Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hapa ndio nimeona upumbavu wa marefa wa kibongo dadadeki goli kama hili lilifungwa na MO IBRAHIM wa simba wakalikataa wakasema ni offside daaah sisi tuna safari ndefu sana
Marefa wa bongo wanasafari ndefu sana
 
wakuu naombeni clip ya goli kuanzia kwa VVD iliyotumwa inaonekana ndogo sana cjui tatizo ni nn
 
Watch the game again ukiwa umetulia.

Fabinho was the best midfielder kwenye game ya jana, matter of fact ni game yake bora kabisa akiwa na LFC mpaka sasa,

I was scared baada ya kuona line up ya Everton, na nikaona Fabinho will get bullied kama game ya Arsenal, Gomes and Gueye are top class CMs and Marco Silva seems to get the best out of them, but Fabinho won the battle jana (have to say was one of the greatest midfield battles in the league so far, and shout out to Gomes, he was good)

Faby wanted to prove a point jana and he did it, with Firmino out of form and not pressing anymore, it was so easy kwa Gueye, Gomes and Siggy kuchukua mipira kwenye eneo lao na kudrive in the middle, but Faby controlled them, and eventually came out on top.

guess tumezoea kuona CDMs wetu wakikimbia uwanja mzima na kuvacate spaces katikati na ndiyo maana huwa tunakuwa open sana in the middle, but positional awareness ya Fabinho ndiyo ilikuwa deciding factor kwenye battle ya jana, the way he makes himself available for passes and open passing angles to his team-mates is what differentiate a top class DM na wengine.

he won most tackles y'day (6 out of 7), compeleted 50 of his 58 passes, made 5 ball recoveries and won the ball for his team-mates 14 times, 72 touches and 86% passing accuracy. what more do you want from a DM after that perfomance?

he doesnt run with no purposes, doesnt shout to the players or reeferees, doesnt commit useless fouls, he's just a quiety dude ambaye anajua anachokifanya uwanjani na anafanya kwa usalama zaidi, unajua kuwa Fabinho ni moja kati ya DM wenye yellow cards chache sana? na in his career as a DM hajawahi ku-receive a second yellow card.

amecheza dakika si chini ya 400 at LFC na tayari anaongoza kwa kupiga progressive passes to our front three by 33% followed closely by Keita, tunapolalamika hawa jamaa waanze kwenye games, huwa tunaangalia hivi vitu pia.

Firmino needs a rest, and Shaqiri should play as a 10 and not RW.
Inapendeza mkiwapo watu kama nyinyi mana wengine tunamakengeza mbaya zaidi hata ukiona jinsi ya kueleza ni mtihani huo ndo ukweli nilitamani sana ni mjibu tangu jana ila nimeshindwa nikatamani nitukane tu nikajikuta sijawahi fanya hivyo.

Kuna watu wanazani kukimbia kimbia uwanjani ndo kujituma bila kujiuliza kafanya nini?

Kitu pekee nlicho kiona kwa Faby ni mbio hana baasi
 
Walimpoteza na Wanamrudisha

Natumai ni back up nzuri tu kama akibaki ana speed anakimo hata kufunga hafanani na Solanke.

King Ngwaba hamkubali nahisi kiwango kibovu alicho unyesha kule wolvobag.kule saikolojia haikua nzuri mana alikua na matumaini makubwa ghafla yakashwa kwa dharau lazima uharibikiwe. Dakika hata kumi hana nazani tayali anagoli muhimu hafanani na Salanke kabisaaaa.
Screenshot_2018-12-03-13-01-58.jpg
 
Umesahau dakika 2 alizojilaza mchezaji wenu na sub za dakika ya 94, refa alikuwa fair kabisa

Naona kasahau au mechi hakuangalia kabisa. Katika dakka4 zilizoongezwa, Everton walitumia dakka2 na sekunde 40 kujilaza chini na kufanya sub ilimrad muda uende plus ugomvi kwa gomez.

Kumbe refa tayar alikuwa kawasoma akawa amesimamisha muda.
 
Liverpool Fc so far this season after 14 matches played in the English Premier League :
_
🔴 2nd in the EPL with 36 pts
🔴 11 Wins & 3 Draws
🔴 9 Clean sheets
🔴 Still Unbeaten in the EPL.
🔴 Best Defense with only 5 goals conceded
🔴 Best unbeaten run home record-28 matches
#YNWA💪💪💪💪
 
wewe umehamia wapi ndugu yangu?mbona sikuoni ktk rada za ubingwa?mimi na ww tumepishana point ngapi ndugu?na bado mechi ngapi ligi iishe?tar 5 una burnley away ,tar 8 una bournalmouth away tar 16 una manure hapa kwa ushindi wako wa tia maji tia maji lazima upigwe game mbili nyambaf then mm nakaa hapo nampumulia city kipindi hiko ww una stress za futuhi hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Amka acha kuota ww
 
mimi nlikuwa nishaondoka bandani kwa kujua loserfool washapoteza point mbili kumbe hili lirefa lilikuwa linasubiri jamaa wapate kagoli kandondokela poor refa
Walipoteza muda dakik za nyongeza thus y refa alivuta muda kidogo kama inauma chomoa
 
Dharau haijawahi kumpa mtu yoyote any self esteem

Hukua na haja ya kututusi namna hii bila sababu

Kumbuka hao unaosema wamezaliwa 60s ndio wanaokulea

Anyways... Yawezekana u mtoto was kikopo, and that's where you belong

Ustaarab sio kwa Kila mtu.... Nimeamini
Mkuu ukute ni mwanafunz wa form one huyo maana ndo wenye tim kama man city , PSG so achana naee
 
I guess its the right time now! Klopp a stick na defense aliyo idemonstrate mwenyewe since pre-season na ikakubal
Robertson-VVD-Gomez-TAA

Ushindi wetu in most games unaanzia kwao.. sijamkataa Lovren(hasa nkikumbuka mchango wake kwenye UCL vs madrid though tuliloose, ila for now natamani abak kwa ajili ya FA tu

Kwenye suala la Gengenpressing nakubaliana na nyie guys its time tuiache ili isicost injuries though to me naikubal sana mpaka kesho(refer game zetu zote vs Man city)

All in all Klopp ni tactical kwenye sub hasa after impression ya wachezaji wote + Klopp after lile goli. You can see that these guys mwaka huu wanapambana sana!
Kudos to them all
 
Dharau haijawahi kumpa mtu yoyote any self esteem

Hukua na haja ya kututusi namna hii bila sababu

Kumbuka hao unaosema wamezaliwa 60s ndio wanaokulea

Anyways... Yawezekana u mtoto was kikopo, and that's where you belong

Ustaarab sio kwa Kila mtu.... Nimeamini
tatizo lenu ni hapo tu huwa hamuangalii chanzo.....wewe unaenjoy sisi tukiitwa as-anal ila ww ukiitwa loserfool ni ttz tayar kikubwa tu uelewe kila mtu ana sababu zake za kupenda kile anachoshabikia na huo ni utani tu wakishabiki wala hatupigani mawe hapa ...kuwa na amani mkuu.......................sijaona tusi nililotukana hapo na kama nimewakwaza plz MNISAMEHE bure kwani mm soka ndio furaha yangu na utani wa hapa na pale ila wewe ungekuwa una battle na watu dizain ya HAJI MANARA hakika unaweza kurusha ngumi.............

MPIRA SIO VITA NA RAHA YA MPIRA KWA SISI WASHABIKI NI HIZI TAMBO NA UTANI WA HAPA NA PALE

sorry mkuu kama nimekukwaza ila naomba kukazia kidogo

ukiishi kwenye nyumba ya vioo usichokoze ugomvi wa mawe
 
Jurgen Klopp has been charged with misconduct by the FA following his celebrations on the pitch against Everton. He is likely to accept the charge, which would result in a fine and a warning as to his future conduct.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom