Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbe na Wewe Unakariri Past events?

Nadhani Mwaka 2003 ungeliulizwa kuwa Chelsea katika Maisha Yake anaweza Kuchukua EPL?

Ungelijibu haitotokezea Chelsea kubeba EPL kwani Wamepita Kina Zola, Di Matteo, Deschamps, George Weah na wote hawakubeba waje wabebe Kina Kalou na Malouda?
soka linaenda kwa era nyinyi mtasubiri mpaka Miaka 30 mbona unayo haraka? city na Chelsea acha wabadilishane ubingwa wewe ulijirimbikizia zamani hauna nguvu hizo unajitahidi tu ,tupo hapa tutaendelea kukumbushana itakapofika may, tuombe uzima tu
 
Wivuu tuu umewabana
 
Now keep playing our best footballers in every game possible and we may have a great shot kwenye EPL title come may.

we cant afford to drop un-necessary points now.

...and we need to add depth kwenye attacking area na 1 good defensive cover

if we can manage to finish really strong kwenye hii busy period, then we can start to dream.
 
Kabisa bro
 
soka linaenda kwa era nyinyi mtasubiri mpaka Miaka 30 mbona unayo haraka? city na Chelsea acha wabadilishane ubingwa wewe ulijirimbikizia zamani hauna nguvu hizo unajitahidi tu ,tupo hapa tutaendelea kukumbushana itakapofika may, tuombe uzima tu

Tatizo lenu Hamuchelewi kujipiga Ban nyinyi wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom