Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Beki za kati Lovren vs VVD mechi ijayo wakicheza vyema kama hii nitafurahi sana!
Beki imecheza vyema sana mechi ya jana,TII na Rob ni beki wa pembeni inara sana,Gomez anatuyeyusha sana


Hapa Kidogo umeongea Ukweli ingawa hile penalty ya Kwanza niyeye Lovren ndiye aliyekwenda Hewa na Kuukosa Mpira uliosababisha Karius aonekane kacheza foul ingawa aliyechezewa alikuwa Offside.

Kati ya Hawa VVD, Lovren na Matip wanaweza Tengeneza Combination Nzuri iwapo Klopp hatawafanyia Rotation ili wapate muda zaidi Wa kuweza Kuzoeana Kucheza Pamoja.

Lakini akiwafanyia Rotation basi basi hawatoweza Kuelewana.

Na Kipa pia asimfanyie Rotation, Kwani Kipa anapokosea anatakiwa afundishwe ili alijue kosa lake na sio Kumrotate.

Kwa mfano Karius Alifeli sana Jana Katika Kuanzisha mipira ambayo mengi anairusha kwa Mkono na Kuangukia mikononi mwa Wapinzani! Jambo hili Ni lazima Kocha Wa Makipa Amrekebishe.

Hata hivyo Kuna dalili kwa Karius Kuboreka kwani Jana Alifanya error Katika Goli la Kwa lakini pia ameonesha Kuboreka.
 
Haya ndiyo Majibizano Kati Ya Ref. Moss na Lines man wake Smart.
Smart alipoulizwa na Moss kuwa Lovren Kaugusa Mpira au Hakuugusa kabla ya Kumfika Henry Kane? Alijibu kuwa hana uhakika kuwa Lovren kauguusa Mpira (“I have no idea where Lovren touched the ball to be honest with you.”) Lakini still Katoa Penalty!! Ni maamuza ya ajabu.

Mazungumzo Yalikuwa Kama Hivi ↓↓


DVQa45mXUAAF59P(1).jpg
 
Pochettino
on both decisions for the penalties:

"I congratulate them (the officials) for showing character. I have seen the decisions in the dressing room and they were right."
 
Pochettino
on both decisions for the penalties:

"I congratulate them (the officials) for showing character. I have seen the decisions in the dressing room and they were right."


Maisha bila unafiki hayaendi aisee
 
Kuna hao arsenal wanajidai kua wana consistency sasaivi ila watakachofanywa jmos na Tottenham kitawaprove wrong
 
Kuna hao arsenal wanajidai kua wana consistency sasaivi ila watakachofanywa jmos na Tottenham kitawaprove wrong

Mkuu Arsenal Anaweza Kushinda kwani Tot Hamna Kitu pale! Ni maamuzi mabovu tu ndiyo yaliyowafanya Tot Jana Wasalimike.
 
Sasahivi Tumekusanya Points 51 tu! Ili Kujihakikishia Tumo Ndani Ya Top 4 basi tunahitaji Points not less than 76+.

Kwahiyo Katika Michezo 12 tuliyobakisha tunahitaji Kushinda Michezo 7, Kudraw 4 na Kufungwa si Zaidi ya Mchezo Mmoja.

IMG_20180205_212441.jpg
 
The Spurs or call them Spuds have developed into a budding Olympic diving team. How many penalties are included in Kanes list of goals? Years ago when football was played fairly and by real men, penalties were so rare it was an event. Now these pansy players like Ali and kane dive two or three times per game...that is just a cheating charter. I hate cheats. If you add Calwin of Everton, another bunch of divers, it explains why these two teams are where they are.
I wish Lee Clatterburg or Perluigi Colina were still officiating
 
Man, the state of some top reds opinions on this thread....laughable to say the least. wembeee, Pazi, Janjaweed, The Magnificent, mr wise, Asprin etc are turning in their sofas lol.

Man, I miss those days when we used to have a lot of good reds discussing football and our team/club weaknesses and problems with nothing but great and critical analysis filled with open and free minds.

now, we have a lot of deluded top reds who thinks supporting everything the club does is rightful considered as loving the club so much.

now you have top reds comparing this LFC squad to Barcelona squad. So embarrassing man.

And, Yes Barca/Madrid been buying our players for quite sometime now, but you have to be bright enough to understand that these players (Mcmanaman/owen/Masch/Alonso/Arbeloa/Suarez/Coutinho etc walikuja Liverpool wakiwa ni nothing players, we mould them, develop them and made them into world class players, and after making them into WC players we sold them for higher fees, so tell me club gani ambayo ipo na mtazamo huo na inashinda trophies?, mfano mdogo ni hiyo Barcelona, wakati Madrid wako busy na sera yao ya kununua galaticos, barca were busy moulding kina xavi/iniesta/puyol/valdes/Busquests/pique/Messi etc, also buying young talents like Ronaldinho/Etoo/Alves/Abidal/Villa etc, Barca made this players into world class, the foundation which went to win them countless trophies. Kama barca wangeuza hawa wachezaji kwenye peak zao wangeshinda makombe gani? Hawa kina Etoo/Ronaldinho/Valdes/Villa/Abidal/Keita/Adriano etc waliuzwa baada ya peak zao kushuka/kufikia ukomo but during their world class/peak years barca waliwauza? NO. Pale England mfano tunao kwa Ferguson, created and developed players like Scholes, Giggs, Gary neville, Nick butt, solskjaer, Rio Ferdinand, Vidic, Ronaldo, Berbatov, Carrick, Fletcher, etc these players went on to be world class and won him a lot of trophies. He sold Beckham because of atitude issues in the dressing room, bought Ronaldo in made him into world beater and ended up winning him PL, FA and CL baada ya hapo alimruhusu aondoke in peace and that's why huwezi kuona shabiki yeyote wa United anamchukia CR7.

Barca sold Neymar because of release Clause, na waliweka release Clause ya £200m wakijua hakuna club itakayofikia hiyo Clause, and you know kama Club ikiactivate RC uamuzi unakuwa wa mchezaji, and Neymar used this opportunity kudai mkataba mnono kama wa Messi, Barca wakamwambia aondoke haitowezekana and soon after Neymar left they bought Dembele and now Coutinho as replacements, RC ni mandatory at La Liga, sasa kaangalie RC za kina Dembele/Busquests/Iniesta/Pique/Messi/Suarez etc, juzi baada tu ya kumnunua coutinho waka stamp RC ya £450m to make sure he stays there for a long time.

Nobody gave a shit about Firmino at Hoffenheim, Salah was actually a flop at Chelsea, had to go to Italy to revive his career, now Kopp have turned this players into world beaters, if madrid/barca/Psg/Man City come calling we will sell them for a hefty fee kama ilivyo kuwa kwa Torres/Suarez/Sterling/Coutinho etc na deluded top reds on here will say it's ok because apparently even Barcelona sold Neymar.

Ule msimu wa 2008 tuliowafunga Utd bao 4-1 pale Old Trafford, mwaka mmoja uliofatia kikosi chote kilisambataratika huku kile cha Utd kikibakia the same for more than 5-7 years huku zikifanyika tu additions, but sisi mwaka 2010 (msimu mmoja baadae) tulikuwa na kina jan Poulsen/Jovanovic/Joe Cole/Konchesky etc. Now at one time 4 years ago this club had Suarez/Sterling/Coutinho/Sterling kwenye team now hayupo hata mmoja, huku 4 years ago City walikuwa na Silva/Toure/Aguero/Fernandinho/Kompany/. 4 years later Silva/Aguero/Fernandinho are still starters and most important players (beside De buryne) in their first xi. sasa Imagine adding Firmino/Salah/Mane/Emre/VvD/Keita to a squad ambayo tayari ina suarez/Cou/Sterling? But it's ok because even Barca sold Neymar.

Remember when Wenger used to sell his best players? (Hleb/Flamini/Cesc/Nasri/Song/Rvp/Sagna/Clichy etc) he went 11 years without a single trophy, and suddenly when he decided to keep hold of his best players he went on to win back to back FA cups makombe ambayo LFC haijashinda tangu 2006. But top reds on here will tell you it's ok because this squad apparently is on per with Barcelona and barca are average because they drew with Espanyol yesterday. So embarrassing.
 
Now a days unaingia kwenye hii thread ukiwa na matumaini kuwa King ngwaba, Sheriff arpaio, Plesis, Ed, Captain marvelous, black kid wamepost kitu, because ni few of the good
reds ambao wanapost vitu sensitive na great football anaylsis.

Then we used to have good visitors like belo, Nzi, Kalou, Mourinho, Agosti8, Mentor, Everlank etc visting this thread for critical and insightful football discussions and bantz, but now I bet wa naona hata uvivu kupita humu kwasababu ya BS arguments za some top reds. Coz ukicrticize FSG or Kopp tactics unaonekana ni intruder or hupendi team.

So embarrassing.
 
Deolofeu at Watford, on loan from Barca..was MOTM today, played couple of games at barca this season, scored and assisted some goals in La Liga.

But top reds will tell you this kid is average because Koeman didn't favor him and forgetting his class spell at Ac Milan (don't think they even know he played for Ac Milan before getting called back to barca by ververde).

Watch his goal vs Chelsea today, Kopp crying for a back up wingers like this kid, but apparently he's average because we have ings/solanke to back up Firmino/salah/Mane.

Players like Deloufeu/Richarlson/Deoucoure etc won't mind a single bit kuwa back up wingers/players kwenye team kama LFC. and they're capable of impacting games. and I won't be suprised if Kopp will go for Richarlson in the summer.
 
Mkuu Arsenal Anaweza Kushinda kwani Tot Hamna Kitu pale! Ni maamuzi mabovu tu ndiyo yaliyowafanya Tot Jana Wasalimike.
Ulikubal tmu yenu ilizidiwa kipindi cha kwanza na hamkuwa paces na kuna wakati posession ilikuwa chini na huku kiungo cha dembele na wenzake wakiwakimbiza... Then unasema tot hamna kitu!
 
Ulikubal tmu yenu ilizidiwa kipindi cha kwanza na hamkuwa paces na kuna wakati posession ilikuwa chini na huku kiungo cha dembele na wenzake wakiwakimbiza... Then unasema tot hamna kitu!


Hivi Nyinyi Huu ushabiki huu mumeutoa wapi??
Hivi kumzidi Liverpool ndiyo kigenzo cha ubora?
Hata Swansea alitufunga je Ni World Best Team??

Mkuu Spurs alituzidi sisi kama Liverpool lakini Hanna Kitu Pale.

NOTE:
Sijasema Kuwa Lazima Arsenal atamfunga Spurs. Bali si Lazima Kuwa Arsenal atafungwa na Spurs.
 
Hivi Nyinyi Huu ushabiki huu mumeutoa wapi??
Hivi kumzidi Liverpool ndiyo kigenzo cha ubora?
Hata Swansea alitufunga je Ni World Best Team??

Mkuu Spurs alituzidi sisi kama Liverpool lakini Hanna Kitu Pale.

NOTE:
Sijasema Kuwa Lazima Arsenal atamfunga Spurs. Bali si Lazima Kuwa Arsenal atafungwa na Spurs.

Spurs overpowered us in the 2nd half after the introduction of Victor Wanyama.

Again, its the same problem kwenye midfield yetu, not being able to control the game, ndo maana huwa nasema Keita pekee wont solve our midfield problem. we need a regista (sitter), ambaye kazi yake ni kuslow down tempo ya game na kutengeneza balance between back four and Forward lines.

Yes, Jon moss and the linesman robbed us, but we cant and should not forget our weakness kwenye kiungo..

i know you rate Andy Robertson (he is decent), but he's not good going forward or starting attacks and play between the lines, thats whay he is not complementing the "struggling" Mane enough, Moreno and Mane had a good chemistry down in the left flank. Moreno and Trent both are not good defensively but they are so good going forward.
 
Fit again Lallana and a 29 year-old (soon 30) grown man got sent off for trying to strangle a kid kwenye game ya U23 yesterday after a tactical foul. remember these kids expects to learn something from a senior player like him.

and the fact that our Lallana, the attacking Midfielder who is on 120k per week have just scored 1 goal for LFC since January 2017 after having good four months since he signed for this club in 2014, tells you a lot about his abilities.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom