BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Mkosi umeanza kutuandama sasaGomez out for six week? I'm died meat! May Allah give me patience till that time.
Ooh loveren anafurah tu huko alipo
Mkosi umeanza kutuandama sasaGomez out for six week? I'm died meat! May Allah give me patience till that time.
Mkuu waingereza huwa wanashida gan yaan mjeruhi daily mbaya zaid ni wale wale wanajirudiaWe really need him against:
1) Napoli
2) Man U
3) Arsenal
4) Man City
Mkuu waingereza huwa wanashida gan yaan mjeruhi daily mbaya zaid ni wale wale wanajirudia
Muda sio mrefu sturrige nae anaenda kuungana na CHAMBERLAND
kweli mpira unafki unafki tu yaani jana hawaloserfoolish wameshinda kiungo kikikamatiwa na le capitain HENDO hatusikii kelele za kupendelewa kwa ENGLISH PLAYERS wala nini....tunangoja mpigwe na bournamouth wikiend mtarud hapa kama sio KLOPP out basi mutamponda MILNER na HENDO dadadek .........mtu akifanya vizuri mpe sifa zake acheni unafki haujengi.....point 3 away hongereni sana ila milner na hendo wanamchango mkubwa ktk point hzo
Acha Ukazuzu dogo! Aliyecontrol Midfield area Jana Ni Keita na Ndiyomana tumenyamaza Coz tumeekewa Mtu tunayemuhitaji..
Halafu Jifunze Mpira usiwe boya, Jana ilikuwa ni Rotation kwa Wachezaji Kuwapumzisha Kutokana na Ratiba ya December na Ndiyomana Wameanza kina Origi, Sturridge, Moreno, Matip, Xhaqiri... Kwahiyo Hatuwezi Kumlalamikia Hendo wala Matip Bali Tunajudge kuwa Ni Kesi ya Rotation, Kwahiyo Kama Ni lawama tuilalamikie Rotation na si mchezaji.
Unajitahidi kuupenda Mpira lakini Mpira haukupendi.
Ambao hawana akili ni wanaomponda milner na hendo
Binafsi naona jamaa wako vzr sana sema ndo nyota
Wewe ni type ya watu ambao una ile mentality ya kwamba kama hujawahi kufanya kitu basi hujui, hata fundi akijenga ukuta na unaona umepinda ila kwasababu ni fundi basi unaona yuko sawa tu maana wewe sio fundi na hujawahi kujenga,Sijawai kukukubali kwenye uchambuzi wako
Kifupi ni hujui mpira wala techniques
Unapenda sana wachezeshaji
Ila jua kwenye mpira kuna kukaba pia
Najua hujawai kucheza mpira ndo mana
Wewe ni type ya watu ambao una ile mentality ya kwamba kama hujawahi kufanya kitu basi hujui, hata fundi akijenga ukuta na unaona umepinda ila kwasababu ni fundi basi unaona yuko sawa tu maana wewe sio fundi na hujawahi kujenga,
Pata like jombaaKizazi cha division 5 hicho mkuu, hakiwezi kujenga hoja yoyote kutetea point yake, kinakimbilia huna akili, hujui kitu.
Ukishaona hivyo unajua hamna kitu humu.
Wewe ni type ya watu ambao una ile mentality ya kwamba kama hujawahi kufanya kitu basi hujui, hata fundi akijenga ukuta na unaona umepinda ila kwasababu ni fundi basi unaona yuko sawa tu maana wewe sio fundi na hujawahi kujenga,
Kizazi cha division 5 hicho mkuu, hakiwezi kujenga hoja yoyote kutetea point yake, kinakimbilia huna akili, hujui kitu.
Ukishaona hivyo unajua hamna kitu humu.
Jenga hoja kama unayo na sio unapapatapapata bila kujua mpira
Watu kama nyie hamjui chochote ila mmebalikiwa kuponda2
Leta hoja kama unayo
Sijawai kukukubali kwenye uchambuzi wako
Kifupi ni hujui mpira wala techniques
Unapenda sana wachezeshaji
Ila jua kwenye mpira kuna kukaba pia
Najua hujawai kucheza mpira ndo mana
I'm not Musician Man kama Nahitaji your Support unikubali so as to Shine.
I'm here Mimi kama Mimi na wala sihitani Supporter yako ya Kuwa Unikubali.
HahahahaKizazi cha division 5 hicho mkuu, hakiwezi kujenga hoja yoyote kutetea point yake, kinakimbilia huna akili, hujui kitu.
Ukishaona hivyo unajua hamna kitu humu.
Watu wasio na hoja hukimbilia kuwaambia wenzao hawana akili, hawajui kitu Fulani etc
Badala ya kuja na facts za kutetea arguments zao.
Nikishaona mtu anatumia hii style kukwepa discussion naachana naye tu, au naelewa tu hamna hamna.
Mkuu hapa umenifundisha somo moja Kubwa sana.
Now nimejifunza Kuignore some pepoz...
shukrani mkuu kwa kulitambua hilo kuna vijamaa vinajifanya vinajua kuliko KLOPP humu.....watu wana maCV yao na utaalamu wa soka usio na mashaka wanaona kitu kilichopo kwa hawa jamaa wewe upo nyamkunya huko umeshiba sembe lako unaanza kupanga kikosi kwa wachezaji unaotaka wewe na kuwaponda wengine hawajui wakati wana mikataba na wanalipwa pesa ya kutosha.....Ambao hawana akili ni wanaomponda milner na hendo
Binafsi naona jamaa wako vzr sana sema ndo nyota