Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mane amevunja kidole ..itachukua muda kidgo
Kwa Ulaya sio issue kubwa sana hiyo! Ni injury ya Wiki moja au Mbili tu.
Mane amevunja kidole ..itachukua muda kidgo
Kwa Ulaya sio issue kubwa sana hiyo! Ni injury ya Wiki moja au Mbili tu.
Wasindikizaji FC
Nimeikuta sehemuView attachment 900486
Hiyo imetengenezwa mahususi kwa liva maana liva halijui kombe la EPL,Rooney alijoin Man Utd August 2004, toka hapo hata Arsenal hajachukua EPL, ungeifanyia tafakari kabla ya kuipost hapa.
Kipofu anamcheka kipofu mwenzake.
Hiyo imetengenezwa mahususi kwa liva maana liva halijui kombe la EPL,
Unanihusu kivipi ,? Point ni liva hajawahi kubeba EplSawa mkuu, ukikuta mwenzio anatukanwa kwa udhaifu ambao wewe pia unakuhusu si busara kubeba tusi hilo na kulifikisha kwa mwenzio, inaonekana kama wewe unaifurahia hiyo hali.
Kila la kheri.
Unanihusu kivipi ,? Point ni liva hajawahi kubeba Epl
Na tokea 2004 rooney anaenda man u had leo anaelekea kustaafu, bado hajalibeba,
Sasa sijui unazungumzia nn,maana umeitaja arsenal ,mm najua arsenal ana Epl 3 na first division 10
Liver Epl 0 first division 18
Next game una drawAirtime niliyokupa inatosha, ukiona mtu anashinda kwa jirani ujue kwake hakukaliki.



Next game una draw![]()
Wewe piga kelele, ila mwisho wa msimu.Naona umepokea kijiti cha washabiki wa Chelsea, ndo walikuwa kila siku wako hapa kupiga ramli.
Sasa hivi wamechoka wanashinda kwao, karibu sana. Endelea kuchangamsha jukwaa, maana najua kwako kunabore ndo maana kutwa uko kwa jirani.
Wewe piga kelele, ila mwisho wa msimu.
0 epl
0 FA
0 carabao
0 UCL


hata kama wanadanganya apo kloop ataomba mashindano ya kinataifa yaishe kabisa.
Miaka yote hii aliyozunguka huyu jamaa, arsenal wamechukua UCL mara ngapi?Nimeikuta sehemuView attachment 900486
Hiv mara ya mwisho kubeba taji lolote ilikuwa lini?Miaka yote hii aliyozunguka huyu jamaa, arsenal wamechukua UCL mara ngapi?
naona swali juu ya swaliHiv mara ya mwisho kubeba taji lolote ilikuwa lini?