Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ubingwa ni collectively effort sio za mtu mmoja!!
Ukweli ubaki kuwa hamuwezi mfikia kwa lolote Klopp anaye mpa Hendo nafasi
Nyie mnajua kuzidi hata Southgate?Hao akina Winks wanaenda benchi Hendo akiwa mzima!
Mnatia tu aibu hapa!
Jana katoka mapema sana HENDO,wanaojua walisaidia kufunga ngapi?

Mawazo kama haya Ndiyo yaliyofanya Ndani ya Miaka 6 tusishinde chochote
 
Angekuwa na kiwango kama hiki cha sasa asingekuja kwa Milion 34!
Mane tuliona potential ipo lkn hakuwa ameiva
Ndiyo maana akaja very cheap!
Sasa Mane kumtoa Liverpool unaongelea 100+M!
Kpandisha sana stock yake
Mane million 100!!!

Unatakiwa uwe siriyaz mkuu.
 
Naona ameingia"an enemy from within", tutakutana hapo mbele kidogo
 
Kama unamnunua kipa Kepa kwa milion 75 kwa nn usimpe Mane Milion 100?
Markets have been inflated drastically
Keeer wenu kwa kawaida hata milion 25 hafiki yule lkn mkatoa milion 75 mbona?
Mane atavutia investors wengi zaidi ya Keeper Kepa

Ebana Bro Samahani kama hutojali naomba nijue umri wako?Samahani kwakua out of topic?
 
Kama unamnunua kipa Kepa kwa milion 75 kwa nn usimpe Mane Milion 100?
Markets have been inflated drastically
Keeer wenu kwa kawaida hata milion 25 hafiki yule lkn mkatoa milion 75 mbona?
Mane atavutia investors wengi zaidi ya Keeper Kepa
...bila kusahau wameuza kipa mzuri kwa Real Madrid kwa nusu bei ! (unauza Benz bei poa, unanunua Carina bei mbaya !)
 
Makocha Wanajua Zaidi Kuliko sisi Lakini Kuna Wakati Kwa Kiburi tu Wanajitafutia Matatizo kwa Makusudi..

Kwa Mfano Tokea Klopp aje Liverpool basi Katika Msimu Ambao Tunacheza Mpira Mbovu Zaidi ni Msimu huu. Lakini Katika Msimu ambao tunafanya Vizuri zaidi ni Msimu huu.

Hapo Hapataki Degree kujua reason Bali kila Mtu anafahamu Kuwa Ni Strong Defence (Alisson, Gomez and VVD) ndiyo iliyotufikisha hapa na Kuonekana sisi Ni Wabovu lakini tunafanya maajabu.

Sasa hili tumelipigia kelele zamani tokea Msimu Wa pili Wa klopp kuwa Beki yetu Ni mbovu inatakiwa kufanyiwa mabadiliko! Lakini alijaribu kutuaminisha kuwa Karius, Lovren na Klavan Kuwa Ni Best CBs.

Hivi tungelikuwa na Alisson, Gomez na VVD katika Fainali ya CL sasahivi pangelikuwa na Stori gani hapa? Je Ni kweli hatukupaswa kusema kuwa Defence yetu ilikuwa mbovu kwasababu Klopp anajua kuliko sisi?

Sasa usahihi au wrong ya Malalamiko yetu kuhusu Defence tuliyomlalamikia Klopp yamethibitika Msimu huu na yanaonekana Wazi na Wenye Maarifa Kuwa Tulikuwa sahihi Kuhusu Kumkosoa Klopp kwa Kuwaamini Walinzi Wabovu.

Na Sababu pekee ya Usahihi Wa Tulichokilalamikia Ni Hichi kitendo cha Kuwa Mpaka sasa tumeconcede Magoli 3 tu Katika EPL na Magoli Machache in all Competitions kuliko timu yoyote ile ya EPL.

Thank you Alisso, Gomez, VVD, Robertson na TAA kwa Mabadiliko Muliyotuletea.
 
Lol

a “real” Liverpool fan who watches LFC from home, with yet another embarrassing post.

Imagine being suprised...

So Henderson ni DM (defensive Mid), his job is to defend, anatolewa na wanaingizwa 2 defensive Midfielders ambao pia kazi yao ni “kudefend”, but huyu superfan anatuambia kuwa mbona hawakufunga na goal lilibaki lile lile moja, kwahiyo Klopp aliwaingiza hawa 2 pressing resistant kwa ajili ya kushambulia au kucontrol pressing ya Huddersfield?

