Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gini and Faby will defo start against Bournemouth now, unless Klopp wants to use them kwenye game ya Napoli

honestly will give up if Klopp atachagua Midfield ya Hendo/Millie/Gini dhidi ya Napoli.

Faby/Keita/Shaqiri au Faby/Gini/Shaqiri should be our Mid dhidi ya Napoli.
 
Btw, our captain had a good game though

amejitahidi today kwa standard yake.

props to him.
Hahaha man!! Yule hendo wa brendan rodgers aliotubeba mpaka the time akaumia tukakosa EPL anarud.. Akaze tu.. Coz i really dont see him getting benched anytime soon.. Tumkubali
 
waje wapi...kwa sasa humu watakua wanapita kimya kimya...ugeni mpya ni mashabiki wa Gooners ndio nawaona kutupia maneno ila nao siku yao ya kutoka nduki kama wa Chelshit haipo mbali...
Wewe piga kelele, ila muda wakuja kuweka turubai humu , haupo mbali

Soon mtapoteana humu,

Naomba itunze hii COMMENT narudia tena

ITUNZE HII COMMENT
IMG-20181206-WA0008.jpeg
 
Jumamosi mapema kabisa saa tisa tuchukue kichwa cha Bwanamausi kisha tutupie macho yetu hapo kwa Chelsea vs Man City.

Hawa Zariball nao wamepoteana sana sijui kama wataweza kumsimamisha City.
IMG_20181206_022508_414.jpeg
 
Wewe piga kelele, ila muda wakuja kuweka turubai humu , haupo mbali

Soon mtapoteana humu,

Naomba itunze hii COMMENT narudia tena

ITUNZE HII COMMENTView attachment 957613
Hii Ingekuwa tafu kuliko ile ya september ningeogopa lkn kwakuwa ni ... Vp kwanza si ulikua unapiga kelele unampiga man u ??? Imekuaje??? Note: Arsenal nyiny kelele nying mkasahau kwamba Liver na spurs mmewasumbua kwa makosa madogo ya makocha wake hilo unalijua sasa subir uje anfield dadika zako
 
Timu yetu inafanya vizuri lakini Performance ya Man City huenda ikawa Ni kikwazo kwetu!
Kwani kwa Points tulizonazo Ni za kuongoza Ligi lakini imekuwa ngumu kwa sababu ya Oil money.
 
Wewe piga kelele, ila muda wakuja kuweka turubai humu , haupo mbali

Soon mtapoteana humu,

Naomba itunze hii COMMENT narudia tena

ITUNZE HII COMMENTView attachment 957613
adui yako mwombee njaa...hio comment tunza mwenyewe haituhusu, tayari tumeshashinda mbili hivyo kelele za mara mtapoteana humu hazitusumbui..
walikuwepo akina Kimaro wenyewe wametoka humu kimya kimya baada ya Sari boys kuanza kupoteana na wewe Unai ni ivyo ivyo....
kocha wako jicho lake ni kumshusha liva alipo, ukifanikiwa hilo tujuze
 
Hahaha man!! Yule hendo wa brendan rodgers aliotubeba mpaka the time akaumia tukakosa EPL anarud.. Akaze tu.. Coz i really dont see him getting benched anytime soon.. Tumkubali
hakika hilini bonge la middle
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom