Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nyinyi mna ukame wa maana so huwezi fananisha na sisi mkuu,wote tuna njaa lakini njaa yako ni kali sana
Sasa kama unamuulizia Salah aliyecheza msimu mmoja huu hajamaliza, fabinho ambaye ndo kwanza yupo msimu wa kwanza unataka nini hapo mzee? Maana wao hawana muda mrefu kwa ligi kama Ramsey au Ozil
 
ahsante mkuu...kumbuka unai effect ilianza na kupoteza game mbili mwanzo wa msimu MAN CITY 2 vs ARSENAL 0 alafu ARSENAL 2 vs CHELSEA 3 na tumefunga 1st round kwa matokeo hayohayo SOTON 3 vs ARSENAL 2 then ARSENAL 0 vs SPURS 2 sasa tunaendelea na unbeaten run yetu ya game 22 hivyo najua ushaelewa kinachoendelea maana naanza na wewe mpaka zifike game 22...so jiandae kisaikolojia.....tar 29 nitakuwa hapa panapo majaaliwa ya MWENYEZIMUNGU
Sahihi mlianza kwa vipigo baadae mkakaa sawa sana na hatimae ndani ya wiki mmeshikwa na butwaa...
hio ya 29 kuwa makini usijipige BAN maana kwa sasa Anfield nyumbani kuna mawili tu yanayoedelea adiha mpigwe au mkibahatisha ni draw...

Nwei ngoja sie kesho tuzidi kuchaja mbuga baada ya kuwagonga wabishi wa vigogo Wolves...
 
usikimbie hapa maana wengi wenu ni plastic fan
 
Sasa kama unamuulizia Salah aliyecheza msimu mmoja huu hajamaliza, fabinho ambaye ndo kwanza yupo msimu wa kwanza unataka nini hapo mzee? Maana wao hawana muda mrefu kwa ligi kama Ramsey au Ozil
muone ozil hapo nyinyi mara ya mwisho kubeba hilo tu kama mtoto kazaliwa na kashabalehe tayari
1545337231393.png
 
Shabiki wa Arsenal mara ya mwisho kuchukua kombe lenye heshima ni msimu wa 2003\2004

Sasa mtu unashangaa anapata wap kibur mtu kama huyu kubishana na timu ambayo ilichukua kombe kubwa mbele ya huo mwaka(yaan i mean2005)

Kubeba vi FA ndo vinampa kiburi haha

Mwisho wa siku nikagundua akili zao huwa zimawaza vitu viwili ambavyo ni
1-kujiua
2-kulia lia(na kujipa moyo utasikia ooh tunaipenda arsenal kwa mpira wake mzur )

-Ukimuuliza mara ya mwisho kuifunga LIVERPOOL AU MAN UNITED ilikua lini hata hakumbukii na hajui maana ni kitambo sanaaa

-Fainal zote za UEFA huwa wanaenda kuhonga kombe (maana huwa wanachapwa vipigo vya mbwa koko)
 
Neno moja tu kwako ni huna malezi na nasikitikia waliokuzaa hakika hakika wamepata hasara,labda umri ukikua utajitambua
mimi ni liverpool fan ila kama ni kweli umeanza kuangalia premium 1993 kwa jibu alilokujibu hajakutendea haki ingawa ndio hvyo inabidi tuvumiliane tu mkuu
 
Endelea kupiga ramli ,ila tunachojua

Hata ushinde mech zote za ligi , bado EPL utalisikia redion tu
nahic unatype ilimradi tu kujaza server yani timu ishinde mechi zote halafu bado EPL tuisikie redioni?labda kama kigezo cha kuchukua EPL sio uwingi wa point
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom