Sawa kama zile tulizo kosa sio nafasiNiwe na chuki na mchezaji wa liver inanisaidia nini? Yaani kutofautiana kimawazo ndio uconclude kwamba ni chuki?
Inawezekana unafurahishwa zaidi na chenga kuliko kutengeneza nafasi au kufunga magoli... kama salah angekuwa makini kipindi cha kwanza basi tungekuwa tunaongoza si chini ya goli mbili, harafu pia inabidi ukumbuke goli letu jana limetokana na juhudi za mane sasa kati ya mimi na wewe nani anachuki na mchezaji
Naona lawama nyingi za kuboronga kwa mid yetu jana zinaenda kwa Fabinho while both Milner and Gin walifichwa, Arsenal waliutawala sana mpira eneo la kati, generally our perfomance was poor ingawa still unbeaten and one point away so mbaya. Msimu huu bundi kahamia eneo la midfield but we have time to change
Huu uzi ni wa liver, ukitaka goli la arsenal nenda kwenye uzi wao utalikuta kashaliwekaTupia na la Lacazette
Jana tuliona Nani ni boraKuna fan boy flani ivi wa arsenal anaitwa Aaron anakuambia toreira ni bora kuliko fabinho
Salah alicheza vizuri haswa kwenye kutoa pasi za mwisho kumbuka ile ya vvd na kipa wa arsenal ila kuna muda mwingine yeye kama striker alipaswa awe na maamuzi magumu ya kujaribu yeye mwenyewe kuliko kutoa pasiYani Salah anakaa na mpira bila mantiki kweli kabsaa?
Hivi kati ya hao nani alitengeneza nafasi zilizo koswa?
Inamaana hujamuona mane alivyo kua anamtegemea refa badala ya kupambana? Utakua unachuki zitakutesa.
Kwa wachezaji wa mbele Salah kacheza vyema mnoo.
Kama unazani kufunga ndo kucheza vyema mimi hapana.
Sala kupoga hawezi wala usitegemee apige mbali afanikiwe mchunguze anafunga kiujanja ujanja tu anazidiwa mbali na shaqili kwa nguvu za kupigaSalah alicheza vizuri haswa kwenye kutoa pasi za mwisho kumbuka ile ya vvd na kipa wa arsenal ila kuna muda mwingine yeye kama striker alipaswa awe na maamuzi magumu ya kujaribu yeye mwenyewe kuliko kutoa pasi
ni kweli klopp huwa hana maamuzi magumu na huwa hana plan bSala kupoga hawezi wala usitegemee apige mbali afanikiwe mchunguze anafunga kiujanja ujanja tu anazidiwa mbali na shaqili kwa nguvu za kupiga
Hafu ujue sisi hatutumii triker. Ma striker ni Sturige Origi na Solanke mfumo unawakataa japoa kwa Origi aliumudu akatufikisha fainal
Jana nimegundua Klop hajiamini
Kanikera sana Napol wakija tujiandae kupotea tenani kweli klopp huwa hana maamuzi magumu na huwa hana plan b
kwa napoli nafikiri tutafanya vizuri maana ile mechi ya kwanza na napoli klopp mwenyewe alikiri kuwa liver iliperform below standardKanikera sana Napol wakija tujiandae kupotea tena
Niwe na chuki na mchezaji wa liver inanisaidia nini? Yaani kutofautiana kimawazo ndio uconclude kwamba ni chuki?
Inawezekana unafurahishwa zaidi na chenga kuliko kutengeneza nafasi au kufunga magoli... kama salah angekuwa makini kipindi cha kwanza basi tungekuwa tunaongoza si chini ya goli mbili, harafu pia inabidi ukumbuke goli letu jana limetokana na juhudi za mane sasa kati ya mimi na wewe nani anachuki na mchezaji
Kwenye game vs Napoli tulifungwa hasa Hata draw ilitushinda wakati Henderson alikuwemo.
Na Midfield yetu iliwekwa Mfukoni mwanzo mwisho na Napoli.
Kwahiyo logic yako sijajua umekusudia nini.
Imekuwaje tena mabingwa mbona ndio kwanza mechi 10 mnaanza kumtukana Klopp?and, kama Top Class midfielders like Faby and Keita watashindwa ku-work at LFC,, then forget kuhusu aina yeyote ya talented midfielder ku-work under Klopp.
he needs to play his workhorses mids, asije akaharibu reputation ya kina Keita...
Imekuwaje tena mabingwa mbona ndio kwanza mechi 10 mnaanza kumtukana Klopp?