Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

soka linaenda kwa era nyinyi mtasubiri mpaka Miaka 30 mbona unayo haraka? city na Chelsea acha wabadilishane ubingwa wewe ulijirimbikizia zamani hauna nguvu hizo unajitahidi tu ,tupo hapa tutaendelea kukumbushana itakapofika may, tuombe uzima tu
Mkuu kwa sasa Liverpool wana nafasi kubwa tu ya kubeba EPL kama Klopp atajua nini anataka. Asipoweza kubeba msimu huu, basi itakuwa ngumu sana kubeba next season...

Nafasi wanayo saivi...Japo ni bado mapema.!
 
Mkuu umeongea kweli uwa najizuia sana kucomment kwenye uzi huu naona kuna malumbano mengi dhini ya timu yetu pendwa lakini nitatoa ukimya leo kwa kusema neno moja tu
Klop ni kocha mzuri sana tena sana lakini kuna kipindi upangaji wake wa kikosi na sub zake uwa zinatukost sana at least this season kama vile anatusikia washabiki wa kops tunataka nini kwa wakati gani all the best my lovely team YNWA
 
Out of the Premier League, Championship, League One and Two, the National League, the National League North and South, Evo-Stik Premier, North and South, Liverpool remain the only unbeaten side this season.
 
We were called so many names on here for wanting Klopp to play our best players ili kuprovide good performances,

Todays perfomance at Vitality Stadium showed clearly what top midfielders can manage in controlling games at ease and provide remarkable performance.

we were playing against one of the most consistent mid-table side this season, and we shat them down completely.
 
City are nothing without Ferna,

their intensity regressed massively baada ya ile slight injury..

De Jong joining PSG, so can see Pep going big on Ndombele this January..

and he will go big on another Left back pia..

we need to dip in the market pia for an attacking player and a young RB.

but here's hoping City watabanwa na their FFP scandal, na kushindwa kuspend big this january.
 
Watching Barcelona here,

Valverde giving Coutinho a hard time man

Dude used to be a star-man at LFC, and got turned into a bench-warmer at Barca

faked injuries and refused to train with the team for nothing man

think his next move itakuwa ni Serie A.

With Arthur out injured, Valverde going with Bus/Vidal/Raktic, no chance for Coutinho, na akicheza huwa anamchezesha as a Left winger, role ambayo hata wakati yupo LFC alikuwa ana-struggle.

Klopp found him a perfect role and build the team around him, but dude wanted to play with Messi and forgot that grass arent always greener
 
City are nothing without Ferna,

their intensity regressed massively baada ya ile slight injury..

De Jong joining PSG, so can see Pep going big on Ndombele this January..

and he will go big on another Left back pia..

we need to dip in the market pia for an attacking player and a young RB.

but here's hoping City watabanwa na their FFP scandal, na kushindwa kuspend big this january.
And are there any targets leaked so far by the top management?!
 
And are there any targets leaked so far by the top management?!

No bro

France reports, saying Fekir is refusing to sign an extension with Lyon and Rabiot is on the move, think PSG are replacing him with De jong

we may still be interested in Fekir, but with Klopp using Bobby as a 10 recently, nadhani atakuwa ameona kitu

but one attacking player especially LW is really needed

and i think we will go big on Werner in the summer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom