mbona nyinyi Man utd mbovu imewatoa jasho.....haaaahaaaaTeam ndogo tu inawatoa Jasho
Inaonekana team yenu ni mbovu sana msimu huu
Kagoli kamoja tu
Man united ina wachezaji bora sana Sema hawajiamini tumbona nyinyi Man utd mbovu imewatoa jasho.....haaaahaaaa
Nyinyi westham waliwanya nini?MNA vichwa vibovu mnasahau kama kuku bhana.
bora sisi tuliibuka kidedea Jana!!
sisi tumewafunga Hudds 1-0 ni Tim ya kawaida.Man united ina wachezaji bora sana Sema hawajiamini tu
Ila nyie kumfunga hudds kigoli kimoja tu inaonyesha team yenu ni ya kawaida tu msimu huu na huenda kombe mkaendelea kulisikia tu
Mkuu rudi ukafanye analysis vizuri. Team yetu now tumebadilisha mbinu za kupigana. Team yetu ina uwezo wa kufunga goal kwenye kila mechi. Sasa hivi strategy ni kuhakikisha hatufungwi goal.Man united ina wachezaji bora sana Sema hawajiamini tu
Ila nyie kumfunga hudds kigoli kimoja tu inaonyesha team yenu ni ya kawaida tu msimu huu na huenda kombe mkaendelea kulisikia tu
Team ndogo tu inawatoa Jasho
Inaonekana team yenu ni mbovu sana msimu huu
Kagoli kamoja tu
pointi 3 tulipata, nyie mlifunga 2 na mmepata pointi 1...ni kweli ipo tatizo la kufunga naamini wataliweka sawa magoli yaje kama mvuaTeam ndogo tu inawatoa Jasho
Inaonekana team yenu ni mbovu sana msimu huu
Kagoli kamoja tu
# Ollachuga umemchakaza Mou darajani?
"Chelsea ni bora Mara mbili ya Liverpool na Mara moja kuliko man city"Njoo tena urudie hii kauli yako mkuu
Kweli mkuu hujui tofauti kati ya 3 na 1?Izo point tatu ulizopata kwa Huddersfield zitakupeleka wapi?
Maana wewe unasindikiza ligi tu.
Wewe huoni kaponea chupu chupu.!
Draw imewafanya waheuke.
"Chelsea ni bora Mara mbili ya Liverpool na Mara moja kuliko man city"
EPL mnasindikiza tu iyo hata klopp anajua. Usijifariji sana kwa ushindi wa jana wa tabu na mateso mengi.Kweli mkuu hujui tofauti kati ya 3 na 1?
Hujui tofauti ya point 2 ina maana gani? Au sijaelewa swali lako.
Nyie plastic fans wa chelsea huwa hamna logic wala hoja huwa mna ubishani wa kijiweni tu. Ndio maana huwa napita kimya kimya maana nawaonaga ni butt hurt plastics wenye wivu na LFC.
Ukimind kaangalie msimamo wa EPL.
eden kimario
Kweli mkuu hujui tofauti kati ya 3 na 1?
Hujui tofauti ya point 2 ina maana gani? Au sijaelewa swali lako.
Nyie plastic fans wa chelsea huwa hamna logic wala hoja huwa mna ubishani wa kijiweni tu. Ndio maana huwa napita kimya kimya maana nawaonaga ni butt hurt plastics wenye wivu na LFC.
Ukimind kaangalie msimamo wa EPL.
eden kimario
Kwanini alishindwa kuzuia mpka nikaponea chupu chupu?Jifunze maana ya kuponea chupu chupu! Usisahau Kuwa alikuongoza Mpaka Extra time ndiyo Mukachomoa..
So, Ni wewe ndiye uliyeponea chupuchupu.
Rant boy katika ubora wako