Thanks mkuu kwa matokeo hayo, inaonekana mechi ilikuwa ngumu√ 1 goal
√ 1 Clean sheet
√ 3 points
√ Salah Man Of The Match
Salah passing been poor this half
Salh's problem Ni First touch Yake imekuwa very poor.
Toka msimu uanze Salah anazidi kuwa ovyo kwenye:-
Ni wakati sasa anahitaji kuwekwa benchi au kutafutiwa personal trainer, I think he has psychological issues.
- First touch, akijaribu kutuliza mpira unakimbia
- Passing, amekuwa na short and unhealthy passes ambazo hazifiki au adui wanaziwahi
- Ana haraka ya kupiga golini na kuishia kupiga nje, au kumpa kipa
- Uoga wa kudribble umekuwa mwingi, labda anaogopa kuumia.
Agreed on other things brother..
But salah cant dribble at all. Thats not his main or even minor attribute..
He’s starting kurudi kwenye form yake now. Thats good.
no dialogue, honestly i have no idea why Lovren is choosed ahead of Trent...Klopp wakati mwingine ni ngumu kumwelewa..Do we need to have a dialogue about that Lovren brainfart that led to huddersfield disallowed goal?
kapoteza sana mipira nashindwa kuelewa ishu kwa huyu mwarabu nini....kuji position nako ishu...Salh's problem Ni First touch Yake imekuwa very poor.
Last season kuna dribbles alikuwa anafanya kucreate space ya kufunga ambazo this time hafanyi kabisa.
Mfano second half kuna chances kadhaa ambazo kama angefanya dribbles angeweza kupata goal.
He had so many turnovers today ambazo nyingi naona kama ni mental issue.
no dialogue, honestly i have no idea why Lovren is choosed ahead of Trent...Klopp wakati mwingine ni ngumu kumwelewa..
we all know how shaky n useles Lovren can be at tyms n now we claim to wonna win th Epl wt such a xcter...
guys to unseat Manshit we got to be "better" than this new scenario of our team...
Lovren was so poor today..
At least Lallana helped us a bit kwenye pressing..
VVD-Gomez walikuwa wanaanza kutengeza a perfect CB combination, hakuna sababu ya kuibadilisha kabisa..
Gomez alikuwa anaanza kucement his name kwenye CB position, sasa unapomtoa kwaajili ya “watu” flani unakuwa unaharibu completely confidence yake..
Sasa, now hii favourtism ya klopp inataka kudestroy career ya youngster mwingine TAA ambaye amekuwa dropped bila sababu, ili tu Lovren apate nafasi.
Tatizo la Lovren ni kwamba yupo prone to make mistakes kuliko Gomez or Trent who are more athletic also...Lovren was so poor today..
At least Lallana helped us a bit kwenye pressing..
VVD-Gomez walikuwa wanaanza kutengeza a perfect CB combination, hakuna sababu ya kuibadilisha kabisa..
Gomez alikuwa anaanza kucement his name kwenye CB position, sasa unapomtoa kwaajili ya “watu” flani unakuwa unaharibu completely confidence yake..
Sasa, now hii favourtism ya klopp inataka kudestroy career ya youngster mwingine TAA ambaye amekuwa dropped bila sababu, ili tu Lovren apate nafasi.
Hakajatosha kuleta ushindi?Team ndogo tu inawatoa Jasho
Inaonekana team yenu ni mbovu sana msimu huu
Kagoli kamoja tu
Cha muhimu ni point Tatu na ukitaka kuchukua ubingwa england usifungike kirahisiTeam ndogo tu inawatoa Jasho
Inaonekana team yenu ni mbovu sana msimu huu
Kagoli kamoja tu