Mbonahawa wamekua urojo zaidi ya Banley?
Hivi Fabinho alicheza mechi iliopita?
Clean sheet inatakiwa.. Tupunguze GD kati yetu na Man City..
Haters gonna hate..BEST PERFOMANCE OF THE SEASON SO FAR.
Masterpiece.
umenichekesha sana mkuu dah.....mbona kama hujiamini hivi.........wakati mwingine mtu unaota ni bora tungeshinda 1-0 hizo zingine tumpige napoli
kujiamini ni ngumu sana mkuu kumbuka napoli sio wa kispotispotiumenichekesha sana mkuu dah.....mbona kama hujiamini hivi.........
but congraturation kwa point 3 muhimu.......game ilikuwa poa sana....