Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Huo ugumu wa PSG ukwap mbona siuoni tangia UEFA imeanza? Liverpool anahitaj kushinda mechi ijayo hata moja bila, automatically anakuwa amepigwa vikwazo.
 
Najiuliza sana nini kimeikumba liverpool safar hii
katimu kao chembamba sana mkuu yaani kana kikosi kimoja tu na tatizo linaloikabili ni fatigue maana wachezaji wale pendwa wametumika sana msimu uliopita kwa hiyo kwa sasa wapo hoi so wakijaribu tu kuingiza magarasa yao yaliyopo kule akiba ni mwendo wakuchezea kichapo tu............nakwambia haka katimu wangekapanga juzi tungewafumua HAMSA bila huruma........LOSERFOOL hii ni afadhali ya MAN UTD yko mkuu amini hivyo
 
Team

Team nyembamba lakin bado imeizidi team yako kwa points kuanzia EPL na UEFA ipo pazuri.

Hapo ukute we mshabik wa Arsenal
 
Kweli mkuu wasingetoka hawa naamini hilo nimeona mechi zao kuna mtu humu nilimwambia mmemfunga spurs lakin alikuwa bora alikataa vibaya sana.
 

Man U hii inayotegemea Lukaku na Rashford? Hahahaha hebu kuwa serious Mkuu,
 
Team


Team nyembamba lakin bado imeizidi team yako kwa points kuanzia EPL na UEFA ipo pazuri.

Hapo ukute we mshabik wa Arsenal
Mkuu liverpool hata msimu uliopita alikuwa na point kibao tu mwisho wa siku mkaanza kupigania top 4 sijaona mantiki yake
 
kwahiyo hao kina lallana ni wachezaji wa BIASHARA UNITED? mkiambiwa kikosi chenu kidogo hamkubali sasa kwahiyo wakiumia wachezaji 6 wa kikosi chenu pendwa mnatoa timu katika mashindano?
wewe upo NANGURUKURU unampangia kikosi kocha aliye ANFIELD ambaye anaonana na wachezaji na kujua matatizo yao mbalimbali yanayowakabili........punguza ujuaji hakuna kocha anayependa kufungwa katika michezo yote duniani
 
Hatukatai kufungwa ndugu...but Lallana ahead of Keita kweli???
Matip ahead of Gomez?
Weka Fabinho number sita peleka Keita hapo juu. Klopp aache kuwaogopa waingereza bana, they are trash.

Liverpool vibonde hata ungeingia wewe mngefungwa tu , haha liverfools !!!
 
Hebu taha
 
Yote kwa Yote Hii ndiyo Matokeo ya Kumkataa Fekir kisa tu eti Lallana amepona Majeruhi.

Now let us enjoy Shoo ya Lallana inayoprove that we are right Kumkataa Fekir because of him ha ha ha ha ha ha ha ha
Kwa hiyo Fekir hakusajiliwa sababu ya Lalana?

Na Jana mmefungwa sababu Lalana kacheza
 
Kwa hiyo Fekir hakusajiliwa sababu ya Lalana?

Na Jana mmefungwa sababu Lalana kacheza
hahahahahaha nimecheka sana hivi unaanzaje kumpigia hesabu mchezaji wa OLIMPIC LYON na wewe katika benchi una wachezaji lukuki huku ndio KUPATWA KWA SOKA
 
Mkuu usilie lie sana. Hakuna timu hisiyofungwa hata Kama ni Bora kiasi gani. Kubali kushindwa tu. Wachezaji wote wanauwezo mkubwa wa kucheza mpira ndiyo maana wamesajiliwa anfield.
 
Tulia dawa ikuingie. Husije pata personal conflict kisa klopp.

Mim naamini wachezaji wote ni sawa na ndiyo maana mmewasajili. Pia juzi hapa mlisema Fabinho amewagarimu mechi iliyoisha. Leo kawa mzuri baada ya kutoanza. Siku Sturrige amewaokoa dhidi ya Chelsea pia mlisema firmino awekwe bench ili Sturrige aanze Leo firmino amekuwa mzuri baada ya kuwekwa bench.

Mimi huwa nawaangalia tu mnavyojisifu na kuwasifu wachezaji wenu pindi mnapotoka na ushindi. Na hii tabia mashabiki wengi wanayo. Bila kujua kuwa mpira huwa ni plan. Na kila timu inaingia uwanjani kutaka kushinda. Kupoteza na kutoa draw huwa ni matokeo pia. So calm down.

Jipange na uje plan nzuri ya kumuangamiza Napoli na PSG
Meanwhile....pole kwa kufungwa na timu isiyojulikana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…