Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_4793.JPG
 
Kurudi kwa OX ni habari njema sana kwetu lkn ndugu yetu Keita inabidi sasa awe makini akipewa nafasi!
OX anakuja kumrudisha bench asipokuwa makini sababu Fabihno kaisha jihakikishia namba pale kati lkn Keita BADO
 
yah kutoka 0 dhidi ya ARSENAL haiwezekani maana lazma uchezee bakora za kutosha tu yaani nakutwanga bila huruma kama kipigo cha mbwa mwizi nilichokupa 2007 cha bao 6 hapohapo kwenu..............

Mkuu mwenzangu HUWEZI pata hata sare Anfield,hiyo game hata Unai anajua kaisha poteza
 
Kurudi kwa OX ni habari njema sana kwetu lkn ndugu yetu Keita inabidi sasa awe makini akipewa nafasi!
OX anakuja kumrudisha bench asipokuwa makini sababu Fabihno kaisha jihakikishia namba pale kati lkn Keita BADO
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Mkuu mwenzangu HUWEZI pata hata sare Anfield,hiyo game hata Unai anajua kaisha poteza
hhahahahahahah sawa mkuu tusubiri ,tuombe uzima ila kwanza maliza noma kwa newcastle maana itabidi uwe na newcastle vaccine ili uwe safe.......maana huo ndio ugonjwa mkubwa unaowaangamiza majogoo.

mnaweza kufungua box kwa uchungu sana 26dec
 
Kurudi kwa OX ni habari njema sana kwetu lkn ndugu yetu Keita inabidi sasa awe makini akipewa nafasi!
OX anakuja kumrudisha bench asipokuwa makini sababu Fabihno kaisha jihakikishia namba pale kati lkn Keita BADO

Hapana Keita Namba ya uhakika sahivi maana kawa na perfomance nzuri sana kuanzia mechi ya PSG.

Hata juzi walimchezesha pemben ndomana kidogo hakuwa mzuri but Klopp kashamuamin.

OX hii ni machine yetu wana Anfield, Akirud itakuwa bora zaidi itasaidia kuwa na kikosi kipana, hata kama OX atakuwa na no ya permanent lakin kikos cha sub kitakuwa hatari pia. #YNWA
 
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu, Ni heri tusifanye usajili wowote lakin tufanye usajili mmoja tu wa maana kwa kumvuta Koulibally wa Napoli, Nataman sana kuona combo yake na VVD Anfield.

Tutatisha sana na kusumbua zaid England na Europe.
 
Manager and his technical team suggests a player to the board, the sports director link the matter to the owners, the owners splash the funds to the sports director, then its up to the director to sanction a deal

when a player wants to leave a club, his camp will inform the manager first, so the manager will tell the board that a certain player wants to leave but anaweza akasema bado namuhitaji so it will be up to the board and the owner to make sure the player remains at the club.

Starting na Case ya Coutinho na ishu ya media inapoingia;

Coutinho met with Klopp and told him he has an offer from Barca, Klopp told him he wont sell him because bado yupo kwenye mipango yake ya msimu ule, Coutinho agreed and promised Klopp kuwa he'd stay mpaka mwisho wa msimu na akamwambia agent wake the same thing, Kia akapeleka habari kwa kina Segura (Barca), they did not like the news, and without informing Cou or his agent, they briefed the spanish media kuwa hawatorudi tena kumsign Coutinho kama hataenda BARCA ile january, baada ya hizo news, Coutinho, his family and his agent wakapata taharuki, Cou asked Kia kuongea na kina segura if they meant it, Segura told Kia they were serious, Kia akaomba warudi mezani, then kia himself akamrudia Edwards, ambaye nae akamuuliza Klopp, klopp akasema No, so Kia decided to use Brazil medias to force the agenda, news zote za Coutinho ku-fake injuries na kugoma kucheza zilikuwa zinatoka Brazil na Spain, this was all Kia and segura's job, LFC wasingeweza kutoa habari kuwa their star player alikuwa ana refuse kutrain na team, thats why Klopp alikuwa anazi-quash hisi habari kwenye match pressers, but baadae Coutinho went further na kuanza kufanya interviews na Brazil medias behind Klopps and the clubs back, now, Klopp thought situation yote(media propaganda) inaweza kuharibu atmosphere ya dressing room na ku-unsettle the fanbase, so he told Edward and the owners to sell him, so why Klopp asked the owner to sell Coutinho to barca, because FSG were refusing to sell him kwasababu this was a private war between FSG and Segura (its deeper, you should know by now Segura used to work at LFC and got sacked so he wanted to avenge the sacking by taking the most marketable player at LFC), and he won by using the media, Klopp gave up on Coutinho because ya Media propaganda (it was unbearable), if kusingekuwa na medias, FSG would have won, but at the end of the day you should listen to the manager who is in-charge na technical department.

Case ya Emre Can;

Klopp sat down with Emre can. na kumwambia nataka kukuongezea mkataba, CAN agrees, Klopp calls Edwards and told him to start talks na Can's camp kuhusu new extension, Edwards informs the owners, then wanareview mkataba wake uliopo na ku-come up na kiasi ambacho wataoffer kwenye mkataba mpya, then Edwards anapewa go ahead anakaa na camp ya Can na kupresent Clubs offer, Camp ya Can inakataa na kusema kuwa wanataka atleast 150k per week, main reason ni kuwa kuna players wanalipwa hela nzuri and they are not good and important like Can in the team, Edwards and the owners refuses to budge in. Klopp now is furious as he wants Can in the team, Edwards now anaenda kuongea na Klopp na kumwambia kuwa demands za Can ni kubwa kulingana na idadi ya wachezaji wanaotakiwa kuongezwa kwenye team in the transfer window as he thinks Can wont be a regular player in the first team, Klopp calls Can and try to convince him, Can tells Klopp "i will think about it", few days later Juventus calls Can's camp na kutoa offer, wage - offer ilikuwa nzuri sana plus signing on fee, Can's camp calling Edwards and explain the situation, He and the owners refuses to budge in kuhusiana na mshahara naotaka Can, Can is furious and he feels kuna baadhi ya players wanapendelewa, now he's telling Klopp he wants out, Klopp agrees and told him to commit himself mpaka atakapoodoka (now hii ni baada ya kufanikiwa kuwaconvince Lepzig kuhusu Keita), the issue inakuwa mashabiki wataelewa vipi one of the youngest and talented CM, akiondoka tena for free? LFC now briefing the local newspaper na kuwaambia wareport kuwa Can wants to play kwenye Henderson;s role na hafurahii rotation, few weeks mbele Echo reported kuwa Can amesema anataka kuondoka LFC na kwenda kuchezea kwenye "a very big club", this news changed muelekeo wa Can at LFC, as the reactions were bad kwa fans, and fans felt they were insulted by Can kwa kusema anataka kwenda kwenye very big club, so they thought Can aliona LFC siyo kitu, mwisho kabisa wakaja kusema kuwa Can anaondoka LFC kwaajili ya pesa za Juventus, at this point hakukuwa na turning back kwa Can, he had to leave, these negative news were accompanied na hate artcles from the local jornos and crticing every Can's performance. so what if the medias werent there would Can viewed as a snake or a player with bad attitude?

in the case of Coutinho, Segura used media propaganda to drive Coutinho at barca, and he succeed

in the case of Can, Edwards used Media propaganda to drive Can out of LFC

so kwenye situations zote mbili, Medias ndiyo zimeplay a Key part kwenye both deals.

said it and i will say it again, Medias runs this sport, every single person kwenye hii business anatumia medias kupush his/her agedas. its not a rocket science.

Just know that, huwa nakukubali sana Comrade kwa uchambuzi wa facts humu ndani.

Tunapata kujifunza mengi ya nyuma ya pazia hata yaliyojificha. Bravo #YNWA
 
Kiongozi hela ya koulibally ni ndefu sana kwahiyo it will be a challenge to have both vvd and koulibally! but we need to sign young defender or experienced defender from EPL team
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu, Ni heri tusifanye usajili wowote lakin tufanye usajili mmoja tu wa maana kwa kumvuta Koulibally wa Napoli, Nataman sana kuona combo yake na VVD Anfield.

Tutatisha sana na kusumbua zaid England na Europe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom