Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunzeni matambo kuwa top of the table kwa point moja sio jambo la kujivunia ,tena ukikumbuka team yenyewe ni Liverpool ambayo mchezaji aliyebeba vikombe vingi ni sturredge na salah wakiwa Chelsea ,jambo la msingi jipongezeni sio kujiita top of everything
Unataka tujitambe kwa kuwa wa sita kwenye msimamo????au tujisifie kwa kumfukuza mourinho!?????
 
Tunzeni matambo kuwa top of the table kwa point moja sio jambo la kujivunia ,tena ukikumbuka team yenyewe ni Liverpool ambayo mchezaji aliyebeba vikombe vingi ni sturredge na salah wakiwa Chelsea ,jambo la msingi jipongezeni sio kujiita top of everything
Naona inakuuma sana aiseeee Liverpool kuwa top, pole sana
 
Tunzeni matambo kuwa top of the table kwa point moja sio jambo la kujivunia ,tena ukikumbuka team yenyewe ni Liverpool ambayo mchezaji aliyebeba vikombe vingi ni sturredge na salah wakiwa Chelsea ,jambo la msingi jipongezeni sio kujiita top of everything
Huu ushauri ni kwa hisani ya ccm au Man u????
 
Neno moja tu kwako ni huna malezi na nasikitikia waliokuzaa hakika hakika wamepata hasara,labda umri ukikua utajitambua
Sasa mbona unawashwa washwa, au jana ulipoliwa na Spur's bado nut hazijakaza?
 
Neno moja tu kwako ni huna malezi na nasikitikia waliokuzaa hakika hakika wamepata hasara,labda umri ukikua utajitambua
Kwahiyo hapo ndo umefikia kiwango cha juu sana cha kukua na kujitambua, au bado unaendelea kukua na kujitambu?
 
Tunzeni matambo kuwa top of the table kwa point moja sio jambo la kujivunia ,tena ukikumbuka team yenyewe ni Liverpool ambayo mchezaji aliyebeba vikombe vingi ni sturredge na salah wakiwa Chelsea ,jambo la msingi jipongezeni sio kujiita top of everything

Kwahiyo???

Hebu tuambie hawa kina Peter Schmeichel, Paul Parker, Ryan Giggs, Andrei Kanchelskis, Mike Phelan, Mark Hughes na Brian McClair Walikuwa na Vikombe Vingapi Kabla ya Man United kuanza Kushinda Kombe lake la kwanza la Ligi na Ferguson?
Sasa Kwanini Walijinyakulia Makombe tele baade na Ferguson wakati mwanzo hawakuwa na Makombe tele?

Na ukija Chelsea Kina Lampard na John Terry ilikuwaje Wakashinda Makombe tele wakati kabla ya Mourinho hapo Chelsea hawakuwa na Makombe?

Kwahiyo hiyo points yako na genge lako ya Kusema kuwa Liverpool haiwezi kushinda Vikombe kisa tu Wachezaji wake hawana Vikombe haina backup yoyote ya kuweza kuprove right.
 
kama tunataka kunyakua EPL msimu huu kweli, aina hii ya mechi (ambayo title rivals wetu wame drop points against) ndiyo ya kushinda kwa vyovyote vile....ugoko, tumbo, masaburi, mkono, vipepsi, u-Sergio Ramos vs Salah, u-Origi vs Everton!

Point bro
 
Kwahiyo???

Hebu tuambie hawa kina Peter Schmeichel, Paul Parker, Ryan Giggs, Andrei Kanchelskis, Mike Phelan, Mark Hughes na Brian McClair Walikuwa na Vikombe Vingapi Kambla ya Man United kuanza Kushinda Kombe lake la kwanza la Ligi na Ferguson?
Sasa Kwanini Walijinyakulia Makombe tele baade na Ferguson wakati mwanzo hawakuwa na Makombe tele?

Na ukija Chelsea Kina Lampard na John Terry ilikuwaje Wakashinda Makombe tele wakati kabla ya Mourinho hapo Chelsea hawakuwa na Makombe?

Kwahiyo hiyo points yako na genge lako ya Kusema kuwa Liverpool haiwezi kushinda Vikombe kisa tu Wachezaji wake hawana Vikombe haina backup yoyote ya kuweza kuprove right.
Huwa hawajibu maswali ya hivi. Na mimamikumbo tu hayo.
 
Kwahiyo???

Hebu tuambie hawa kina Peter Schmeichel, Paul Parker, Ryan Giggs, Andrei Kanchelskis, Mike Phelan, Mark Hughes na Brian McClair Walikuwa na Vikombe Vingapi Kabla ya Man United kuanza Kushinda Kombe lake la kwanza la Ligi na Ferguson?
Sasa Kwanini Walijinyakulia Makombe tele baade na Ferguson wakati mwanzo hawakuwa na Makombe tele?

Na ukija Chelsea Kina Lampard na John Terry ilikuwaje Wakashinda Makombe tele wakati kabla ya Mourinho hapo Chelsea hawakuwa na Makombe?

Kwahiyo hiyo points yako na genge lako ya Kusema kuwa Liverpool haiwezi kushinda Vikombe kisa tu Wachezaji wake hawana Vikombe haina backup yoyote ya kuweza kuprove right.
Mimi napenda watu wanaojadili Soka tupo pamoja mkuu ,ninapo ongea kushinda vikombe sija angalia ngazi ya club tu hata ngazi ya team zao za taifa wanapaswa kupata chochote iliwajue kwapa lina nyanyuliwa vipi
 
Mkuu kwa Kukuhurumia tu hii Mada iwache huiwezi Kwani hawa wote kina Peter Schmeichel, Paul Parker, Ryan Giggs, Andrei Kanchelskis, Mike Phelan, Mark Hughes, Brian McClair, Lampard na John Terry timu zao za Taifa hazijawahi kushinda hata kikombe cha mbuzi.

Kwahiyo kabla ya Mapinduzi ya Timu zao basi Walisota sana bila ya Vikombe vyovyote mpaka Biggest Legend ever wa Chelsea Zola kastaafu bila ya Vikombe.

Kina hao Giggs, Kanchelsks na Schmeichel wao timu zao za taifa hata kushiriki kwa kipindi hicho basi hawashiriki Mashindano ya kimataifa (World Cup na Euro).

Sasa sijui unatetea nini?

Kwahiyo usipige Ramli hakuna uhusiano wa Wachezaji Kuto kubeba Kombe na Mafanikio ya Kubeba Kombe baadae.

Kwani Hata Man City haikuwa na Makombe lakini baadae ikaja anza kubeba.

Hata Chelsea ya 2005 kikosi tunakijua Nje ndani Hakikuwa na Wachezaji Wenye Makombe Kwani Kina Drogba Makombe wameyaona Chelsea lakini Baadae ikaja kubeba..

Mkuu Huna Facts unaweza kusitisha Mjadala.
 
Noted
 
wewe umo au haumo?umesahau kuwa ulipigwa mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa katika kombe hili afadhali ya sisi

Bosi pole na majukumu, naona Southampton na Tottenham wameharibu ile mnaita unbeaten run, sasa mko kwenye Beaten Run (losing streak).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom