Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Thare was many like you from the so Called Rant Boys i.e. Chelsea Fanboys but now now they been Banned themselves to attend this thread..

I'm waiting for your ban I believed before January there will be no more trash from you and your fellow Ass-anal fanboys.
 
VISHABIKI VYA LOSELFOOLISH HAVIPENDAGI KUAMBIWA UKWELI LAKINI SISHANGAI NDIO SHIDA YA VIAJUZA VYENYEWE VINAKUWA MUCHKNOW SANA KWA VISINGIZIO VYA KUISHI MUDA MREFU DUNIANI MAANA VISHABIKI VYA HAKA KATIMU VYOTE VIMEZALIWA MIAKA YA 60 KUSHUKA CHINI

Pamoja na maneno mengi jana Old traford mlikuwa wazururaji, ooooooh tuko form sana halafu unadraw na Manchester ya Mourinho inayochechemea . Mpira wenu bado sana so punguzeni maneno na ngekewa
 
Endelea kuota

Mourinho huwa hacheki na Arsenal mind you anakuja kuwapigia kwenu maana navyomjuaga Mou ukidraw mechi ya kwanza ya pili anakuja kukutandika

Maneno meengi humu halafu mnazurura tu jana Old Traford
 
wewe umeona kuna tusi hapo?acha kukuza mambo hizo ni aina ya lugha ambazo anapewa mtu anayestahili...........kuna lugha ya kuongea na wazazi,vijana,watoto n.k so matumizi ya lugha yanategemea sana na mazingira na mlengwa
...na wewe tafuta pa kushinda, humu una ng'ang'ania nini ? Umekaa kirogi rogi tuu.
 
Pamoja na maneno mengi jana Old traford mlikuwa wazururaji, ooooooh tuko form sana halafu unadraw na Manchester ya Mourinho inayochechemea . Mpira wenu bado sana so punguzeni maneno na ngekewa
wewe ulimfunga ngapi?unasema tulikuwa tunazurula pale old traford lete takwimu za mechi ili kuthibisha hilo unalolisema......kama hauna takwimu basi hustahili kuandika hili uliloandika.....wewe dawa yako ipo jikoni nakuja kukupiga kipigo cha aibu hapohapo kwako hakika
 
...na wewe tafuta pa kushinda, humu una ng'ang'ania nini ? Umekaa kirogi rogi tuu.
kanuni za JF hazinizuii mimi kuwepo hapa sasa wewe nani mpaka unipangie pa kupost?hahahahahahah so tulia dawa ikuingie
 
u
Thare was many like you from the so Called Rant Boys i.e. Chelsea Fanboys but now now they been Banned themselves to attend this thread..

I'm waiting for your ban I believed before January there will be no more trash from you and your fellow Ass-anal fanboys.
sije ukajipa ban wewe mwenyewe kwa timu yako iliyo kama maua ya saa nne ........sisi tupo na tutaendelea kuwepo
 
Pamoja na maneno mengi jana Old traford mlikuwa wazururaji, ooooooh tuko form sana halafu unadraw na Manchester ya Mourinho inayochechemea . Mpira wenu bado sana so punguzeni maneno na ngekewa

Manchester UnitedArsenal2Goals2

48%Ball Possession52%

52Attacks43

24Dangerous Attacks23

1Shots Blocked2

0Shots Off Target2

4Shots On Target3

4Corner Kicks4

13Free Kicks15

5Goal Kicks2

1Offsides3

20Throw ins21

14Fouls Committed10

3Yellow Cards3

3Substitutions3

lg.php

kwa takwimu hizo nani aliyezurula?
 
Gomez out for six week? I'm dead meat! May Allah give me patience till that time.

Ata-miss hizi game ... too sad

• Bournemouth (A)
• Napoli (H)
• Man United (H)
• Wolves (A)
• Newcastle (H)
• Arsenal (H)
• Man City (A)
• Wolves (A, FA Cup)
• Brighton (A)
 
Ata-miss hizi game ... too sad

• Bournemouth (A)
• Napoli (H)
• Man United (H)
• Wolves (A)
• Newcastle (H)
• Arsenal (H)
• Man City (A)
• Wolves (A, FA Cup)
• Brighton (A)

We really need him against:
1) Napoli
2) Man U
3) Arsenal
4) Man City
 
Dawa ni kumuignore tu...matusi na michezo wapi na wapi..!?
hujielewi wewe,ungekuwa timamu ungeangalia mzizi ila kwakuwa ni empty set unaangalia matawi.....mimi nakula comments za jf useme ukiniignore ntashindwa kusurvive?piga kimya usitafute kiki kupitia mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom