eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Wana Liverpool bila shaka mko vizuri
Hii habari sio Nzuri Kwa Wale Hendo's Fanboys, Soon they will Come and say Ametufikisha Fainali CL, Ameifikisha England Semi kwenye WC.
Mo atakuwa ameponaShaqiri ameshapata mechi kama tatu au nne hivi za kuprove kama anaiweza mikoba ya Salah wa msimu uliopita. Hivi ikitokea Shaqiri nae yakamkuta(Siombei bali nawaza tu) ni nani atawekwa Right wing?
HahahahaaaaaaaNyie leo shuhudieni tunavyomchakaza Mou pale darajani ili mjifunze kupitia sisi.
Halafu mnatakiwa mkubali kwamba Chelsea ni bora Mara mbili ya Liverpool na mara moja kuliko man city...
Tuombe tu tushinde aseeStarting XI v HTAFC: Alisson, Gomez, Lovren, Van Dijk, Robertson, Henderson, Milner, Lallana, Shaqiri, Salah, Sturridge
Subs: Mignolet, Matip, Alexander-Arnold, Fabinho, Wijnaldum, Origi, Firmino
Operation chakaza.thubutu!Nyie leo shuhudieni tunavyomchakaza Mou pale darajani ili mjifunze kupitia sisi.
Halafu mnatakiwa mkubali kwamba Chelsea ni bora Mara mbili ya Liverpool na mara moja kuliko man city...
Tunafungwa.Starting XI v HTAFC: Alisson, Gomez, Lovren, Van Dijk, Robertson, Henderson, Milner, Lallana, Shaqiri, Salah, Sturridge
Subs: Mignolet, Matip, Alexander-Arnold, Fabinho, Wijnaldum, Origi, Firmino