Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Huyu Milner hana ball Control?
Point mzee...Mane angesubiri game ya Uefa..mara kaumia wakati match ishaishaSioni sababu ya kuingizwa Mane hapa
Mechi kama hizi ndo za kuwapa wasio cheza uzoefu