Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Next December 16 Ni Manure!!! Inanipa Headache
Labda mwaka huu tutawapiga, najipa hope kwa sababu ya kuwa na viungo na defense, ili wakija kwa mfumo huo na sisi tunaenda nao hivyo hivyo.
Hawana defense nzuri sana ambayo itahimili kutofungwa, ila defense yetu this time inanipa amani.
katumia only 52 games kufanya ivo
.