lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,200
- 28,082
Daah watu mnasaga sumu.
Ushawapa pole in advance
Kajogoo lazima kaliwe nyama leo.
Daah watu mnasaga sumu.
Ushawapa pole in advance
Sijamsikia hivi yumo ?SALAH LOOOOOOOL
Klop kaharibu rhythm ya Hao. Ni sprinters. Wakimbiaji. Klop hataki huo mpira wa through balls. Ndio maana wanashindwa.Wale Watatu Wa Mbele Salah-Firmino-Mane wamekuwa Ni Chui asiye na Meno hawana Madhara Yiyote uwanjani Zaidi ya Kukimbiakimbia ovyo tu.
Sasa Klopp aingie Sokoni Kwa ajili ya Striker hakuna jinsi.
DrooMatokeo vp