Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Paul Joyce saying, Laporte was our 2nd choice CB kama deal ya VVD isinge-mature.
 
Maneno mengi. 3 years No EPL

First, thought you were an Utd fan, but baada ya kuona hii post, decided to dig more and nikagundua kuwa wewe ni Chelsea fan, thus the same childish argument about LFC kutokuwa na EPL title..

Premier league haikuanzishwa mwaka 1992, bali ilibadilisha mfumo wake wa kiuendeshaji mwaka huo, premier league/football league ilianza mwaka 1888 (the oldest football competition in the world)

Wakati inaanzishwa ilikuwa ikitumia jina la English Football league (EFL), mwaka 1985 baada ya ile Heysel disaster iliyosababishwa na fujo za Liverpool fans, UEFA walizifungia clubs zote za uingereza kushiriki mashindano ya Ulaya kwa muda wa miaka mitano, kufungiwa huku kulipelekea league idorore kwa kiasi kikubwa hasa katika upande wa fedha, league ilikosa fedha na clubs zilikosa fedha pia, at this time hata wachezaji wa nje ya UK walikuwa wanakataa kuja kuchezea vilabu vya UK sababu ya maslahi madogo, hii ilipelekea mapato ya league kushuka ukilinganisha na leagues zingine za ulaya, katika kipindi hiki clubs kubwa zikaanza kufikiria njia mbadala ya kupata pesa za kuendesha clubs, ambapo mipango ya kuitransform league ikaanzia kipindi hicho, mnamo mwaka 1990 baada ya ban kuwa lifted, mipango ndiyo ikapamba moto.

Clubs zikajiunga kwa pamoja katika kuhakikisha wanarejesha hadhi ya league, Clubs kubwa tano ndiyo zilitengeneza njia ya kuitransform league ya Uingereza, clubs hizo ni Utd/LFC/Arsenal/Everton/Spurs (these are the pioneers of EPL wakishirikiana na kina Dein), kwa pamoja waliongoza kutengeneza deals zilizofanya league iwe ya biashara kupita TV deals na endorsement zingine kwaajili ya kukuza clubs zingine ndogo, baada ya kukamilika kwa hizi deals, they decided kutengeza mfumo mpya wa league ambao utaendana na deals zilizokuwa mezani, hence the establishment ya EPL, watu wengi hawajui kuwa English Premier league (EPL) ni Company (Limited by shares), na shareholders ni Clubs unazoziona kwenye league leo hii, na ndiyo maana unaona kuwa kila shareholder huwa ananufaika kutokana na Tv deals, ambayo inashikiliwa na Skysports (ndiyo maana broadcasting cooperation yeyote ambayo inahitaji kuonesha EPL inaomba rights kwa Skysports ambao ndiyo wana exclusive rights za kuonesha EPL and they pay a lot of money for that, na hizi pesa zinalipwa kwa EPL as a company ukijumlisha na endorsments zingine pamoja na zile za UEFA), so they changed the structure of the league kwaajili ya pesa na kuendeleza league na mpira wa uingereza kiujumla, na hawakuanzisha league mpya yeyote, Club yako ya Chelsea ip hapo leo kwasababu ya sacrfices zilizofanywa na Utd/LFc/Arsenal/Ev na Spurs ili kuiletea pesa league and the formalities za league zilibaki the same mpaka leo.

Been saying this for ages, LFC hajashinda league trophy for 28 years, but kwenye takwimu za leagues bado zinasoma
Kuwa ana 18 league titles, because in England the top flight football was invented in 1888 and not 1992.

In 1996, blackburn won the league, it took another 20 years kwa club nyingine “ndogo” kushinda the league (suprise contenders). This is because league ni structurial competition, you dont just win for the sake of it.

LFC havent won a league for over 27, and yet bado unatumia bango la “Klopp 3 years and No EPL trophy) and hujiulizi kama Club imeshindwa kuwin league trophy for almost 28 years, Klopp ni nani mpaka aweze kubeba league ndani ya miaka mitatu?

Suprise contenders are rare (na mara nyingi huwa wanafail mwishoni, eg. LFC or spurs in recent years), winning a league title kunajumuisha vitu vingi sana, cha kwanza kabisa ni quality ya wachezaji na kikosi (squad investiment), kingine ni Ubora wa manager, Consisitency ya players etc squad investiment na manager vinahitaji pesa ya kutosha sana, you have to invest a lot kwenye hizi areas ili kushinda makombe, since 2004 when the chelsea owner bought the club, Chelsea imekuwa na investment kubwa katika upande wa squad na managers, have said before kuwa chelsea imekuwa ni “BETTER” club kuliko LFC.

LFC, walianza kupoteza muelekeo under Roy evans, then Sousness came along, Houllier helped us a bit, then benitez alitusaidia pia, but things got worse kuanzia 2009, kama unafatilia footie kipindi hiki mpaka 2010, LFC ilikuwa inaendwa kufilisiwa kwasababu ya madeni, our then owners waliharibu kabisa muelekeo wa Club, FSG rescued us by paying £300m tu kuinunua Club yenye ukubwa wa LFC, kiasi ambacho kwa sasa unanamnunua mchezaji kama Neymar. Club ilikuwa inafilisika, top players wote waliondoka LFC kasoro SG na kina Kuyt, in 2013/14 we suprised the world kwa kukaribia kushinda league, but we fell short and bottled the league, yes SG slip was a slight factor (we love to joke about it) but its clear a lack of squad investment ilitugharimu kwa kiasi kikubwa sana, and thats why baada ya kumuuza tu Suarez, tulistruggle sana msimu uliofatia, we finished 7th, msimu uliofatia we finished 8th (Klopp alikuja katikati ya msimu), so elewa kuwa kabla ya kuja klopp kwanzia msimu wa 2009/10 mpaka kufikia msimu wa 2016/17 tuliingia top four mara moja tu.

Kipindi hichi chote Club ilikuwa ikipoteza wachezaji wake wakubwa, katika kipindi hiki Chelsea mlinunua wachezaji wawili muhimu wa LFC ambao ni Torres na Meireles, and hatukuweza kuwazuia because tulikuwa ni mid-table club, well, wakati LFC inastruggle kipindi hicho (dark days) chelsea ilikuwa inashinda trophies (PL, CL, FA etc), wakati LFC inahangaika na managers kama kina Hodgson, finished Daglish, BR, chelsea ilikuwa na managers kama kina Mou/Carlo/hiddink/Benitez/Di matteo ambao wote hawa wamewapa makombe kwa vipindi tofauti, wakati LFC inaondokewa na mastar, chelsea ilikuwa ina top class players kama kina Ballack/Makelele/Deco/Drogba/Essien/Eden/Costa etc, for the past 15 years chelsea haijawahi kuwa na squad depth mbovu, kila manager anayekuja Chelsea anakuta team ipo kwenye mazingira mazuri sana, kocha akiamua kwenda sokoni atanunua wachezaji wawili/watatu kwaajili ya kuwekeza style yake ya kiuchezaji, last season Conte got sacked lakini aliwin the FA cup, but alifukuzwa kwasababu owner aliona ni uzembe kwa manager kushindwa kumaliza top four na ile squad, leo hii Sarri unamkabidhi squad yenye 2 certified world class players (Eden na Kante), huku ikiwa na top class players kama Azip/Alonso/Luiz/Rudiger/Willian/Barkery/Cesc/Pedro/Morata etc then unampa £60m ya kumuongeza WC Regista Jorginho alafu unategemea owner na fans watakaa kimya asipodeliver? Unampa kocha team ambayo imetoka kubeba EPL msimu mmoja kabla na FA cup msimu uliofuatia, na unategemea owner atavumilia asipobeba hata kombe?

And at the same time unampa Klopp team ambayo imemaliza top four mara moja tu ndani ya misimu sita or so, huku ikiwa haina hata certified WC player zaidi ya “wachezaji wazuri” wasiozidi wanne, na unategemea ashinde kombe? tena EPL? When Mourinho took over chelsea mwaka 2004, alipewa kikosi chenye wachezaji kama Makelele/Lampard/Gallas/Terry/Glen Johnson (peak)/Guodjohsen/Joe cole etc na on top of that akapewa more than £90m ya kununua wachezaji (Drogba/Cech/Robben etc), Klopp alipopewa team yenye players kama Mignolet/Lovren/Kolo Toure/Lucas/Henderson/Lallana/Markovic/Origi/Ings/Benteke etc msimu uliofata alipewa sh.ngap ya kununua wachezaji? Je FSG walikuwa na uwezo wa kununua tu wachezaji bila kuuza kwanza? Are they rich kama owner wa chelsea? LFC wamespend big this summer but we sold coutinho for 100+m ambazo zilitumika kwa fees za VVD na keita, extra money za kumaliza as finalists kwenye UEFA pamoja na Tv deals zimetupa hela ya Allison pamoja na Fabinho, and hela ya Ward to leicester ndiyo imefund signing ya Shaqiri, but hata hivyo we felt short na kushindwa kununua AM. Since owner wa chelsea ampe kazi yule mwanamama kusimamia transfers kidogo yule mwanamama amebadilisha policy, but still chelsea are going big kwenye TW, (Jorginho/Kepa/Morata can be an example in recent years).

Klopp angebeba kombe in his first season at Chelsea/City and Utd, but no manager in the world football can win a EPL season in his first season or 2 and even 3 at LFC kwa state ambayo club ilikuwepo unless, FSG wangempa Klopp kit ya kutosha, kama Arab owners walivyompa Pep guardiola £250m ya kununua defenders tu kwenye dirisha moja. I mean you want Klopp ambaye alirithi back-5 ya Migs/Lovern/Moreno/clyne/Sakho acompete na club ambayo inatoa £250m kwenye transfer window moja kwaajili ya kufix back-5 yake tu? It took klopp 3 years to complete his own back-line, back line ambayo inainclude academy kid na a 3.5m kid (Gomez)..meanwhile it took Sarri msimu wake wa kwanza tu kununua the most expensive GK in the world baada ya TB kuondoka kwa bei ya kutupwa, Klopp had to endure maumivu ya Migs/Bogdan/Karius kabla ya kumpata Allison katika msimu wake wa tatu at LFC.

For the last 15 years, Chelsea hajawahi kuwa kwenye crisis, for the past 15 years misimu ambayo chelsea imemaliza bila kombe inahesabika, so its owner and fans own right to demand for big trophies every now and then, but you cant demand EPL kwa club ambayo ilikuwa in transtion kwa miaka zaidi ya 7.

Any LFC fan will be reasonable kudemand trophies za kwenye Cups competition but EPL bado ni long shot, labda blackburn and Leicester ijurudie au turudie msimu wetu wa 2013/14 (suprise contenders)

And again, Chelsea have been better than Liverpool for more than a decade now, na hakuna mtu anayebisha, but for chelsea to be bigger than LFC, you lot need to be consisitently better than LFC for more than 3-4 decades.

...chochote kilichofanyika jana or juzi tayari ni “History”, so chelsea winning a first league title after 50 years ni “History”, arsenal going invicible msimu mzima ni “History”, and pia utd winning a treble in 1999 ni “History” and ofcourse LFC winning its last league title in 89/90 ni “history”....

....and Klopp smiling and asking Sarri if he was enjoying the game muda ambao Chelsea alikuwa anaongoza pale stamford bridge ni “History”

We only record and remember the “past” not the “future”..
 
Keita, out for Two weeks

But, we have got “Young Adam Lallana” to help us kipindi hiki.
 
DONT SHOOT THE MESSANGER.

Ok, so i’ve heard kuwa Clyne is probably off, inaweza ikawa January or summer.

But, he’s off.

Lets see.


Got news on Fekir, but honestly i’d rather wait kuona mwisho wake because “sina uhakika”

And lastly, been told we have firm interest kwa Stephen Bergwijin. Lets wait and see.

Ni Same source/connect who told me about VVD.

Dont shoot the messanger. Lol
 
Torres sharing his story about LFC.

Man, shared this story about Torres months ago..

Could get messier with Bobby man, i’m afraid.

Baada ya Torres kuondoka LFC, told myself sitakuwa attached tena na players, hence sikuumia when Suarez/Sterling/Cou walivyoondoka, but then we signed Firmino, man akiondoka huyu mtu LFC, i’ll switch sports forever.

Knowing FSG, cant see them decling £150m for Bobby man, never.
 
DONT SHOOT THE MESSANGER.

Ok, so i’ve heard kuwa Clyne is probably off, inaweza ikawa January or summer.

But, he’s off.

Lets see.


Got news on Fekir, but honestly i’d rather wait kuona mwisho wake because “sina uhakika”

And lastly, been told we have firm interest kwa Stephen Bergwijin. Lets wait and see.

Ni Same source/connect who told me about VVD.

Dont shoot the messanger. Lol
Kumekuwa na conspiracy kuhusu interview ya Fekir ambayo ilikuwa shot last summer na inaonekana bado ipo katika official youtube channel ya LFC japo ni private video.