Sometimes huwa najiuliza kama jamaa huwa ana “troll” au yupo “serious”, mtoto mdogo anaweza akakwambia tofauti ya first half and 2nd half, mtoto mdogo sana anaweza akakwambia our defensive coverage ilikuwaje kipindi cha kwanza na cha pili..

This man is trying to discredit michango ya wachezaji wengine kwasababu ya Henderson, and he’s here telling us winning trophies ni collective effort lol.

And since when winning trophies ni “collective effort?”, winning trophies ni “quality of the team”, quality of the team namaanisha ubora wa mchezaji mmoja mmoja, ingekuwa collective effort Burnley/palace/watford and other small clubs zingekuwa zinashinda makombe pia, ingekuwa ni collective effort, mchezaji kama Messi angeweza kushinda Ballon d’ors at Burnley or everton.

Quality ya team ndiyo inaleta trophies, Messi and Ronaldo are talented but without ubora wa teams wanazochezea/walizochezea wasingekuwa na makombe yeyote..na kama ni collective effort Barca wasingekuwa wanaendelea kutoa billions kununua wachezaji kwasababu tu wana Messi, si wangechukua watoto wa academy tu kama ni collective effort?

And kama ni collective effort si tungekuwa nasisi tumebeba EPL tayari? ingekuwa ni collective effort Pep gurdiola asingespend billions at City to win his first EPL, angeamua tu kubakia na same squad because ni collective effort..

Au Mungu mtu wa huyu superfan, Klopp angeendelea kubaki na Mignolet/Karius in goal kama winning trophies ni “collective effort, and matter of fact, why blaming Karius for his blunders at Kiev wakat football ni “collective effort”, i mean if winning trophies ni “collective effort” basi hata bottling finals ni “collective effort”..

This dude is so embarrassing..

And, anamalizia kwa kujiita “Real fan”, real fan? Unaangalia mpira from home? Unaenda anfield “ocassionally”, umezaliwa na kukulia Tanzania/Africa then unajiita LFC real fan kwa kupost your embarrssing posts on JF? Liverpool real fans are scousers ambao wamezaliwa wakiwa ni LFC fan, they didnt have to watch SG or Daglish ili kuwa LFC fan, wamezaliwa wakiwa LFC fan kwasababu ni “tradition” kwao, Scousers go to matches every week, scousers wameshuhudia club yao ikitengenezwa from scratch mpaka kukufanya wewe unayejiita superfan kuijua LFC, scousers wamekufa na wamepata vilema kwaajili ya hii Club, Scousers ni “real fans” kwasababu wanaipenda club yao, siyo “real fans” kwasababu wanampenda Henderson or Klopp..

Unatakiwa ujiite Simba/Yanga/Mtibwa/Azam etc REAL FAN, kabla ya kujiita Liverpool FC real fan, because LFC arent your local football club and furthermore not your traditional club..

We love and support LFC, but LFC as a club will stand by local supporters before any other supporters in the world. Simple as that.

And, apart from that its so embarrassing kujiita “real fan” kwasababu unampenda Hendo or Klopp, wakati they’re at LFC just to make money, imagine being Henderson and getting arsed because of some “negros” wa JF wanaobishana kuhusu ubovu wake na wale “negros” wenye “agenda” naye wakati unapokea more than 100k per week..

I dislike Henderson, and my agenda will continue as long as naendelea kuheshimu mawazo ya my fellow “blackmen”, sasa ndugu yetu ambaye unakosa usingizi kwa kuona kama Hendo or Klopp ni gods, well i hope kuna siku wataingia JF na kuona efforts zako na kukugawia mishahara yao.

Said it before and i will say it again, i support LFC and not “individuals”, i have critisized legends kama Roy Evans/Daglish/Houllier/Benitez and even called out Woy and Rodgers, so nothing will stop me from crtisizing Klopp kama asipo-deliver, personally nimempa muda kwenye EPL, but nothing than a top 3 finish will be justifiable and i wont hesitate to give him massive sticks kama tukishindwa kubeba cups this season. Because LFC comes first.
 
Then, hakuna watu “wanafiki” kama hawa wanaojiita “superfans”..

Unakumbuka kipindi kile cha Woy wakati anakaribia kutushusha daraja, walikuwa bega kwa bega na sisi ambao tunaonekana siyo mashabiki “halisi” wa LFC katika kuhakikisha anaondoka klabuni..

Suprisingly they didnt call us “shit fans” for wanting Woy out.

As King ngwaba alivyo-explain hapo juu, these superfans called us “shit fans” for wanting Klopp to sort out our defense lol..

The worrying ishu ni kwamba, wanaona kama Klopp ni “immune to crticism”, one day Klopp will start Migs in goal against Barcelona kwenye CL game na wataona ni sawa tu kwasababu its Klopp. LOL
 
Mawazo kama haya Ndiyo yaliyofanya Ndani ya Miaka 6 tusishinde chochote

He’s a troll..

Bet he started supporting LFC in 2005 after that CL final..

And aliona influence ya SG kwenye ile game, but he still think Hendo who cant even influence the team and hides away from the ball can win us a big trophy like CL..

Anaishia kutuambia winning trophy ni “collective effort”, well you need to have an influential captain to make that shit argument even count, whatsover.
 
Klopp here, clearly not happy about our recent perfomances, but apparently our “JF super fan” know better than him kwasababu anaona tunacheza vizuri na tuko vizuri sana.
IMG_1540200695.636035.jpg

If anything, that post teaches you kuwa, its ok for this superfan kupishana kimtazamo na Klopp, but its not ok at all for us “shit fans” kupishana kimtazamo na Klopp.
 
Da shida yote hii ya maneno kati ya sisi kwa sisi imeletwa na performance yetu ya juzi versus Huddersfield.

performance ya juzi haikua na radha ile ambayo tumeizoea! kiukweli hata Klopp mwenyewe was not happy at all maana km mliangalia ile game mpaka mwisho na kumfuatilia kocha aliku akionyesha gestures ambazo alikua ana maanisha akupendweza!

nimefuatilia sana kwenye vyombo vya habari UK ili kujua kulikoni LFC hawakuperform vizuri despite ya ushindi ule.

Nikapita kwenye gazeti la dailymail; JK alipohojiwa alitoa mfano wa "dog toy analogy" yaani usipo mpa mbwa toy anayoipenda atagoma atataka toy yake.

Ina maana kwasasa LFC wanataka kujaribu style nyingine ya kucheza ukiondolea mbali hile style iliyozoeleka ya high press!

kwasasa JK ana implement mildfield press.
na amesema ukicheza high press ukiwa unacheza na timu zinazopark basi nyumba utapatashida sana km vile LFC ilivyopata shida na teams za bottom 3 msimu uliopita na akaongeza kua high press style unaitumia wakati unacheza na team kubwa zinazo attack wakati wote km man city.na akasema You can not win with only offessive football....it is not possible.

Ila nilipo soma gazeti la mirror la UK pia nao walimuhoji Shaqir kuhusu perforrmance ya juzi yeye akasema Klopp aliwakaripia wachezaji sana baada ya kuonyesha poor display....na akasema Klopp hua yupo emotional sana na ana react papo hapo.
Shaqir anasema final touches zao hazikua nzuri at all ila watajaribu kuimprove mechi zijazo.

sasa hapo sielewi which is which nibebe ya klopp au ya shaqir??

YNWA
 
Overall perfomance ya LFC imekuwa mbovu sana msimu huu, everybody can see that..

I mean its ok, kushinda ugly sometimes but siyo kila week man, hakuna team ambayo ina-ambtion ya trophies na ikawa inacheza namna ile kila week..

Something need to change, we have two “easy” games coming up, yatupasa kuzitumia hizi games kubadilisha our set-up, with Salah coming back to his form itakuwa rahisi sana kuimplement new ideas around him..

Expected better against Huddersfield, but they schooled us at times, and they could have scored in that first half, i just dont know tungekuwa wapi bila VVD..

And mpaka lini tutaendelea kutegemea “carry-job” ya VVD?
 
Kwa General results tunaweza kusema ni improvement lakini Kwa Performance ya timu inasikitisha na inakatisha tamaa Liverpool tumeflop kabisa Hii style tunayocheza hivi sasa itafikia mwisho itafeli tu We need to change
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom