Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Starting XI v HTAFC: Alisson, Gomez, Lovren, Van Dijk, Robertson, Henderson, Milner, Lallana, Shaqiri, Salah, Sturridge

Subs: Mignolet, Matip, Alexander-Arnold, Fabinho, Wijnaldum, Origi, Firmino
Lalla in da team...aaa hope he prove me wrong we dearly need 3 points!
 
Nyie leo shuhudieni tunavyomchakaza Mou pale darajani ili mjifunze kupitia sisi.

Halafu mnatakiwa mkubali kwamba Chelsea ni bora Mara mbili ya Liverpool na mara moja kuliko man city...
Njoo tena urudie hii kauli yako mkuu
 
Ngoja tuone lakini huyu kocha anakiburi cha kijerumani ambacho kinamuangusha...


Game kama hii unashinda 3-2 harafu unashangilia eti kikubwa ushindi dah... Epl tutaendelea kuiskizia tu redioni


Man City kashapiga mtu tano bila huko. Sikumbuki kama kuna mechi waliyoshinda kwa +1 GD yaani ni mwendo wa 2+ and more

Tusipokaa vizuri Chelsea hatuwaweza kwenye goal difference kama hali yenyewe ndio hii
 
Kocha wetu anaweza kuwa anawaogopa sana Wenye nchi. Starting lineup ya Sarri leo haikuwa na muingereza hata mmoja, na Mostly huwa si zaidi ya muingereza mmoja.

Ila kocha wetu mara nyingi namuonaga kafield waingereza si chini ya wanne
 

Attachments

  • Screenshot_20181020-194102.png
    Screenshot_20181020-194102.png
    40.2 KB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom