabkukaba pale tunaposhambuliwa! Na GINI anapochezeshwa pamoja na Fabinho ndiyo anakuwa Outstanding na ndiyo tunaicontril Midfield area yote ikapelekea hao kina Xhaqiri wakapata kucreate nafasi.

Note: Xhaqiri anapotokea Bench anakuwa na Impact kubwa zaidi kuliko kuanza game.
Na ndiyomana huwa napenda zaidi aingie kama Super sub.
 
20181226_140959.jpg
 
Ni kweli Last game Milner alistruggle sana ila pia nahisi pitch condition ilichangia kwa kukaba naamini Milner ni mzuri kuliko TAA na Clyne ila kupeleka mashambulizi mbele TAA ni bora sana ila wale kwa nlivowaona mechi mbili tatu zilizopita basi kama tunataka kushinda basi ni kwa njia ya kati na sio crosses au set pieces wanajua kuzidefend sana ndio mana nikapenda waanze fab na naby wote macho mbele plus Xhaq na Fab3 yetu nikahisi tutaimaliza mechi mapema sana
 
Milner dhidi ya Wolves .... nitatofautiana nawe kidogo.

in my opinion alikuwa ni mmoja wachezaji walioupiga mpira mkubwa siku hiyo. hata BBC walikuja kum include kwenye team of the weekend na niliafikiana nao 100%. kuna mambo Milner anayafanyaga uwanjani ambayo inexeperinced players hawafanyi hata kama ni bora kuliko yeye.
 
Naby Keita hayuko fiti Kwa 100% bado ana slightly pains, Kwahiyo sidhani kama atacheza leo! Hata hivyo wazungu Kwa Pain killer hawachelewi anaweza akafungwa sindano ikiwa atahitajika.

Then Upo sahihi isipokuwa tu Kwa Angle ninayoutazama Mimi Mpira bado nahisi GINI ndiyo Engine ya Timu yetu kwasasa kwenye Midfield!

Kwa gharama yoyote hile hapaswi kuekwa juu.

All in all tumuachie Kocha atakachotupangia.
 
Dakika 10 hadi 15 za mwanzo alistruggle mkuu japo after that alitulia

Ni kweli anacho ki-offer Milner wengi hawana pale kwa position yoyote atakayocheza

All in all leo nitafurahi sana endapo tutashinda goli kuanzia 3 na Cleen Sheet which nahisi ni possible kabisa endapo vijana watapambana kama siku zote
 
Naby Keita hayuko fiti Kwa 100% bado ana slightly pains, Kwahiyo sidhani kama atacheza leo! Hata hivyo wazungu Kwa Pain killer hawachelewi anaweza akafungwa sindano ikiwa atahitajika.

Then Upo sahihi isipokuwa tu Kwa Angle ninayoutazama Mimi Mpira bado nahisi GINI ndiyo Engine ya Timu yetu kwasasa kwenye Midfield!

Kwa gharama yoyote hile hapaswi kuekwa juu.

All in all tumuachie Kocha atakachotupangia.

Yes tumuachie Jurgen kazi yake

Tutashinda InshaAllah
 
Mkuu kama kawa m kubwa la maadui

Chama langu litakuwa arsenal tarehe 29

Either Arsenal or draw..

#Hatushindwii
Ww uliwaombea man u waifunge liver wakapigwa 3

Unataka kutuwangia na arsenal

Sis hii vita tuachie wenyewe tunajua tutaimaliza vip hapo anfiled

Ukishatuombea tushinde inakuwa vice versa
Kama ulivyofanya kwa man u
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom