Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nitatembelea baadae
 
Attachments

  • Screenshot_20181007-065038.png
    Screenshot_20181007-065038.png
    316.8 KB · Views: 28
Kama hujamuelewa ngoja nikueleweshe. Alichozungumzia hapo ni kwamba timu ni vizuri ikarecruit wachezaji ambao wameshazoea kuchukua makombe au hata kama hawajazoea basi kuwe na wachezaji ambao wameshachukua toka zamani. Hazard alikuna Chelsea kawakuta kina Didier wameshazoea mataji na yeye akaingia kwenye mfumo huo.

Unamsajili Shaqiri unategemea akupe nini huyu? Ni heri usajili anayetoka nje ya EPL Atleast anakuwa na motisha kucheza ligi inayotazamwa na sana ulimwenguni. Hawa wanakua na passion.

Shaqiri humjui kumbe
 
Acha kukalilishwa ..........
Shaqiri ana
DFL super cup 1
Uefa super cup 1
FIFA club world cup
DFB cup 2
Bundesliga 3
Uefa Champions league 1
Narudia Tena Acha kukalilishwa

Mimi huu Mjadala Nilikwisha achana Nao Kwani Hata Milner ana EPL akiwa na Man City.
Fabinho ana League 1 akiwa na Monaco.
Sturridge akiwa Chelsea??

So, Naona Tugocus Kwenye game yetu ya Leo tu Ndiyo mjadala pekee wenye afya Kwasasa.
 
Jitahidi kukusanya facts kabla hujaandika hasa kwenye hili jukwaa
Kama hujamuelewa ngoja nikueleweshe. Alichozungumzia hapo ni kwamba timu ni vizuri ikarecruit wachezaji ambao wameshazoea kuchukua makombe au hata kama hawajazoea basi kuwe na wachezaji ambao wameshachukua toka zamani. Hazard alikuna Chelsea kawakuta kina Didier wameshazoea mataji na yeye akaingia kwenye mfumo huo.

Unamsajili Shaqiri unategemea akupe nini huyu? Ni heri usajili anayetoka nje ya EPL Atleast anakuwa na motisha kucheza ligi inayotazamwa na sana ulimwenguni. Hawa wanakua na passion.
 
Kama hujamuelewa ngoja nikueleweshe. Alichozungumzia hapo ni kwamba timu ni vizuri ikarecruit wachezaji ambao wameshazoea kuchukua makombe au hata kama hawajazoea basi kuwe na wachezaji ambao wameshachukua toka zamani. Hazard alikuna Chelsea kawakuta kina Didier wameshazoea mataji na yeye akaingia kwenye mfumo huo.

Unamsajili Shaqiri unategemea akupe nini huyu? Ni heri usajili anayetoka nje ya EPL Atleast anakuwa na motisha kucheza ligi inayotazamwa na sana ulimwenguni. Hawa wanakua na passion.
dah mkuu unatudanganya member wenzako wa jf hv bado hujui kuwa no research no right to speak
 
Mimi huu Mjadala Nilikwisha achana Nao Kwani Hata Milner ana EPL akiwa na Man City.
Fabinho ana League 1 akiwa na Monaco.
Sturridge akiwa Chelsea??

So, Naona Tugocus Kwenye game yetu ya Leo tu Ndiyo mjadala pekee wenye afya Kwasasa.

Hivi Afya ya Keita ikoje?

Nimejaribu kutafuta status yake sijapata, leo anaweza kucheza kweli au ndo tutawekewa tena Henderson, maana naona Hendo anapigiwa upatu sana na Liverpool Echo.
 
Waingereza wana uzalendo uliojaa sana unafiki, siku moja nikiwa naperuzi peruzi kwenye social media niliona waingereza wakimtetea Henderson square passes zake wakidai inategemewa nini kwa holding midfield Zaidi ya kupiga hizo square passes

Klopp akimtia jamaa sijui itakuaje maana DeBruyne karudi halafu akakipiga kati pale na Fernandinho na Gundogan, halafu huyo captain wetu akawekwa pamoja na Gini na Milner viungo ambao woote hawana ubunifu
 
Jamaa ukiona wanavyomtetea utadhani ni bonge la mchezaji.

Ubaya sasa naona hadi Klopp anafyata, analazimika kumchezesha, sijui ni kwamba anamkubali au ni pressure kutoka kwa jamaa.
 
KIKOSI HICHO HAPO, KAMA KAWAIDA SCOUSER KIPENZI WA JIJI YUMO

Dejan Lovren starts as Liverpool make two changes for this afternoon’s Premier League clash with Manchester City at Anfield.

The defender is handed his first Premier League appearance of the season as he replaces Trent Alexander-Arnold in the back four.
Jordan Henderson is the other change to the starting XI, though Naby Keita is fit to take a place on the bench.
Liverpool: Alisson, Gomez, Lovren, Van Dijk, Robertson, Wijnaldum, Milner, Henderson, Mane, Salah, Firmino.
Subs: Mignolet, Fabinho, Keita, Sturridge, Shaqiri, Matip, Alexander-Arnold.
 
Hao jamaa uzalendo wao unatisha, niambie viungo wa kiingereza kama Eric Dier nitakuelewa kuwa pale kuna kiungo
 
KIKOSI HICHO HAPO, KAMA KAWAIDA SCOUSER KIPENZI WA JIJI YUMO

Dejan Lovren starts as Liverpool make two changes for this afternoon’s Premier League clash with Manchester City at Anfield.

The defender is handed his first Premier League appearance of the season as he replaces Trent Alexander-Arnold in the back four.
Jordan Henderson is the other change to the starting XI, though Naby Keita is fit to take a place on the bench.
Liverpool: Alisson, Gomez, Lovren, Van Dijk, Robertson, Wijnaldum, Milner, Henderson, Mane, Salah, Firmino.
Subs: Mignolet, Fabinho, Keita, Sturridge, Shaqiri, Matip, Alexander-Arnold.
wrong choice lovren ndo right back au ana cheza na three defenders at the back? kwa formation hii sidhan hata draw tutapata kitakuwa kipigo kikubwa kama msimu uliyopita.

Lovren kweli akamzuie Sane hapo hapo kuna back and sideways passes za henderson.

Kwa mtazamo wangu hii mechi tumepoteza big time labda niwape benefit of doubt
 
Joe Gomez ndio amewekwa Right-Back

Huyu Kocha wetu huyu! Sema basi tu hamna namna. Right back wetu ambae huwa namuona yupo vizuri defensively ni Nathaniel Clyne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom