Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haya Majibu SG sijui anayafikiria muda gani na anakusudia kufanya Nini!! Ha ha ha ha

 
Muda wa timu kuwa chuo cha mafunzo umepita.tunataka matokeo ya haraka.chelsea au man city hawawezi kufanya timu zao vyuo.kama kuna kijana afanye jitihada kama TAA.Angalieni mpaka sasa Fabinho hajapata namba sembuse makinda
 
Muda wa timu kuwa chuo cha mafunzo umepita.tunataka matokeo ya haraka.chelsea au man city hawawezi kufanya timu zao vyuo.kama kuna kijana afanye jitihada kama TAA.Angalieni mpaka sasa Fabinho hajapata namba sembuse makinda
mkuu ishu sio kua chuo ishu ni kua na immediate plan B pale soko la kununua linakua hostile kwa target zetu, hawa makinda naamini wakipewa nafasi kama TAA, Gomez watafanya vizuri tu....na bila wasipofanya vzuri ni kuwauza tu hakuna namna...
ni kweli ushindani wa namba upo juu maana hata Matip, Lovren, Daniel n.k hawapati namba kikodi cha kwanza...
hapa namaanisha timu ikiongoza 2-0 wawe wanawekwa sio kusugua benchi la U23....
 
Mkuu

Mkuu ngoja kwanza tubebe vikombe hawa madogo watacheza tu
 
Fabinho hana tofauti na himid mao
 
Unajua kinachofanya Fabinho watu wasimuelewe Ni ule upole wake kuwa Mshkaji hana papara na hana Pacy, na Vile hafokei Marefa kunazidi kumfanya watu wasimuelewe..

Lakini kwasisi tunaojua Majukumu Yake basi tumeelewa alichokifanya leo.
Kiungo mbovu hana creativity
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…