Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa General results tunaweza kusema ni improvement lakini Kwa Performance ya timu inasikitisha na inakatisha tamaa Liverpool tumeflop kabisa Hii style tunayocheza hivi sasa itafikia mwisho itafeli tu We need to change
exactly my brother..

you're spot on.
 
Sometimes unajikutia unameza maneno yako! Kocha Msaidizi Wa North Ireland Roy Kean aliwahi Kusema "I will not watch Liverpool even if they are playing in my back garden".

Lakini Jana Aliishia Kuwaangalia Liverpool U23s kwa ajili ya Kumfatilia Kipa wetu Coimhin Kelleher..
Vipi siku hizi Lovren kawa mzuri?
Maana Lovren na Hendo si wote mlikuwa mnawatukana hapa,mbona siku hizi sioni kejeri kwa Lovren?
Katoka juzi Hendo dakika ya 45 tu tuliongeza bao ngapi?
Takwimu zinawatia sana aibu
The real Liverpool fans tutamshangilia mchezaji yyt wa Liverpool anayepewa jezi na Klopp
We are Liverpool,together we stay!
 
Binafsi sijaona shabiki wa LFC anaemhusudu Dejan Lovren,

Ahahahahhaha, huyo Hendo kila shabiki wa mpira ambae si mnafiki hawezi kumkubali huyo Hendo

Eric Dier vs Hendo ? Huuuh!
 
Eric Dier anakaa nje kwa Hendo team ya Taifa
Nae Southgate anampendelea Hendo?
Hendo kila team ana anza!
 
Haya bwana, inawezekana uko right or either way
Kwenye mvua,kwenye jua tuishangilie team yetu kaka!
Achana na hawa vijana ambao kuna kipindi hapa hata Klopp walimuanzishia zengwe la 'Klopp OUT"
Lkn sasawanamshangilia Klopp
Sasa wanamshangilia Lovren
Just a matter of time tu watamshangilia Hendo
 
He’s a troll..

Bet he started supporting LFC in 2005 after that CL final..

And aliona influence ya SG kwenye ile game, but he still think Hendo who cant even influence the team and hides away from the ball can win us a big trophy like CL..

Anaishia kutuambia winning trophy ni “collective effort”, well you need to have an influential captain to make that shit argument even count, whatsover.

• Na Cha Ajabu ni Kuwa Aliumia Chamberlain ikazua taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Keita ikazua taharuki kwa Washabiki.

• Firmino aliumia Jicho ikazua Taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia VVD ikazua taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Mane ikazua Taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Salah ikazua taharuki Kwa Washabiki.

Lakini Kwanini Kuumia Kwa Henderson Juzi imekuwa Ni Kama Blessing Kwa Mashabiki Wengi Wa Liverpool? Kwanini Washabiki Wengi Wa Liverpool Wameoneshwa Kufurahishwa na injury ya Henderson?
Je Mtu hajiulizi tu haya Maswali ili agundue kuwa No one cares about Hendo injury?
 
Hivi Kuna Mtu anayemuhesabu Lovren kuwa Mchezaji Wa Mpira tena anayestahiki Kucheza timu kama Liverpool??

Tulinyamaza Kumlalamikia Lovren Kwasababu alikuwa Akisugua Bench mbele ya Gomez..

Sasa utamlalamikiaje Mchezaji Anayesugua bench?

Tokea Mechi Mbili zilizopita Hapa tumepost Mara nyingi tu kuwa Klopp ameamua Kuuwa kwa Makusudi Kiwango cha TAA na Kuidestroy Future ya Gomez ya CB kisa tu Lovren nayeye acheze.

Hakuna Anayejua Mpira akaweza Kumsifia Lovren ambaye ni Shit player accident waiting to happen.
 
The Greatest Midfielder Ever in English Football "Le Capitane Hendo" has 6 passes in his locker:

1) Side pass
2) Square pass
3) Back pass
4) Delayed pass
5) Overhit pass
6) Wrong pass

He is our greatest Captain ever
 
• Na Cha Ajabu ni Kuwa Aliumia Chamberlain ikazua taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Keita ikazua taharuki kwa Washabiki.

• Firmino aliumia Jicho ikazua Taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia VVD ikazua taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Mane ikazua Taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Salah ikazua taharuki Kwa Washabiki.

Lakini Kwanini Kuumia Kwa Henderson Juzi imekuwa Ni Kama Blessing Kwa Mashabiki Wengi Wa Liverpool? Kwanini Washabiki Wengi Wa Liverpool Wameoneshwa Kufurahishwa na injury ya Henderson?
Je Mtu hajiulizi tu haya Maswali ili agundue kuwa No one cares about Hendo injury?

Siyo vizuri kumwombea mwingine majeraha ila huyu jamaa natamani akae nje kama mwezi hivi.

Hahaha, washabiki wanashangilia Hendo kupata injury!
 
• Na Cha Ajabu ni Kuwa Aliumia Chamberlain ikazua taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Keita ikazua taharuki kwa Washabiki.

• Firmino aliumia Jicho ikazua Taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia VVD ikazua taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Mane ikazua Taharuki Kwa Washabiki.

• Aliumia Salah ikazua taharuki Kwa Washabiki.

Lakini Kwanini Kuumia Kwa Henderson Juzi imekuwa Ni Kama Blessing Kwa Mashabiki Wengi Wa Liverpool? Kwanini Washabiki Wengi Wa Liverpool Wameoneshwa Kufurahishwa na injury ya Henderson?
Je Mtu hajiulizi tu haya Maswali ili agundue kuwa No one cares about Hendo injury?
LoooooL
Bro ignore that dude..

unaweza ukakuta unachat/kubishana na mtu kakuzidi miaka 50, na ukawa unamkosea Mungu tu Aisee.

a young dude anayefatilia modern football hawezi kuwa na fikra za ajabu kama za huyo jamaa.
 
Trent Alexander Arnold: “There is nowhere else I’d rather be than Liverpool. Somewhere I want to stay for the rest of my career is Liverpool."

Its so sad kumkuta Kocha anadestroy Career ya Young player kama Huyu kwa ajili ya 29 years old shit player.

Then someone from nowhere anatuambia not to speak about this because Klopp knows best.

Now two games TAA ni Benchwarmer kisa tu eti Lovren nayeye apate Kucheza.
 
Unbeaten in the Premier League. 🙌

√ 9 Games
√ 7 Wins
√ 2 Draws
√ 16 Goals Scored
√ 6 Clean Sheets

Points 23

Hapa Kuna Msemo Flani Wa Sir A. Ferguson kuhusu Defence umenifanya Niuamini.
 
Hivi Kuna Mtu anayemuhesabu Lovren kuwa Mchezaji Wa Mpira tena anayestahiki Kucheza timu kama Liverpool??

Tulinyamaza Kumlalamikia Lovren Kwasababu alikuwa Akisugua Bench mbele ya Gomez..

Sasa utamlalamikiaje Mchezaji Anayesugua bench?

Tokea Mechi Mbili zilizopita Hapa tumepost Mara nyingi tu kuwa Klopp ameamua Kuuwa kwa Makusudi Kiwango cha TAA na Kuidestroy Future ya Gomez ya CB kisa tu Lovren nayeye acheze.

Hakuna Anayejua Mpira akaweza Kumsifia Lovren ambaye ni Shit player accident waiting to happen.
Upo wrong tena na go check your records
Lovren HAJAWAHI kaa nje kwa Gomez akiwa mzima,alikuwa anaumwa baada ya kazi kubwa ya WC
Sasa kapona Gomez kaenda pembeni na watakuwa wanabadirishana na TIA huko
Lovren na VVD ndiyo partner yetu kati na huwezi badiri hapa
EPL kacheza so far two games two clean sheets
In Lovren,we trust!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom