Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe hilo livakuku kombe upo hatua gani?Spurs kakupiga tayar usiku huu cha mbwa koko tena ukiwa nyumbani kwako. Pumbav ndo Liver utaiweza ww
Wewe hilo livakuku kombe upo hatua gani?Spurs kakupiga tayar usiku huu cha mbwa koko tena ukiwa nyumbani kwako. Pumbav ndo Liver utaiweza ww
Mbona unateseka nduguHii picha ni ya mwaka 1950s.
Usiseme uongo.
1990 timu zilishaanza kuvaa Jezi za kisasa na si Mafulana na Makaptula hayo.
Pia Refa Nao Wameshaanza kuvaa Uniform za Kisasa.
Google au Nenda YouTube ukaangalie Clips za mwaka 1990 uone na si Kucopy na Kupaste.
Endelea kupiga ramli ,ila tunachojuaKipindi Wanalingana Points na Chelsea Waliamini Kuwa Watampita Chelsea na Kuingia Top 4.
Lakini Kumbe Top 4 kwao itabaki kuwa ni Ndoto tu.
Hilo taji huwa tunashiriki tu hatunaga time nalo, toka nimezaliwa sijawahi kuona tukilibeba ,kwako kunaungua moto unahangaika kuzima kwa jirani, nenda kapambane na hali yako wakati sisi tukipambana nahali zetu
Liverkuku hata ashinde mechi zote , huwezi amin habebi EPLI hope Klopp atapanga a very strong line up siku hiyo coz hao mbwa mwitu kwenye big teams siyo mchezo. Hii December inabidi tuitoboe yote na WWWWWW wine zote hakuna D wala L!
Kushinda liverkuku EPL ni sawa na kahaba kurudishiwa bikrakama tunataka kunyakua EPL msimu huu kweli, aina hii ya mechi (ambayo title rivals wetu wame drop points against) ndiyo ya kushinda kwa vyovyote vile....ugoko, tumbo, masaburi, mkono, vipepsi, u-Sergio Ramos vs Salah, u-Origi vs Everton!
dah nimecheka sanaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu,ina maana wewe toka uzaliwe hujawahi ona haya majamaa yakibeba kombe liitwalo EPL?du liverpool akiongoza ligi iniume ? Nimeshuhudia ikiongoza sio Mara moja, Sijaanza kuangalia EPL Leo kwa umri wangu EPL nimeiona live toka 93 ,tafakari chukua hatua
Huna kiungo cha kupanbana na arsenal,mpaka hiyo tarehe 29 tayar majeruhi wa arsenal wa beki watakuwa wamerudi, na XHAKA atarud kat Kucheza na toreira, mtapotezwa kati kama ilivyotokea pale emiratesUkiangalia jinsi battle ilivyo mpaka sasa:-
- Kwa Arsenal kachukua 3 sisi tumechukua 1
- Kwa Chelsea kapata 0 sisi tumepata 1
Kama ulivyisema, ni muhimu sana kuchukua hizo points 3 tuzichukue.
Kuna za Arsenal pia tar 29.
katika timu ambazo hazinipagi shida ni hii loserfool aseeh,yani haya makuku yakipata newcastle desease tu hahahaha yanaanza kuporomoka chiniKushinda liverkuku EPL ni sawa na kahaba kurudishiwa bikra
Wanajisahaulisha kuwa wao ni liver wana gundu na EPL toka 1990,Tunzeni matambo kuwa top of the table kwa point moja sio jambo la kujivunia ,tena ukikumbuka team yenyewe ni Liverpool ambayo mchezaji aliyebeba vikombe vingi ni sturredge na salah wakiwa Chelsea ,jambo la msingi jipongezeni sio kujiita top of everything
Yaan mimi hata itokee washinde mech 38 zote za ligi ,naamini ipo timu nyingine itashinda mech 38 na itamzid kwa magoli na liver atakosa EPLkatika timu ambazo hazinipagi shida ni hii loserfool aseeh,yani haya makuku yakipata newcastle desease tu hahahaha yanaanza kuporomoka chini
Huna kiungo cha kupanbana na arsenal,mpaka hiyo tarehe 29 tayar majeruhi wa arsenal wa beki watakuwa wamerudi, na XHAKA atarud kat Kucheza na toreira, mtapotezwa kati kama ilivyotokea pale emirates
Huna kiungo cha kupambana na XHAKA & TOREIRA
hazard aliwanyoosha mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ila wanajisahaulisha kama na wao hawakuwahi kushiriki UKAMENI FC bwana dahHilo taji huwa tunashiriki tu hatunaga time nalo, toka nimezaliwa sijawahi kuona tukilibeba ,
Wewe hilo taji si walikugonga hatua ya awali?
Au nimekosea?
Arsenal yeye ni FA CUP, EPL, FA COMMUNITY SHIELD HAYO NDIO MATAJI YAKE
wewe ni UKAMENI ,
Arsenal ni underdogs kwetu msimu huu hamstahili kubishana na sisi kabisa hivi unajua kuna tofauti kubwa sana ya title contendoes na top four slots. Msikilize hata guadiola anajua the biggest treat kwao ni liverpool kwa sababu ndio competitors mkubwa msimu huu kwahio kudhubutu kujaribu kujilinganisha na sisi unatukosea sanawewe umo au haumo?umesahau kuwa ulipigwa mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa katika kombe hili afadhali ya sisi
Kumbe upo kubishana, hata mech ya emirates mliongea sana ,kilichotokea fabinho akawa anarukaruka tu,Sina energy kwa sasa ya kubishana na wewe, tuombe uzima tar 29 si mbali.
Wanajisahaukisha kuwa wao ni wazee wa UKAMENI,hazard aliwanyoosha mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ila wanajisahaulisha kama na wao hawakuwahi kushiriki UKAMENI FC bwana dah




hahaha kwahiyo guadiola yeye ni nani katika ligi?umenichekesha sana eti title contenders alafu hujawahi hata kubeba hilo kombe.....nyinyi muna gundu na hilo kombe kama unabisha uwepo hapa hadi may tukimuomba MUNGU atufikishe salama sio timu ikishinda mechi mbili tatu munajazana then mnakimbia mkishapata mdondoArsenal ni underdogs kwetu msimu huu hamstahili kubishana na sisi kabisa hivi unajua kuna tofauti kubwa sana ya title contendoes na top four slots. Msikilize hata guadiola anajua the biggest treat kwao ni liverpool kwa sababu ndio competitors mkubwa msimu huu kwahio kudhubutu kujaribu kujilinganisha na sisi unatukosea sana
Kweli afadhali ya nyie mliopo huko sie tupo UEFA.wewe umo au haumo?umesahau kuwa ulipigwa mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa katika kombe hili afadhali ya sisi
MOURINHO KATIMULIWA WAKATI NDANI YA MIAKA 3 KUNA MAKOMBE KABEBA PALE MWANITESA UNITED LAKINI LIVER MR miwani ANA MIAKA ZAIDI YA 5 BADO ANAREKEBISHA MIWANI YAKE TUU HII INATUTHIBITISHIA YA KWAMBA LIVERKUKU WAMEZOEA UKAME WA MAKOMBE NDIO MAANA HAWANA HAJA YA KUFUKUZA MTUArsenal ni underdogs kwetu msimu huu hamstahili kubishana na sisi kabisa hivi unajua kuna tofauti kubwa sana ya title contendoes na top four slots. Msikilize hata guadiola anajua the biggest treat kwao ni liverpool kwa sababu ndio competitors mkubwa msimu huu kwahio kudhubutu kujaribu kujilinganisha na sisi unatukosea sana



hahahahaha yamekuwa hayo tena mbona unarukaruka wewe tupo ktk calabao umerukia ucl sasa unafikiri una maisha kule labda sio munchen nnayoijua mmKweli afadhali ya nyie mliopo huko sie tupo UEFA.