Unakariri mambo tu!loserfool habebi kombe lolote msimu huu niamin.kwanza timu yenyewe sio pana kikosi kinachotegemewa ni kimoja tu hao walio nje huko ni ushuzi mtupu..................salah huyu sio yule wa msimu uliopita amedrop kidogo ,,,,hivyohivyo kwa mane na filminokagere...............hao walio nje ndio wale miguu ya glasi lalana,sturridge,moreno nk hao kina shaqiri na fabinho ni fropper yani hii ligi ikifika katikati ndio mtaelewa nini nazungumza
Nakushauri ondoka hapa, hapakufai
Nakushauri hamia kwa team ambayo umeambiwa na watabiri kama ndiyo itachukua kombe!
Nani anampendelea muingereza hastahili kucheza?
Liverpool hii inachukua kombe tena sio FA
Ni Liverpool bora kabisa kupatwa kukusanywa na kocha yyt yule ktk modern football era
Team inafanya vyema bado mnaongea madudu tu!
Nani hajamfunga Soton?City kamfunga nani ambaye Liverpool hajamfunga?
Uchambuzi mbuzi kabisa
Kuna wachambuzi wa ajabu sana aisee
Eti hadi ana swear!
Ni kawaida team moja kuongeza points na ingne kupunguzwa points kutokana na team unayo cheza nayo week husika
Mfano week ijayo,Man City vs Man U
Liverpool atacheza na Fulham
Hapo ni wazi kabisa Liverpool ataongeza points wkt Man City na Man U wanapunguzana wao kwa wao
Jana Arsenal vs Liverpool tumepunguzana lkn Man City kacheza na trash Soton kashinda
Liverpool atacheza na Newcastle siku ambayo Man City na Chelsea watapunguzana
Mtu hayajui haya anaongea sijui madudu gani
Liverpool tupo sawa sana,sijapata ona Liverpool bora kama hii
Thank you Klopp,thank you very much
loserfool habebi kombe lolote msimu huu niamin.kwanza timu yenyewe sio pana kikosi kinachotegemewa ni kimoja tu hao walio nje huko ni ushuzi mtupu..................salah huyu sio yule wa msimu uliopita amedrop kidogo ,,,,hivyohivyo kwa mane na filminokagere...............hao walio nje ndio wale miguu ya glasi lalana,sturridge,moreno nk hao kina shaqiri na fabinho ni fropper yani hii ligi ikifika katikati ndio mtaelewa nini nazungumza
Inaitwa Chelsea sio shit
Unaona wivu kwa vile tumekushusha Mpaka ya tatu [emoji3]
Spurs kwangu sio kigogo
Shaqir HAWEZI kukabaMimi Ninachoamini Klopp akijiamini Katika Upangaji Kikosi (((Sizungumzii Ufundi Kwani Najua Klopp Ni Fundi ila ninazungumzia Kupanga Kikosi kwani Kwenye Kupanga Kikosi Ndiyo Udhaifu Wa Klopp))) basi tutaweza Kupambana Kombe lolote na Kulibeba.
Lakini iwapo atapanga kikosi kwa kuwabeba baadhi ya Wachezaji Wa Kiengereza na Wale Wageni Wanaopendwa na Waingereza, basi si rahisi kushinda taji..
Ninachoomba Ni kuwa Klopp ajiamini kupanga Kikosi ili tushinde taji.
Huu Ni Wakati Wa Xhaqiri kuanza Kwenye Midfield na si Lallana au Milner.
Man City anacheza vyema na teams ndogoKwa sababu hadi sasa hakuna wa kumzuia Manchester city mkuuu
Kajifunze kwanza uandishi wa lugha yako kwa ufasaha ndio uje hapa! Uandishi wako umeongea vitu vingi kuliko ulicho kiwasilisha hapa jukwaaniloserfool habebi kombe lolote msimu huu niamin.kwanza timu yenyewe sio pana kikosi kinachotegemewa ni kimoja tu hao walio nje huko ni ushuzi mtupu..................salah huyu sio yule wa msimu uliopita amedrop kidogo ,,,,hivyohivyo kwa mane na filminokagere...............hao walio nje ndio wale miguu ya glasi lalana,sturridge,moreno nk hao kina shaqiri na fabinho ni fropper yani hii ligi ikifika katikati ndio mtaelewa nini nazungumza
Man city tutamshusha siku tunacheza nae sisi chelseaKwahiyo Hamuna mpango Wa Kushindana na Man City anaeoongoza Ligi Bali Munashindana na Liverpool kwenye Nafasi ya Pili au?
Mimi siwezi kukuonea Wivu kwa Nafasi ya 2 kwani Kwenye Ligi Nafasi Muhimu Ni ya Kwanza tu.
Sisi tumekaa nafasi ya Pili kwa Wiki kadhaa na wala Hatukuwahi kufurahia nafasi ya Pili bali tuliwaza Ni lini tutakaa juu ya Man City.
Lakini wewe kukaa Nafasi ya Pili kwa Siku 3 tu unaanza kujisifu.
Subiri baada ya Wiki mbili ikisha ulete Mrejesho utakuwa Nafasi yangapi!!!
hayo ni maneno tu ...wewe mwenyewe unajua fika kuwa huna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu na suala la ARSENAL kumaliza juu ya LOSERFOOL ni suala la muda tu so tutaona...........katimu kembamba sana hako tusubiri january ................mkichukua ubingwa na timu hii mimi nahama GUNNERSArsenal Akimaliza Juu Ya Liverpool Nakuhakikishia Nahama JF na Nahama Mjini Ninarudi Kwetu Kijijini na Kuachana na Mpira
wewe ndio umeongea nini? mbona kama umepuyanga tu..........huelewekiKajifunze kwanza uandishi wa lugha yako kwa ufasaha ndio uje hapa! Uandishi wako umeongea vitu vingi kuliko ulicho kiwasilisha hapa jukwaani
mabeki- clyne,moreno,lovren majanga huyo lovren na matip ni kama maua ya saa nnehawana tofauti na mustafi wangu yaani hapo majembe ni gomez,VVD,ROBO na TAA ambaye nae msimu huu kama ana kauchovu flani nafikiri sababu ya kutumika sana...Unakariri mambo tu!
Mabeki wa pembani:Clyne,TIA,Robo,Moreno
Mabeki wa kati:Matip,Lovren,Gomez,VVD
Viungo:Wilj,Milner,Fabihno,Keita,Hendo,Lallana
Mbele ndiyo wala sitaji akina Dan akina Shaqir na watatu regular!
Kikosi kipana kama hiki kinacho weza kuwa na team mbili kali na bado wachezaji wakabaki kinaitwa eti sio kikosi kipana!Maajabu haya kwa kweli
Liverpool tupo OK sana na tusubiri May
hayo ni maneno tu ...wewe mwenyewe unajua fika kuwa huna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu na suala la ARSENAL kumaliza juu ya LOSERFOOL ni suala la muda tu so tutaona...........katimu kembamba sana hako tusubiri january ................mkichukua ubingwa na timu hii mimi nahama GUNNERS
sio mingi wapo jamaa fulani les blues walisubiri miaka 50Teh teh umehamia kwenye timu ya taifa tena mkuu. Kubali tu umeshindwa
Binafsi hata mimi sikumbuki mara ya mwisho kufuzu ilikua lini ninachokumbuka ni liver alichukua epl mwaka 1990 takribani miaka 28 iliyopita[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mangi katika ubora wake...Match za wakubwa kesho Liverpool anashuka Mpaka nafasi ya 3
Nimebet sare nimekula Mzigo wa maana tu
Asanteni wana Liverpool
Firmino eti anacheza kama jana yake alijamiiana na mke wake! Inasikitisha sana