Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

To be Honest: Sijawahi Kumpongeza Henderson lakini Leo Kwa Mara Ya Kwanza Ninampongeza Kawa Outstanding.

But: Sijawahi Kutamka hili lakini Leo Ninatamka Rasmi Kuwa Sina imani na hii Timu Kuwa inawezashinda Chochote Kupitia Watu Hawa Mane-Salah-Firmino ambao hawawezi Kuscore Hata Kwa Wake Zao achiliambali Uwanjani.
Mkuu unajua umeongea maneno makali sana??? Hasa hapo paragraph ya pili.
 
Sio Ninalaumu tu! Bali Kinachonipa Mashaka Ni Kuwa Klopp Hata Akiona Game Plan haifanyi Kazi Hawezi Kubadili Plan B.

Leo Ni Obviously Salah Kafeli Kwa Asilimia 100% kwanini Asichange Plan?
Hatimae Kenda Kubadili Beki ambayo ipo Stable Combi ya VVD na Gomez.

Hii ya kuvunja partnership ya VVD na Gomez nayo imenisononesha sana
 
Sio Ninalaumu tu! Bali Kinachonipa Mashaka Ni Kuwa Klopp Hata Akiona Game Plan haifanyi Kazi Hawezi Kubadili Plan B.

Leo Ni Obviously Salah Kafeli Kwa Asilimia 100% kwanini Asichange Plan?
Hatimae Kenda Kubadili Beki ambayo ipo Stable Combi ya VVD na Gomez.
salah kasheza mipira mingi sana na kafanyiwa faul nyingi tu kwa mtazamo wangu leo firminho na mane ndio wamechemka
 
Hata Everton watatusumbua sana tu kwenye Merseyside Derby. Kwa hii performance na lineup za huyu mzee hadithi ni zile zile miaka yote, binafsi sioni future yoyote licha ya kudraw mechi za Chelsea na Man City
 
Spurs vs Liva - Win
Chelsea vs Liva - Draw
Liva vs Man City - Draw

Ni Improvement Kubwa Sana Hapo Tuliyoifanya.

Subiri Wewe Ucheze Games 3 ngumu kama Hizo Halafu Tuje tuangalie Matokeo Yako.
Chelsea vs Arsenal -Win
Liverpool vs Chelsea -Win
Chelsea vs Liverpool-Draw

Una la kuongeza
 
salah kasheza mipira mingi sana na kafanyiwa faul nyingi tu kwa mtazamo wangu leo firminho na mane ndio wamechemka

Firmino mnamuonea tu, Salah ndie alikalia magoli yetu leo. Kuna chance moja kipa alikuwa hayupo golini Salah akapiga wide kabisa!

Uliposemea kwa Mane jamani kweli Mane akae tu benchi ajitafakari kiasi kwamba Pedro sasa hivi anafanya kazi inayoonekana kuliko Mane. Willian, Sane,Sterling, Pedro na hata Mahrez !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Basi tu Mungu anajua! Maana useme kwamba atawasaidia Forward wenzie hata hicho kitu hamna ! Daah!
 
Leo mpo kiulinzi zaidi na kufungwa mtafungwa ingawa kiushabiki naombea draw ya 0 - 0
ule mwenzi wengi waliodhani tutaanza kugawa pointi tumeumaliza vizuri..
Ushindi =3(psg,Spurs,Smpton
Draw =2(Chelsink, Manshit
kufungwo=2(Chelsink,Naples
ni matokeo mazuri kwetu kwa hali tuliyonayo kwa sasa, naamini baada ya mapumziko tutarudi na ari mpya.
 
Firmino mnamuonea tu, Salah ndie alikalia magoli yetu leo. Kuna chance moja kipa alikuwa hayupo golini Salah akapiga wide kabisa!

Uliposemea kwa Mane jamani kweli Mane akae tu benchi ajitafakari kiasi kwamba Pedro sasa hivi anafanya kazi inayoonekana kuliko Mane. Willian, Sane,Sterling, Pedro na hata Mahrez !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Basi tu Mungu anajua! Maana useme kwamba atawasaidia Forward wenzie hata hicho kitu hamna ! Daah!
tofauti ya mane na salah na firmino ni kuwa mane anakaba sana kuwazidi hao,na kama ukiangalia mpira vizuri sababu ya kuzingua kwake ni anachoka sana.
 
Anyway hata hii droo siyo mbaya, cha msingi tukitoka kwenye international break zile game tatu za mwanzo inabidi tuchukue points tisa hizo from those "small teams".
Fingers crossed.
YNWA!
 
jamani tunawalaumu sana forwad line yetu ya mane salah na firmino lakini ukweli upo wazi wa kulaumiwa ni klop mwenyewe ameshindwa kuwapanga hawa watu.forwad hazipati mipira muda mwingi wana kuwa wanakaba wakifika mbele wamechoka.

klopa akifanikiwa kuwapanga hawa vizuri waka match basi foorwad zitafunga magoli.matatizo yanaaza hapa keita ni kama nacheza position ambayo siyo yake pili chemistry ya keita na herndson ni zero haziendani kabisa.

chemistry ya hawa watu haipo vizuri ndio maana tunaona akina mane ,salah na firmino wanazunguka kama pia
1538938044438.png
 
tofauti ya mane na salah na firmino ni kuwa mane anakaba sana kuwazidi hao,na kama ukiangalia mpira vizuri sababu ya kuzingua kwake ni anachoka sana.

Mkuu huyo Mane katika ile front three yeye ndio mpooza mipira, Firmino ndio engine ya kuoordinate mashambulizi. Usajili ni muhimu inshort, na vile kocha wetu substitution zake ni za ovyo kibarua na gundu ya kutokuchukua Ubingwa bado inatuandama. Imagine kocha anamuanzisha Hendo mbele ya Fabinho na Keita, Forward inaunderperform ila hamna anachobadili
 
Four games for liverpool without a single win
What a poor results, poor Salah, poor Mane
 
jamani tunawalaumu sana forwad line yetu ya mane salah na firmino lakini ukweli upo wazi wa kulaumiwa ni klop mwenyewe ameshindwa kuwapanga hawa watu.forwad hazipati mipira muda mwingi wana kuwa wanakaba wakifika mbele wamechoka.

klopa akifanikiwa kuwapanga hawa vizuri waka match basi foorwad zitafunga magoli.matatizo yanaaza hapa keita ni kama nacheza position ambayo siyo yake pili chemistry ya keita na herndson ni zero haziendani kabisa.

chemistry ya hawa watu haipo vizuri ndio maana tunaona akina mane ,salah na firmino wanazunguka kama pia
View attachment 890078

HAHAHAHHAHAHA

Midfield pendwa ya mzee huyu majanga matupu, kwa takwimu tu Milner msimu ulioisha katoa assists tatu tu kwenye ligi huku Gini akiwa katoa assists mbili tu kwenye ligi, Henderson sio jukumu lake kutoa assists.

Sasa viungo wote waliosalia na ni non-holding midfielders na tena katika 4-3-3 formation wana assists mbili sijui tatu na kocha ndo kawakazania tutegemee nini? Hapo hapo Milner kamaliza msimu uliopita hana hata goli moja la ligi msimu uliopita na Gini ana goli moja tu! Na Ndio starting 11 anayoprefer kocha wetu
 
Midfield tatizo. Yan nakaa kibanda umiza naona kbsa Shaqiri anahitajika lakin Klopp yeye yuko comfortable. Keita anamchezesha namba ovyo. Sasa wachezaj hawana confidence. Keita na Salah. Midfield haidrive team mbele. Kwann usibadili hata mfumo..kwa nini Fabinho asicheze holding mid. Kwa nini asicheze kusginda. Unanunua wachezaji halafu huwaamini. Dakika ya 70 ilikuwa Shaqiri aingie tujaribu kupiga long shots. Yeye Klopp anaona team imeshindwa Ku score au kujaribu lakin no change ya tactics. Sijui ni uoga au ni nini.
 
Mambo ya muhimu tukirudi kutoka kwenye international break;
Mosi, Shaqiri aanze kupewa dakika za kutosha, Salah awe anapumzishwa.
Pili, Fabinho and Keita wakabidhiwe majukumu kwenye midfield yetu. Tuliwasajili kwa ajili ya kazi hiyo, bench litawaathiri sana kisaikolojia.
Tatu, msimu huu tuna depth ya kutosha, basi tuirudishe gemu yetu ya pressing kama ya msimu uliopita.
Nne, Klopp awe makini sana kwenye substitution, when to do it and who to substitute and why!
YNWA!
 
Tupunguzeni Lawama Jamani Game imeshapita.
After international yote tutayasahau haya na tutaendelea Kufurahi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom