Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,600
Lallana hutokuja kumuelewa mkuu... huyo kazi yake kupiga vyenga na kuchelewesha mashambulizi, angalia baada ya yeye kutoka shaqiri anaendana na speed ya front three yetu kama ChamboUzuri Gomez huwa anacover makosa baadhi ya VVD kwenye mipira ya chini, na nafasi za tackling anazifanya yeye kwa ufanisi.
Mpaka jana nikatamani angekuwepo labda angeweza kuucheza yeye ule mpira (though goli lingeweza kuingia vilevile).
Mimi kutokuwepo Henderson jana kulinipa amani sana, ila Lallana nimeshindwa kumwelewa, naendelea kukaa kimya kwanza.
Mkuu Kimario nakuhakikishia Leo point 3 hupati
Hata mizimu ya mshana jr inakukatalia kabisa ulichosemaMkuu Kimario nakuhakikishia Leo point 3 hupati
Nakwambia hata mizimu kutoka chato imegomea huu utabiri wakoNyinyi Washabiki Muna Visa kweli 😀😀😀
eden kimario hii Duwa inakuhusu huenda ukaambulia Sare ya Kirohombaya Leo.
[emoji16][emoji16] sasa lengo lako unapigia ramli team nyingineLazima uweke lengo kama huna lengo na wachezaji wa kukufanya ufikie hilo lengo utaishia kulialia tu
Liverpool wana malengo huu ni mwaka wa tatu sasa wa kupambania EPL lakini wachezaji wa kuwafikisha huko hawana Mpaka leo[emoji16][emoji16] sasa lengo lako unapigia ramli team nyingine
Wazee wa kujenga timuLiverpool wana malengo huu ni mwaka wa tatu sasa wa kupambania EPL lakini wachezaji wa kuwafikisha huko hawana Mpaka leo
Foward oriented. Huwa harudi nyuma asee.[emoji23] [emoji23]Dwarf Man Xhaq....
• Kaplay dhidi ya Red star, Tumemla 4
• Kaplay dhidi ya Cardiff, Tumemla 4
Kinachonipendeza Ni Kitu Kimoja tu Kutoka Kwake!!!
Akipata Mpira tu Haangalii Nyuma wala Pembeni Bali Anaelekea Kwenye Mashambulizi moja kwa moja... That is why front 3 wanaanza kucheka Na Nyavu..
Xhaq yuko Faster sana kwenye Kuattack.
poa Mangi asante kwa mwariko...Hakuna cha kuboa mkuu hata wewe unakaribishwa kule
Sisi huwa tunapita kuwajulia hali tu
Nakuunga mguu aiseeee
Hohoho red 2naenda kumpiga tena 4 pale kwakeDwarf Man Xhaq....
• Kaplay dhidi ya Red star, Tumemla 4
• Kaplay dhidi ya Cardiff, Tumemla 4
Kinachonipendeza Ni Kitu Kimoja tu Kutoka Kwake!!!
Akipata Mpira tu Haangalii Nyuma wala Pembeni Bali Anaelekea Kwenye Mashambulizi moja kwa moja... That is why front 3 wanaanza kucheka Na Nyavu..
Xhaq yuko Faster sana kwenye Kuattack.
Hongereni kwa ushindi mnono. Two weeks sipo online nikaona nije kuwapa hongera zenu. Sisi ni wapenda soka na soka ni burudani siyo uadui. You deserved to win the gameKinachonifurahisha zaidi Ni kuwa Salah anarudi kwenye form
Sky is the limit bruv!How far can you go buddy!?
Hongereni kwa ushindi mnono. Two weeks sipo online nikaona nije kuwapa hongera zenu. Sisi ni wapenda soka na soka ni burudani siyo uadui. You deserved to win the game