Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mara ya mwisho kubeba taji lolote hata kama la kuku ilikuwa lini?naona swali juu ya swali
Mara ya mwisho kubeba taji lolote hata kama la kuku ilikuwa lini?naona swali juu ya swali
mara ya mwisho arsenal kuchukua UCL ilikuwa lini?Mara ya mwisho kubeba taji lolote hata kama la kuku ilikuwa lini?
Mm sijachukua ,ww lin umebeba eplmara ya mwisho arsenal kuchukua UCL ilikuwa lini?
Wewe una andika kimipasho.Naona umepokea kijiti cha washabiki wa Chelsea, ndo walikuwa kila siku wako hapa kupiga ramli.
Sasa hivi wamechoka wanashinda kwao, karibu sana. Endelea kuchangamsha jukwaa, maana najua kwako kunabore ndo maana kutwa uko kwa jirani.
Hapo kwa Fabihno ana anza Le Capitane HendoKutoka na majeruhi yaliyo patikana kutokana na International games machaguo yamepungua saana kwenye attacking force yetu hata midfield yetu, tuna mechi muhimu saana ambazo tunahitaji ushindi. Kwa line up hii nadhani inaweza kusaidia.
Sturridge Firmino
Shaqiri
Milner Gini
Fabinho
Robertson Lovren Gomez Arnold
Allison
Shaqiri - to be honest sikuwa fan wake hata hizi type of play ila baada ya kuja Liverpool amekuwa na good performance pale anapocheza behind strikers hasa akiwa na free role amekuwa akifanya vizuri sana i think that will be hia suitable place.
ataanza kwa milner maana bado ana slight injuryHapo kwa Fabihno ana anza Le Capitane Hendo
3-0 easy kabisa
Akianza fabinho na hendo tegemea kipigo au sare ,Hapo kwa Fabihno ana anza Le Capitane Hendo
3-0 easy kabisa
Sawa Shehe YAHYA!Akianza fabinho na hendo tegemea kipigo au sare ,
Kutoka na majeruhi yaliyo patikana kutokana na International games machaguo yamepungua saana kwenye attacking force yetu hata midfield yetu, tuna mechi muhimu saana ambazo tunahitaji ushindi. Kwa line up hii nadhani inaweza kusaidia.