mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,468
- 431,954
Gr8 kwa kweli all the best dhini ya cityWakuu habari ya hapa jukwaani
Gr8 kwa kweli all the best dhini ya cityWakuu habari ya hapa jukwaani
Hivyo bro niliwaambia kadiri muda unavyokwenda itabidi tuvifungie safari kuvitafuta ili tu tujue kama vipo hai au vimekufa
Record nzuri ila team aliyopo hawezi kuchukua epl trophies, angalia uliowaorodhesha wote wamechukua na team zao ,narudia tena na team zao kasoro Torres aliambulia patupu na liver yake na kufunga kote kwa harakaAnother day Another record.
●●●Mo Salah with his perfect hat-trick anajiwekea record ya kuwa FASTEST PLAYER IN LIVERPOOL HISTORY kufunga 40goals in EPL kwa few gameskatumia only 52 games kufanya ivo
●●●katika historia ya PREMIER LEGUE ni ALAN SHEARER & ANDY COLE ndo wako juu yake kwa kufunga 40goals with 45 games that means Mo salah he is king of new generation.
FAN FACT
●●●Thiery Hennry ametumia game 73 wakamuita king, Aguero akatumia 70 game wakasema mguu wa dhahabu, Diego Costa akatumia 64 game wakasema analijua sana goal, torres akatumia 60 games wakamuita ElNINO but MO SALAH katumia 52 goal wanamuita ONE SEASON WONDERhili nalo likawekwe katika kitabu cha maajabu ya dunia GUINESS
Kwa hiyo unasemaje sisi tupo siku zoteTatizo lao Huwa Hawakawiagi Kujipiga Ban mwenyewe!
Kwa mfano Wako wapi kina
1) Ollachuga Oc
2) eden kimario
3) Antonio Conte
4) Mentor
5) hazard cfc
6) ryana fan
Jamani tusitupane nyinyi tumeanza huu Msimu pamoja hapa Jukwaani, Tunawaomba popote mulipo muje tushirikiane katika ushabiki si vizuri kutengana.
Hajajulikan Ila anaonekanaKwa hiyo unasemaje sisi tupo siku zote
Uzuri bingwa wa league bado hajajulikana
rekodi ni ya kufunga magoli mengi kwa mechi chache kama hiyo rekodi inakuuma waambie hao waliyomweka hapo wamuondoe kwenye hyo rekodiRecord nzuri ila team aliyopo hawezi kuchukua epl trophies, angalia uliowaorodhesha wote wamechukua na team zao ,narudia tena na team zao kasoro Torres aliambulia patupu na liver yake na kufunga kote kwa haraka
nice n more to come...wonder what il happen wen we hit top gearLiverpool in the Premier League 18/19:
- 1st in the table
- Most clean sheets (10)
- Fewest goals conceded (6)
- Premier League top scorer (Salah 10)
Mangi ni kwema leo nipigie huyo Manshit wekedi izidi kua murwa kabisaaaWakuu habari ya hapa jukwaani
leo tunawapa sapoti kwa city so msijali furaha yenu ndio furaha yetu ila mkifungwa huzuni yenu haituhusuKwa hiyo unasemaje sisi tupo siku zote
Uzuri bingwa wa league bado hajajulikana
record bila vikombe ni makelele tu siwezi kuumia Sarah kufunga muulize ana epl ya Chelsea kitu ambacho Gerald kastaafu hana respect respect respect!rekodi ni ya kufunga magoli mengi kwa mechi chache kama hiyo rekodi inakuuma waambie hao waliyomweka hapo wamuondoe kwenye hyo rekodi
Record nzuri ila team aliyopo hawezi kuchukua epl trophies, angalia uliowaorodhesha wote wamechukua na team zao ,narudia tena na team zao kasoro Torres aliambulia patupu na liver yake na kufunga kote kwa haraka
Ukiliangalia hili goli la 3 utapata jibu kwanini tunasema Fabinho achezeshwe
Muda mwingine unanyamaza unaacha inapita ivo tu..Kumbe na Wewe Unakariri Past events?
Nadhani Mwaka 2003 ungeliulizwa kuwa Chelsea katika Maisha Yake anaweza Kuchukua EPL?
Ungelijibu haitotokezea Chelsea kubeba EPL kwani Wamepita Kina Zola, Di Matteo, Deschamps, George Weah na wote hawakubeba waje wabebe Kina Kalou na Malouda?