Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Sina undugu na hao jamaa walio tajwa!AROON , Malafyale , eden kimario , Ollachuga Oc na Antonio Conte haya Majina yote itakuwa huyu Ni Mtu Mmoja mwenye ID tofauti..
Na kama Hawa Ni Watu tofauti basi Ninauhakika Watakuwa hawa Ni Ndugu Wa Baba mmoja na Mama mmoja.
Sina ID yyt zaidi ya jina hili nililo lisajili hapa miaka zaidi ya 10 iliyopita!
Mm ni Liverpool na natetea jezi ya Liverpool na nakosoa palipo na haki