Hili limekaaje?
 
Lol.

Guys..

Kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuwa na best XI na kuwa na strong squad depth.

Mfano, LFC wana first XI imara sana, (Allison/TAA/Gomez/VVD/Robertson/Faby/Keita(Ox)/Gini (Milner)/Salah/Mane/Firmino. Hii first eleven inaweza kucompete kwenye kila aina ya match.

But our squad depth is so poor, yaani the difference in quality baina ya first choice players na squad players (bench) ni huge, mfano Allison to Migs, VVD to Lovren, Robertson to Moreno (?), Faby (or Gini as a 6) to Henderson, keita/Ox to Lallana, mane to origi/brewister, good back-ups tunazo kwa Danny na Shaqiri tu (these are game changers), sasa unakuta clubs kama City wana kina otamendi/kompany/Delph/Gundogan/Sane/Jesus/Bernardo/Danilo etc kama squad players au game changers, hii ndiyo maana halisi ya strong squad depth.

Na ndiyo maana nikasema, with our strongest first XI we can challenge every team uwanjani, na kwa maana hiyo tunakuwa na chances kubwa sana kwenye Cups competitions ambazo ni games of chances, because a strong first XI can win you those games, but kwa League ni case tofauti because ni long-run tournament. Inahitaji squad depth (quality), sasa kama huna strong depth unahitaji kuwa na bahati ya kutokuwa na injuries hasa kwa top players, i remember wakati LC wanachukua league hawakuwa na squad depth, but walikuwa na bahati ya kutokuwa na injuries (mpaka wakawa accused na doping), but Kante/Mahrez/Vardy/Morgan/Drinkwater ambao ndiyo walikuwa important players walicheza 98% ya games zote msimu ule bila injuries za mara kwa mara. But siyo kila team huwa na bahati hiyo.

LFC, VVD ana matatizo ya Ribs, basi tunamlinda balaa, but ingekuwa kwa city, angepelekwa tu rehab, na top CBs wengine wangecover nafasi with ease, but LFC akiumia VVD ni headache, games za Chelsea na City kacheza zote na Sindano (pain killer),because we cant afford to drop him kwenye game kubwa kama hizo.

With what we’re doing right now, i believe mpaka kufikia 2020/21 tutakuwa na good squad depth (strong), but now its safe to demand Cup trophies and top 3 finishes in the league, na kama tutakuwa katika position nzuri ya kuchallenge league title ifikapo December itatupasa tuongeze player (s) wa kuboost squad.

We’ve already bottled EFL, so we have FA cup and CL, and we need to win a trophy this season, Klopp wont avoid any sort of criticism kama tukifail kubeba kikombe msimu huu, i have my comments reserved for that EFL bottlejob against Chelsea, just waiting kuona reaction yetu kuhusiana na FA cup na our run kwenye CL.

Wont moan if we finish top four kwenye league this season, but will defo be on Klopp’s ears kama tukibottle kwenye Cups, as we have enough tools za kushinda over two legs, hence after that draw ya CL, i said it on here, will be a dissapointment kama hatuta-top the group, hakuna excuses kwenye Cups. Daglish won a Carling cup with Hendo and jay spearing in the midfied, so no excuses kwa Klopp.

So wont demand for EPL now, squad depth is far from complete.
 
Kumekuwa na conspiracy kuhusu interview ya Fekir ambayo ilikuwa shot last summer na inaonekana bado ipo katika official youtube channel ya LFC japo ni private video.

Hili limekaaje?

Yeah, Fekir did an interview with LFC, kabla deal haijavunjika..

But picha iliyokuwa inasambaa leo ni fake kabisa (photoshoped)

Fake pic
IMG_1539906560.246925.jpg


Real pic
IMG_1539906613.186686.jpg


Told, we are still interested, but pia tuna interest na Demiraby (this is according na medias not the source), so tbh i find it hard to see kama deal ya Fekir itamature tena, but lets wait and see..
 
Haya majeruhi yatafanya tujue ubora wa liverpool ..tukisema mna fest XI tu huwa mnabisha.
 
Nyie leo shuhudieni tunavyomchakaza Mou pale darajani ili mjifunze kupitia sisi.

Halafu mnatakiwa mkubali kwamba Chelsea ni bora Mara mbili ya Liverpool na mara moja kuliko man city...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom